mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Maidan.(kiev katikati ya mji)
Joto la November 8th election bro!Daaah...
Wanataka negotiation ila wanaona aibu.
Saaana bro!This guy is scarrier and dreadful than putin himself
Mkuu je una sababu maalum kutumia matusi? Kwa jumla si vigumu kuelewa matendo ya Marekani: wameamua Putin haruhusiwi kufaulu akishambulia na kupora nchi jirani, halafu hawataki vita kubwa ambayo ni hatari shauri la silaha za nyuklia. Hivyo wanakataza kushambulia ndani ya Urusi, hata kama hii inamsaidia Putin.⚡BREAKING NEWS⚡
US is not looking for a conflict with Russia, REALLY wants a negotiated solution to conflict in Ukraine - White House.
💥☄️ Who listens to these idiots, asubuhi wanazungumza hiki mchana kile. Look like all of them wana suffer from dementia... Wanasahau kabisa wanayo zungumza!
Mkuu naona una'mqoute kila mara anakupotezea achana nae kulinda heshima yako.Mkuu je una sababu maalum kutumia matusi? Kwa jumla si vigumu kuelewa matendo ya Marekani: wameamua Putin haruhusiwi kufaulu akishambulia na kupora nchi jirani, halafu hawataki vita kubwa ambayo ni hatari shauri la silaha za nyuklia. Hivyo wanakataza kushambulia ndani ya Urusi, hata kama hii inamsaidia Putin.
Ilhali wanaona udhaifu wa jeshi la Kirusi (waliamini pia zamani eti ni jeshi la pili lenye nguvu duniani, si tena..) wanajaribu kumlainisha Putin kwenye moto mdogo . . . Akianza kuwa tayari kujadili kweli, wako tayari...
Lakini kila siku Maeneo yanakombolewa etti...,hata wakitumia mishumaa sawa.., rais zelensiky alishasema Yuko tayari kukaaa gizan kuliko kuona nyimbo za wavamizi zikiendelea kuimbwa kwenye mipaka yake..,hiyo kauli unafikiri ni ya mchezomchezo?Maidan.(kiev katikati ya mji)View attachment 2404343
Nikiku- quote ukanipotezea Mimi Sina hasara..,Cha msingi nakuwa nimebalance story ,na hiyo ni faida kwa wasomaji wengine..,jamii forum sio kwa ajili ya Mimi na wewe tu ., jamiiforum ni Kwa ajili ya jamii nzima inayotumia mitandao ya kijamii,Mkuu naona una'mqoute kila mara anakupotezea achana nae kulinda heshima yako.
Wapi walipokomboa kwa wiki hii maana kule Kherson wamekutana na kimbunga.donesk Warusi wanazidi kusonga mbele.sasa sijui unazungumzia eneo la wapiLakini kila siku Maeneo yanakombolewa etti...,hata wakitumia mishumaa sawa.., rais zelensiky alishasema Yuko tayari kukaaa gizan kuliko kuona nyimbo za wavamizi zikiendelea kuimbwa kwenye mipaka yake..,hiyo kauli unafikiri ni ya mchezomchezo?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Haya ita propaganda za magharibi.Mbona mkali,Mimi nimeuliza tu source ya hiyo taarifa ni nani?
Hata ukiletewa utasema propaganda..,Bora uendelee kuamini huko huko ulikoamua kuamini..,Wapi walipokomboa kwa wiki hii maana kule Kherson wamekutana na kimbunga.donesk Warusi wanazidi kusonga mbele.sasa sijui unazungumzia eneo la wapi
Kwani Israel inamuhusu Nini kama Iran itafanya biashara ya Silaha na Urusi?Au Kwa Israel ni salama zaidi kama hizo silaha atakuwa nazo zote Iran au kama atapunguza nyingine Kwa kuiuzia Russia?Mimi hapo sijakuelewa!Israeli lazma ajibu mapigo
Kumbe Himars ni za kujilinda tu?Au mlitaka apewe Long range missiles za kupiga Moscow?Kama ni hivyo mbona majibu yake yanajulikana,ingekuwa WW3!Najiulizaga siku naye ukraine akapewa makombora mazito kama wanayotumia Russia hii vita ingekuwaje maana ukraine zana anazotumia ni kwa ajili ya diffensive tuu .Hana makombora ya kushambulia kama Russia
Na Hali hiyo inaongeza sentimeter ngapi huko front line [emoji848]
Urusi hakuna rangi ataacha ona kwenye hii vita ya kipuuzi aliyoanzisha mwenyewe.., alifikiri mambo ni rahis rahis tu..,kwa kweli ata- suffer sana,Urusi imebaki yatima[emoji848]View attachment 2404364
Mi nimeuliza tu source!Maneno mengi ya Nini?Haya ita propaganda za magharibi.
Hata mobilisation ya reservists laki 6 baada ya askari wengi kufa vitani ni propaganda ya magharibi🤔
Sasa ivi mmetoka kwenye umeme na maji mnaenda kwenye kusonga mbele[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].sasa sijui utaendelea kuamini tena maneno ya viongozi wenu.Na Hali hiyo inaongeza sentimeter ngapi huko front line [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ndio maana US analeta NASAM zakutoshaIsraeli lazma ajibu mapigo