Ndiyo Marekani ilishawahi kujinasibu hivyo na siyo hivyo tu bali ni kweli alizitumia silaha hizo huko Hiroshima na Nagasaki huko Japan na kuua maelfu na/kwa maelfu ya watu wasio na hatia. Marekani ndilo taifa pekee duniani mpaka sasa lililowahi kutumia silaha za nyuklia duniani. Kwa silaha hizo za nyuklia katika miji hiyo miwili ya Japan zaidi ya watu 500,000 waliuawa. Na hata sasa wajapan wanaendelea kufa kwa kansa. na wengine huzaliwa hawana pua, mikono, miguu, sehemu za siri na viungo vingine. Marekani pia ni taifa lililowahi kutumia silaha za sumu
za napalm huko Vietnam . Picha ya chini inaonesha mtoto mdogo wa kike wa Vietnam akikimbia mitaani uchi baada ya kuunguzwa na mabomu ya napalm huko Vitnam mwaka 1972. Marekani ni taifa la kinyama, kishenzi na kifedhuli. Marekani pia imewaua viongozi kadhaa duniani akiwemo Patrice Lumumba wa Kongo, Sadam Hussein wa Iraq na Ghadafi wa Libya na Allende wa Chile.
Utaniambia nini mimi mkongwe kuhusu Marekani???!!! Nyie vijana wa dot.com ndio ambao mmelishwa sumu na propaganda za USA. Marekani ni taifa la kishetani. full stop.
za
View attachment 2402933