Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mji wa druvmany karibu na mto oskol huko kharkiv umekombolewa na urusi.

Huko kherson ni kama jehanam kwa jeshi maiti zimezagaa kila sehemu.


Sehemu kubwa sana ya jiji la kupyansk isharudi kwenye mikon ya urusi
Kichapo kiendelee...
20221030_071445.jpg
 
russia wakitenda wema wanakharamu wanamchokonoa, russia wakionyesha upande wa pili wa sura wanakharamu wanalalamika.

hii mizungu pori iliwezaje kututawala?

Italian FM Antonio Tajani: “Blocking the grain corridor means food deprivation for millions of people living in poverty. This is tantamount to grave acts against humanity. I hope that Russia will reconsider its position regarding participation in the grain export agreement.”
 
The purchasing power of Asian countries has been growing for a number years now, also due to the growing population in Asian countries versus the dwindling population in europe, Russia is to benefit in the long-run aas compared if it could have stuck with the European market
Boss, Ukiwa na huduma yako, bora upate wateja wazungu kumi kuliko wateja wahindi/wachina 20. Wale si walipaji wazuri, wana tabia za kutumikisha, wanapenda bei ya chini lakini thamani iwe juu, kubargain ilihali tayari kuna price tag na hawana descipline ya utunzaji. Jaribu kufatilia hata watalii wa kihindi au kichina waliopo hapa.

Yes they have population, and yes their pp is growing but Still you can not replace Europe with China/Asia market and declare a win, their spending habit is not good. (Hata hapa kwetu kwenye utalii hawafai bado)

Mayb in long-run as you sugest...... Plus, we have no clue if technology will not provide the word with energy alternative.
 
Tatizo wabongo mnafananisha Ukraine na Burundi au Congo kumbukeni hawa ni wazungu Kwa namna yeyote Ile watapata misaada ya kila namna na watavuka salama kipindi hiki cha baridi..
Ni Nani anapicha au video za wakimbizi wa Ukraine wakigombea chakula kwenye kambi za wakimbizi? Au Nani ana picha za kambi za wakimbizi kama ilivyo huku Africa?
 
Anataka Ukraine isalimu amri kumbuka winter inakaribia hivyo anadhani akishambulia miundombinu ya nishati anaweza ipigisha magoti Ukraine ikataka mazungumzo. Juzi Zelenksy kawajibu kwamba wako radhi kukaa na Giza au kufa kwa baridi lakini si kusikia nyimbo ya Taifa la Urusi zikiimbwa kwenye ardhi ya Ukraine.

USAID wako mbioni kupeleka Genereta Mia moja,Spain pia imesema itapeleka majereta.
Wawapelekeee na solar panels jameni gaiiiii........
 
Tatizo wabongo mnafananisha Ukraine na Burundi au Congo kumbukeni hawa ni wazungu Kwa namna yeyote Ile watapata misaada ya kila namna na watavuka salama kipindi hiki cha baridi..
Ni Nani anapicha au video za wakimbizi wa Ukraine wakigombea chakula kwenye kambi za wakimbizi? Au Nani ana picha za kambi za wakimbizi kama ilivyo huku Africa?
Kwa nini wazungu wengine wanaandaman kupinga ugumu wa maisha?. Kwa nini wazungu wengine wanaandaman wakidai Kuna uhaba wagesi?. Kabla ya hii SMO niliamini viongozi wa EU wanaakili kuliko viongozi wakiafrika wengi, lkn baada yahili tukio naamini hawana tofauti na viongozi wengi wa Afrika. Kuna baadhi yaviongozi wachache wanaojitambua kama viongozi wa Hungary, wengine wengi niwajinga wajinga.
 
Hongera mkuu, unasema kwa taarifa ulizo nazo asilimia 15 za Ukraine zinadhibitiwa sasa na Urusi. Nashukuru sana maana hujaribu kutulisha propaganda eti maeneo hyo yote si Ukraine tena, ni sasa Urusi tangu kura zile za bandia.
Kweli kufuatana na kanuni za sheria ya kimataifa, maeneo ni ya Ukraine hadi Krimea.
Swali la busara ni tofauti kidogo na swlai la haki...
Kama South ossetia na Crimea tu.... Na maisha yataendelea.
 
Winter is Coming!!

Ili kuepusha maafa, Vitaly Klitschko anazitaka nchi za Magharibi kutuma mablanketi na mavazi ya joto haraka.

View attachment 2401436Mwanamke akitembea kwenye kivuko cha theluji baada ya theluji nzito kuanguka katika mji mkuu wa Ukraine, kyiv, Februari 6, 2019.

Raia wengi wa Ukraine wanaweza "kuganda hadi kufa" katika miezi ijayo isipokuwa nchi za Magharibi ziwasaidie kukabiliana na tatizo kubwa linalokuja kutokana na mashambulizi ya anga ya Urusi kwenye miundombinu ya nishati ya taifa hilo, Meya wa Kyiv Vitaly Klitschko aliviambia vyombo vya habari vya Uingereza siku ya Ijumaa.

Akizungumza na The Daily Telegraph, Klitschko, bingwa wa zamani wa ndondi uzito wa juu, alikiri kwamba Ukraine itakabiliwa na changamoto kubwa. "Tunafanya kila tunaloweza kufanya kuokoa maisha ya watu wetu na kuwalinda," meya aliambia chombo hicho.

Afisa huyo alisema timu yake imeweza kununua idadi ya jenereta za umeme huku ikitayarisha vituo 1,000 vya kutengeneza joto huko Kyiv kwa kutarajia kile alichokiita "hali mbaya zaidi."

Klitschko aliashiria kwamba Ukraine inahitaji haraka sio tu silaha za Magharibi na mifumo ya ulinzi wa anga, lakini pia blanketi, nguo za msimu wa baridi na jenereta.

"Ni wakati muhimu kwa aina hii ya msaada," alisisitiza.

Ukrainians ng'ambo waliambiwa wasirudi nyumbani msimu huu wa baridi

Akitoa mfano wa "hatari ya suala la kibinadamu," pia aliwataka Waukraine ambao wamekimbia nchi kukaa mbali msimu huu wa baridi kama wanaweza. "Lakini lengo letu kuu ni kuwarudisha watu wetu, thamani kubwa ya Ukraine ni raia wetu na watu wetu," aliongeza.

Maoni ya meya yanalingana na matamshi ya awali yaliyotolewa na Naibu Waziri Mkuu wa Ukraine Irina Vereshchuk. Wiki hii, alitoa wito kwa Waukraine walioondoka baada ya kuanza kwa mashambulizi ya kijeshi ya Urusi kutorejea nyumbani kabla ya majira ya kuchipua, kutokana na mgomo wa Moscow kwenye miundombinu ya nishati.

Wakati huo huo Yuri Vitrenko, mkuu wa kampuni kubwa ya nishati inayomilikiwa na serikali ya Naftogaz, amewaonya raia wenzake kwamba Ukraine inakabiliwa na majira ya baridi kali zaidi kuwahi kutokea, huku akidai kuwa mashambulizi ya anga ya Urusi yameharibu "karibu 40% ya mitambo ya kuzalisha umeme".

Ukraine imekuwa ikikabiliwa na kukatika kwa umeme mara kwa mara tangu Moscow ilipoanzisha mgomo mkubwa diidi ya vituo vyake vya nishati, ikiwa ni pamoja na vituo vya nishati mnamo Oktoba 10, baada ya kuishutumu Kyiv kwa mashambulizi ya kigaidi kwenye miundombinu ya Urusi, ikiwa ni pamoja na daraja la kimkakati la Crimea.

Katika jaribio la kuepusha maafa ya kibinadamu, EU wiki iliyopita ilitangaza mpango mpya wa makazi ya dharura na vifaa vya msimu wa baridi kwa Ukraine, ikiahidi kutoa zaidi ya Euro milioni 175 ($ 174 milioni) katika usaidizi wa kibinadamu kwa sehemu zilizo hatarini zaidi za idadi ya watu nchini Ukraine na. nchi jirani ya Moldova.

Mapema mwezi huu Marekani, mfadhili mkuu wa kimataifa wa Ukraine, iliahidi kuunga mkono Kyiv kwa usaidizi wa dharura wa dola milioni 55. Mfuko huo ni pamoja na uwekezaji katika miundombinu ya kutengeneza joto, ununuzi wa jenereta na njia zingine za kuwapa joto Waukrainia.

My Take:
Nmpongeza Klitschko kwa kusema ukweli. Suala hilo ni muhimu na halihitaji propaganda za Zelensky!!
Anataka kuwaua watu wake bila sababu iliyokuwa ya maana kuliko uhai wao
 
Ishu kwanza No fly zone

Kama sababu ya GADAFI kuua watu wake kama mnavyo dai ikaekwa No fly zone mpaka akauliwa

Ila ya UKRAINE kuvamiwa munasema sio NATO member basi poleni sana maana hata YUGOSLAVIA haikua NATO na ikachapwa


Nyuklia RUSSIA kutishia binafsi ananiudhi bunafsi yangu nataka atumie kabisa

Kwani NYUKLIA imetengenezwa sababu gani au ikitumika kuna ubaya upi sinisilaha tu kama silaha nyengine!!?

RUSSIA akiongelea kuhusiana na NYUK bila kuitumia ananiudhi kabisaa
Wanasema ETI "WALIWEKA NO FLY ZONE LIBYA SABABU GADAFFI ALIKUWA ANAUA RAIA WAKE.... ila hao hao HAWAJAWEKA NO FLY ZONE UKRAINE wakati UKRAINE wanaua raia WA DONBASS KWA MIAKA 8 Baada ya Maidan Revolution iliyopangwa na kifadhiliwa na Marekani" ..... inafikirisha sana hawa watu.
 
Ni kujikosea kama kwenye maelezo yangu yale uliona niliposema "mbele ya safari" nilimaanisha ni miaka mia ijayo. Utakuwa ulikuwa unasoma bandiko langu huku ukiwaza nimeandika ulichodhani nitaandika.

Vita ni suala la Sayansi, wala halihitaji kupiga ramli. Hii vita inavyoelekea ni kwamba mbele ya safari, Russia itaanza kubeba machungu yake.

Umefuatilia kinachotokea kwa wale wanajeshi waliohamasishwa kujiunga na jeshi wakitokea mitaani? Tatizo wengi wenu mnaona kama vile Russia inapambana na Marekani, wakati ukweli wa mambo inapambana na Ukraine inayotumia silaha za Marekani.
Kwa sasa machungu anayabeba nani ndugu mtabiri!!?? Ya mbeleni huko hatyajui sisi nani ataumia WALIWEKA vikwazo tangu south ossetia, wakaweka vikwazo vya Crimea , wakaweka vikwazo Baada ya Maidan Revolution Russia alipowasaidia DONBASS wamewekwa vikwazo sasa na wameongeza vikwazo anayebeba machungu Kwa sasa ni nani !!! Tuanzie Hapo na tuwe tunakumbushana Kila siku mpaka hiyo mbeleni yako itapofika.
 
What happened to Admiral Makarov class frigate.
What happened to Moskva?
View attachment 2401735
Does it mean NATO countries do not have navies?! Does it mean USA does not have a navy?! Nor does UK has a navy?! Russia is fighting against 30 countries most of which have navies..This is a proxy war which is being fought in Ukraine...
 
Back
Top Bottom