Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naweka utabiri hapa khakiv itakuja kuwa sehemu ya urusi siku zijazo

Naona kibarua cha kukomboa kherson kimeota nyasi ha ha ha ha

Kibarua cha kukomboa KHERSON kimeota nyasi baada ya Generali wa jeshi la Ukraine kushtuliwa na watu waledi kwamba hasiingize jeshi lake kwenye mtego ulio tegeshewa na jeshi la Urusi huko KHERSON, kawa msikivu na aka-comply, hapo katumia busara sana.
 
Naona Iran kaamua kuingia vitani mazima

[emoji298]️
CNN: Iran to send 1,000 additional weapons to Russia for its war in Ukraine.

Iran is preparing to send around 1,000 additional weapons to Russia, including ballistic missiles and about 400 kamikaze drones, CNN reported, citing unnamed Western officials.
 
Israeli lazma ajibu mapigo
 
[emoji95] MORE MERCS

An interesting trajectory is unfolding in Kherson region, West Russia, as Russian Ministry of Defence DESTROYS 200 mercenaries, and their numbers are ever more PREVALENT in Donbass.

The "fight until the last Ukrainian" has turned into the "fight until the last IDIOT willing to DIE for money", as Russia FACES OFF against the collective West, in its own backyard.
 
Share of Military budget of collective west in fight against Russia...

IMG_20221101_184007_839.jpg

[emoji95] Latvia na Estonia on top list [emoji23]

[emoji95] Total Military Aids up to date ni almost 86% ya budget ya Russia kwa mwaka 2022.

[emoji95] Yadaiwa pia kile west walichojichanga ni about 7.6 ya budget ya Ukraine. Kwa lugha nyingine ni kua Ukraine kakuzwa mara 7.6 ya alivyokua na matokeo ndio hayo tunayo yaona!

[emoji95] Kama wanasorodeka kiasi hiki dhidi ya nchi 1 "dhaifu" inayo tumia chips za refrigerator kutengeneza missiles zao kama wanavyo tuaminisha na ajabu nchi hiyo "dhaifu" inadai kua hiii ni just Special Military Operation hawapo vitani. How Real War will look like?

[emoji95] Eti "Destroy" Russia together my foot, so wanakiri ka umoja kao kanapambana kufa kupona na Russia au vepe!

Tuwakumbushe tu hawa wafatiliaji hatuachi kusoma between the lines! We know well mbivu na mbichi ziko wapi!
 
Warusi wa Bunyokwa na Mselivanya, Mambo ni Bam bam mshindwe nyie tu [emoji23]

[emoji95] Putin instructed to prepare proposals to establish a visa-free regime for foreigners without the principle of reciprocity, the Kremlin said.

[emoji95] Putin instructed to think about the renewal of an electronic visa for residents of countries not included in the list of unfriendly countries for the Russian Federation, the Kremlin said.
 
View attachment 2404239
Only a complete and final victory of Russia in Ukraine is a guarantee against a global conflict, to which the west is pushing the world - Medvedev

[emoji23] Kuna watakao jiuliza hiyo picha ya nani... Ni yeye wadau sijachanganya picha ha ha!
Kwenye hii picha kafanana na Czar Nicholas II, former emperor wa Russia. Kidogo niseme the return of Czar Niko wa pili 😊.
220px-Mikola_II_(cropped)-2.jpg
 
Share of Military budget of collective west in fight against Russia...

View attachment 2404233
[emoji95] Latvia na Estonia on top list [emoji23]

[emoji95] Total Military Aids up to date ni almost 86% ya budget ya Russia kwa mwaka 2022.

[emoji95] Yadaiwa pia kile west walichojichanga ni about 7.6 ya budget ya Ukraine. Kwa lugha nyingine ni kua Ukraine kakuzwa mara 7.6 ya alivyokua na matokeo ndio hayo tunayo yaona!

[emoji95] Kama wanasorodeka kiasi hiki dhidi ya nchi 1 "dhaifu" inayo tumia chips za refrigerator kutengeneza missiles zao kama wanavyo tuaminisha na ajabu nchi hiyo "dhaifu" inadai kua hiii ni just Special Military Operation hawapo vitani. How Real War will look like?

[emoji95] Eti "Destroy" Russia together my foot, so wanakiri ka umoja kao kanapambana kufa kupona na Russia au vepe!

Tuwakumbushe tu hawa wafatiliaji hatuachi kusoma between the lines! We know well mbivu na mbichi ziko wapi!
Mkuu je ni kawaida yako kutoonyesha vyanzo vya habari zako?
Mengonevyo: ndio naona nchi dhaifu kiasi , ikiwa na eneo kubwa na mpinzani haruhusiwi kuipiga pale ambako vituo vyake vikuu viko, ikiruhusiwa kusafirisha wanajeshi na vifaa bila kuingiliwa ndani ya eneo lake, ikiweza kurusha roketi kutoka maeneo yake lakini adui haruhusiwi kupiga vituo hivyo - basi nchi hiyo itaendelea kwa muda fulani hata ikitoa chipsi kwa silaha kutoka friji na tosta!
 
Only a complete and final victory of Russia in Ukraine is a guarantee against a global conflict, to which the west is pushing the world - Medvedev

[emoji23] Kuna watakao jiuliza hiyo picha ya nani... Ni yeye wadau sijachanganya picha ha ha!
Maskini! Anatoa machozi kwa sababu amepata upinzani akijaribu kupora nchi nyingine? Haelewi dunia? Jamani mpeni bakuli aweze kukusanya machozi yake.
 
Halafu mnajifanya vipofu wakati mchochezi wa hii vita anajulikana!
Hivi baada ya WW2,vita vingapi vimeanzishwa na Marekani bila sababu za msingi?Huko Iraq,US akiivamia kwasababu zipi?
US ndio mvuruga amani ya Dunia namba Moja duniani!
Bila mmarekani hiyo Russia unayoisifia isingekuwepo....

Baada ya kusaidiwa leo kaota majipu kwapani...

Fuatilia hadi sababu ya huyo mrusi kumuuzia U.S.A jimbo la Alaska
 
Na Huyu mleta Uzi naye Ni mwalimu ha haaaaaa ha..
Utoto Sana...hizo takwimu zimefanywa lini wakati watu Bado wameikimbia Kherson na kyiv...???
 
IMG_20221101_195302_305.jpg
⚡️DEVELOPING⚡️

Zelensky says 40% of Ukrainian energy infrastructure DAMAGED by Russian strikes, up from earlier statement of 30%, in meeting with EU Commissioner for Energy Simson who’s in Kiev to expand EU support for Ukraine’s energy sector.

☄️ Oh wait, but we shoot down all the Missiles Clown Zele? Au umesahau 😂, that could be inside job wanakuhujum!

Anyway yau have 60%... Thank Putin, he is a very merciful man... Otherwise wise you should be left with 4%..
 
⚡BREAKING NEWS⚡

US is not looking for a conflict with Russia, REALLY wants a negotiated solution to conflict in Ukraine - White House.

💥☄️ Who listens to these idiots, asubuhi wanazungumza hiki mchana kile. Look like all of them wana suffer from dementia... Wanasahau kabisa wanayo zungumza!
 
[emoji298]BREAKING NEWS[emoji298]

US is not looking for a conflict with Russia, REALLY wants a negotiated solution to conflict in Ukraine - White House.

[emoji95][emoji3512] Who listens to these idiots, asubuhi wanazungumza hiki mchana kile. Look like all of them wana suffer from dementia... Wanasahau kabisa wanayo zungumza!
Daaah...

Wanataka negotiation ila wanaona aibu.
 
Back
Top Bottom