Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tatizo wabongo mnafananisha Ukraine na Burundi au Congo kumbukeni hawa ni wazungu Kwa namna yeyote Ile watapata misaada ya kila namna na watavuka salama kipindi hiki cha baridi..
Ni Nani anapicha au video za wakimbizi wa Ukraine wakigombea chakula kwenye kambi za wakimbizi? Au Nani ana picha za kambi za wakimbizi kama ilivyo huku Africa?

Mjibu Meya wa Kyiv , siyo sisi
 
Huwezi kuona picha zao kwa sababu hawataki uone, watakuonyesha za Africa na Asia sababu ndio wanazopenda uzione.

Nchi nyingi barani Ulaya Kuna maandamano kupinga upandaji wa nishati lakini huwezi kuona BBC ama CNN wakiripoti sababu hawataki wewe uzione.
 
Kwa nini wazungu wengine wanaandaman kupinga ugumu wa maisha?. Kwa nini wazungu wengine wanaandaman wakidai Kuna uhaba wagesi?. Kabla ya hii SMO niliamini viongozi wa EU wanaakili kuliko viongozi wakiafrika wengi, lkn baada yahili tukio naamini hawana tofauti na viongozi wengi wa Afrika. Kuna baadhi yaviongozi wachache wanaojitambua kama viongozi wa Hungary, wengine wengi niwajinga wajinga.
kwan kilo ya mchele tsh ngap nchini mwako au unaish kwa shemej ? Hata Urusi hali ngumu ila kwa kipind hiki Urusi kaweka sheria za kinazi ukiandamana tu jela miaka 15 unaonekana ni proWest na kwa huku Afrika kama unavyojua vijana ni mrenda sana , tangu wiki hii mabando yanepanda mpo kimya , Ila wenzenu Ulaya wanajitambua na ndio maana wanaandamana ila ww kima wakiongeza TOZO upo kimya , Wakiongeza gharama za mabando upo kimya , mchele Super 1kg ni Tsh 3000 kutoka Tsh 2400/500 , ila mpo kimya nlikuwa nanunua unga 5kg Tsh 6000 juz nimeuziwa Tsh 9000 , bado mpo kimya sabab hamjitambui , Mafuta yaliyoagizwa kabla ya uvamiz wa Urusi eti yalipofika nayo yaliuzwa mpk Tsh 3000 per litre , Yaan nyiny watu weusi vilaza sana , mpo bize kusema maisha magumu ulaya ila kwenu hampaoni , LEO ni mwezi unatimia maji hayapo krb sehem kubwa ya Dar , huko Tegeta ,mbezi juu na mbez beach mpk kawe hakuna maji watu wanatafuta maji mpk saa 8 usk , Ila mpo bize na wazungu as if hiyo hali ipo kwap tu , WAZUNGU WANAJIELEWA NA WAPO HURU KUPIGANIA HAKI ZAO SIO KAMA URUSI NA CHINA SIJAWASAHAU AFRIKA NI UTUMBO KABISA
 
Huwezi kuona picha zao kwa sababu hawataki uone, watakuonyesha za Africa na Asia sababu ndio wanazopenda uzione.

Nchi nyingi barani Ulaya Kuna maandamano kupinga upandaji wa nishati lakini huwezi kuona BBC ama CNN wakiripoti sababu hawataki wewe uzione.
umejuaje kama hakuna kinachoonesha , kwamba wanaowapa taarifa hawana hata smartphones ? achen upimbi bwana
 
Anataka kuwaua watu wake bila sababu iliyokuwa ya maana kuliko uhai wao
Nan aliwai tishia nyuklia ? huyo huyo ndo muuaji asie na akili ningekuwa mm ningepiga pale moscow ili apate uchungu wa vita
 
Kuna watu chuki zao kwa Marekani ndiyo zimewafanya wachague kukaa upande wa Russia, lakini kinachowashangaza ni kuwa adui yao Mwingine, Israel anamsaidia Russia.

Hii vita ukiitazama kwa mtazamo huo mwisho wa siku unatoka kwenye uhalisia unabaki kwenye matamanio. Kwa mfano Ukraine ikipigwa, faida kwa Tanzania ni ipi. Jee Russia ikirudisha maeneo iliyoyateka kwa Ukraine ama ikibaki nayo, sisi kama nchi tunafaidika nini?

Urusi ilifanya kosa kuivamia Ukraine na kama tungekuwa taifa letu lina misimamo kama ile ya zamani, saa hizi tayari tungekuwa tumeshaishutumu Russia kwa uvamizi huo. Kitu pekee kwenye vita hii ni kuona kama ilikuwa ni halali Russia kuivamia Ukraine??
 
Wanasema ETI "WALIWEKA NO FLY ZONE LIBYA SABABU GADAFFI ALIKUWA ANAUA RAIA WAKE.... ila hao hao HAWAJAWEKA NO FLY ZONE UKRAINE wakati UKRAINE wanaua raia WA DONBASS KWA MIAKA 8 Baada ya Maidan Revolution iliyopangwa na kifadhiliwa na Marekani" ..... inafikirisha sana hawa watu.
Mkuu inafaa kuona na kutambua tofauti muhimu: Libya msingi ulikuwa azimio la baraza la Usalama la UM. Hakuna kuingia kwa hiari ya nchi moja. Inaonekana wote walikubali Gaddafi alichinja raia hovyo wakakubali azuiliwe.

Ukraine hakuna makubaliano ya aina hii. Unachodai kuhusu Ukraine kuua raia, wengi wanaona ni kilio cha propaganda si kweli. Vivyo hivyo maoni yako kuhusu mapinduzi ya Maidan...
 
Liz Truss’ Phone ‘Hacked By Russians’ — Media

The security breach was allegedly discovered back in summer when then Foreign Secretary Truss was fighting for the Tory leadership, and prompted former Prime Minister Boris Johnson to order a complete media blackout due to sensitivity of the matter, the Mail on Sunday reported citing unnamed security sources.

The messages obtained by hackers reportedly included Truss’ “highly sensitive discussions with senior international foreign ministers about the war in Ukraine, including detailed discussions about arms shipments,” according to the paper.

While the details of the hack remain unclear, the culprits are believed to have downloaded up to a year’s worth of recordings, including private conversations in which Truss and her political ally Kwasi Kwarteng criticized Johnson.

Subscribe to RT
IMG_20221030_120752_151.jpg
 
Kuna watu chuki zao kwa Marekani ndiyo zimewafanya wachague kukaa upande wa Russia, lakini kinachowashangaza ni kuwa adui yao Mwingine, Israel anamsaidia Russia.

Hii vita ukiitazama kwa mtazamo huo mwisho wa siku unatoka kwenye uhalisia unabaki kwenye matamanio. Kwa mfano Ukraine ikipigwa, faida kwa Tanzania ni ipi. Jee Russia ikirudisha maeneo iliyoyateka kwa Ukraine ama ikibaki nayo, sisi kama nchi tunafaidika nini?

Urusi ilifanya kosa kuivamia Ukraine na kama tungekuwa taifa letu lina misimamo kama ile ya zamani, saa hizi tayari tungekuwa tumeshaishutumu Russia kwa uvamizi huo. Kitu pekee kwenye vita hii ni kuona kama ilikuwa ni halali Russia kuivamia Ukraine??
Ndio watu wengi ni kwa sababu ya chuki dhidi ya Marekani ndio maana Wanakaa upande wa Russia lakini ukiwa unasimamia haki Russia ana makosa.
 
Back
Top Bottom