Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajifariji
Pro Russia mnadhani makombora ya urusi yamatengenezwa mbinguni hivyo hayawezi kudunguliwa..,hii habari ya Ukraine kudungua makombora 44 ya urusi imeripotiwa karibu na kila chombo Cha habari.., lakini bado mnakaza moshipa ya shingo

Basi tufanye makombora yote yaliyorushwa alijatunguliwa hata Moja..,furahini sasa [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu uwe unasoma habari na kuelewa habar yenyewe inasomeka hivi Ukraine’s air command said it shot down 44 out of 50 enemy rockets. Ukraine hawajasema makombora bali ni rockets ,kumbuka Russia jana alishambulia kwa rockets na missile ambazo zilirushwa kwa ndege
The cruise missiles were fired from Russian Tu-90 and T-60 aircraft flying north of the Caspian Sea and the Rostov region. They hit targets in the Kyiv, Zaporizhzhia and Kharkiv oblasts, as well as in the areas of Mikolaiv, Lviv, Zhytomyr, Kirovohrad and Chernivtsi.
Hivyo kulikua na mshambulizi ya aina mbili cruise missiles na rockets ,ukraine walifanikiwa kudungua rockets 44 kati ya 50 ila kuhusu cruise missiles hakuna taarifa yoyote iliyopatikana had sasa ingawa inasemekana makombora 6 yalidondoshwa .
Hivi mwanangu unajua maana ya rocket!? Kwa maelezo yako hapa inaonekana hujui unachokiongea.

Go back to school
 
Ukraine unbreakable.

Two houses in Kyiv, damaged by a russian missile on the second day of invasion, 8 months apart.

We are on Twitter: https://twitter.com/InUAOfficial
1667231911172.jpg
 
Hivi mwanangu unajua maana ya rocket!? Kwa maelezo yako hapa inaonekana hujui unachokiongea.

Go back to school
When it comes to defining a rocket, it is a spacecraft or aircraft which uses a rocket engine to obtain thrust. Rockets have simple as well as ancient roots. Rockets carry inside them propellants which help shape the rocket engine exhaust before use. The third of law of Newton of action and reaction drives rocket engines, which expel the rocket engine exhaust at a high speed in the opposing way to push rockets further.

Rockets depend on numerous things such as auxiliary reaction engines, momentum, gimballed thrust, propellant flow, gravity, exhaust stream deflection, momentum wheels,
The missile got its name from the Latin word mittere (a verb) which indicates “to send”. Military weapons are aimed towards some target, and are essentially considered as a type of powered munitions. When it goes through the air, it is dubbed a missile.

The missiles that were initially brought into operation were those developed by Nazi Germany during World War II. Only a few missiles were built during that time. All of them used a basic radio control system which was run by the operator.

Rocket vs Missile​

What’s the difference between rocket and missile? A missile is mainly a type of munition operated by a rocket. A rocket is a powerful spacecraft that holds the capacity to produce notable acceleration and obtain extremely high speeds. But a missile is a precision-led munitions system, a rocket’s defence application that comprises four basic subsystems, namely Guidance systems, Rocket engine, Warhead, and Flight Systems.

Modern rockets saw their development in the late 19th and early 20th centuries. On the other hand, modern missiles were first developed as V2 rockets by the Germans. Basically, two kinds of rockets are used, including chemically powered and electrically powered rockets. There are various types of missiles, including ballistic and cruise.
 
Finally they show some balls

[emoji298]️ Moldova announced the representative of the Russian Embassy persona non grata, the Moldovan Foreign Ministry reports.

Russian diplomat Oleg Vasnetsov will be expelled after the incident with the missile.

[emoji117] Follow @Flash_news_ua
 
Wao wakishambulia sawa ila wakishambuliwa kelele nyingi

Russia requests UN Security Council meet over Crimea attack​

Russia asked the UN Security Council to meet on Monday to discuss an attack on its Black Sea Fleet which it has accused Ukraine of carrying out.
Moscow said 16 air and maritime drones attacked civilian and Black Sea Fleet vessels in the Bay of Sevastopol in Crimea on Saturday.
Ukraine has neither denied nor confirmed that it carried out the attack and has instead suggested that Russia may have orchestrated it itself so that it could suspend participation in the Black Sea Grain Initiative
Aliyeshambilia Crimea sio Ukraine ni nato na ndicho imepelekea russia kwenda un balaza la usalama ili kama vita itangazwe rasmi
 
R.I.P wanajeshi wa Ukraine waliokuwepo kwenye helicopter.kiukweli aliyewatungua ni mtu m-bad sana

KAMATA MWIZIIIIIII[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe hiyo video warusi mmeiba kwa Ukraine halafu mkageza habari kama kawaida yenu,hiyo Helicopter ni ya Urusi ambayo imebutuliwa na MANPADS za Ukraine kikosi cha 54th mechanized brigade huko Bakhmut, Donetsk Oblast.

Geogolocation hii hapa kuthibitisha mahali ilipitunguliwa

Heli gets hit from the west, travelling north: 48.79408, 38.27866

RIP warusi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kile kipigo walichopokea wapiganaji wa Wagner group kinawauma sana pro Russia, wanatafta mahali pa kulipiza panakosa mpaka wanafikia atua wanaokoteza video..., Russia akilipiza kisasi anaishia tu kulipua miundombinu, hivyo wanaona Russia haikidhi haja zao [emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji2]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
R.I.P wanajeshi wa Ukraine waliokuwepo kwenye helicopter.kiukweli aliyewatungua ni mtu m-bad sana

Mi-8 ya Ukraine hii hapa ambayo ilipata hitilafu ikaanguka,crew nzima wamesalimika

#Ukraine: A Ukrainian Mi-8 helicopter crashed in the vicinity of Kostiantynivka, #Donetsk Oblast. Three crewmen reportedly survived and were recovered. The reason for the crash is currently unknown.

KAMATA MWIZIIIIIII[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe hiyo video warusi mmeiba kwa Ukraine halafu mkageza habari kama kawaida yenu,hiyo Helicopter ni ya Urusi ambayo imebutuliwa na MANPADS za Ukraine kikosi cha 54th mechanized brigade huko Bakhmut, Donetsk Oblast.

Geogolocation hii hapa kuthibitisha mahali ilipitunguliwa

Heli gets hit from the west, travelling north: 48.79408, 38.27866

RIP warusi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii kitaalamu tunaita punyeto vitani

Russia wanajaribu kupiga martial musterbation [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii kitaalamu tunaita punyeto vitani

Russia wanajaribu kupiga martial musterbation [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Marehemu Ruge alisema ogopa Mungu na Teknolojia,warusi hawajui kama hata wewe hapo wa ikwiriri unaweza chukua video mtandaoni ukachukua cordinate (kama video ilishutiwa wakati location ikiwa on) ukaingiza coordinates zako kwa Geolocation na kukupa mahali tukio lilipotokea. Wanadhani bado tupo Karne ya Saba[emoji23]
 
Mi-8 ya Ukraine hii hapa ambayo ilipata hitilafu ikaanguka,crew nzima wamesalimika

#Ukraine: A Ukrainian Mi-8 helicopter crashed in the vicinity of Kostiantynivka, #Donetsk Oblast. Three crewmen reportedly survived and were recovered. The reason for the crash is currently unknown.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani kwa kuangalia tu hapo kweli kuna mtu hata mmoja ametoka mzima.kweli nyie ni wazee wa propaganda
 
Back
Top Bottom