Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yani siku Marekani akimpa Ukraine Makombora ya masafa marefu kama ATACMS bhas Urusi aandike maumivu maana najua kutokana na hizi recon flights ana target nyingi za mbali ambazo kwa silaha alizonazo sasa hawezi zifikia.

ATACMS zitaigeuza Sevastopol kifusi maana kama wameshindwa kutungua drone 9 tu za Leo,sidhani kama wataweza kutungua hizo ATACMS ambazo kwenye flight path yake inafanya maneuver za kutosha. Air defenses za Urusi kwenye hii vita zimeonyesha udhaifu mkubwa Sana.
what i see here ni justification tu.russia grain deal,imekuwa kikwazo kikumbwa sana kuicharaza ukraine huo ukanda wa bahari, amepata thru pass mzuri sana sasa.time will tell
 
what i see here ni justification tu.russia grain deal,imekuwa kikwazo kikumbwa sana kuicharaza ukraine huo ukanda wa bahari, amepata thru pass mzuri sana sasa.time will tell
Hahahaha ukanda gani Mzee maana huko Odessa Makombora na kamikaze drones za Iran zinashuka kama kawaida. Russia kajitoa kwenye grain deal sababu anataka kuuza nafaka zake maana hili deal lilivyoanza kufanya kazi nafaka za Urusi zilikosa wateja,na juzi msemaji wa Russia alisema hili kwamba watasitisha grain deal ikiexpire next month. Nina hakika Ukraine pia ilitarajia kwamba Russia itasitisha hayo makubaliano ndo maana wameamua liwalo na liwe wakashambulia hizo warships hapo Sevastopol.
 
Hahahaha kumbe hawana wateja ndo maana wanataka kuzuia deal na UN ili nafaka za Ukraine zisitoke[emoji23] kweli Babu Putin kabanwa[emoji1782][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji298]️The spokeswoman of the Ministry of Foreign Affairs of the Russian Federation, Maria Zakharova, said that Russia allegedly faced problems with the export of agricultural products, so it may not agree to the extension of the grain agreement.
mixx hii nilipost jana
 
Huu mzigo ufanye ufungwe sasa Doooh

[emoji298]️Ukraine is waiting for the delivery of Norwegian NASAMS complexes in the near future, which can seriously strengthen air defense, – the spokesman of the Air Force of the Ukrainian Armed Forces, Yurii Ihnat says.
 
Hipo hivi.

Wakati wanakubaliana ile Ukraine Grain Deal, walikubaliana na Russia Agri products ziwe exported.

Hiyo ndio deal waliokubaliana.

Sasa kilichotokea Ni kwamba, Westerns wameendelea kuweka vikwazo kwenye Russia Agri products. Kwa hiyo hapo Kuna violation ya hiyo deal

Ndio maana Sasa, Russia wanasema kwamba hiyo deal haiwezi kuwa renewed kwa sababu Kuna violations.

Hope you understand now.
Agricultural products,mbolea,madawa hivyo vyote vipo exempted kwenye vikwazo vilivyowekwa na West. Hivyo taarifa yako uliyoitoa haina ukweli wowote.
Ukweli ni kwamba baada ya hayo makubaliano nchi ziliacha kununua kwa Russia zikahamia Kwa Ukraine lakini si kweli kwamba bidhaa hizo za Russia nilizozitaja zilikua kwenye vikwazo.

Western officials have dismissed those claims. U.S. Secretary of State Antony Blinken noted last week that food, fertilizer and seeds are exempt from sanctions imposed by the U.S. and many others — and that Washington is working to ensure countries know the flow of those goods should not be affected

Russia Slams Sanctions, Seeks to Blame West for Food Crisis
 
Hoja za kimantiki na Kipropaganda ndiyo zinatakiwa zitawale huu mjadala. Russia wanapigwa ila bado wanayo "Laverage" ya hii vita. Nayo ni Ulaya na Marekani.

Mpaka Ulaya itakapokuwa na Gesi na Mafuta ya Uhakika ndipo Urusi itaacha kujiona ni "super Power" na Kiburi chake kwa Marekani kitapungua.

Mrusi anategemea makombora na mabomu ya kuangushwa kwa Ndege wakati Ukraine wao tegemeo lao kubwa ni Askari waenda kwa miguu na vifaru. Kuingia kwa msimu wa Baridi na unyeshaji wa mvua utaipunguza kasi hii vita.

Bado kimantiki mpaka sasa anayeshambuliwa (siyo kushindwa) ni Mrusi. Vita ina mapambano (Batles) ambayo ndiyo huijenga vita. Jee bado mapambano mangapi mpaka pale mshindi atakapojulikana?
Subiri winter battles
Subiri partial mobilization
Subiri Conscript kumwaga huko Donbas

Halafu wakishindwa hawa ndio nami nitakubali kuwa Ukraine anaweza kuabsorb ngumi nzito za kirusi.

Awali Ukraine walifanya mobilization katika wave Saba hivyo kuwa na idadi hiyo ya askari unayoiyona ambao wanakaribia 700,000

Sasa tusubiri majibu ya Mrusi baada ya refresh course kuisha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Urusi yasema haitahusika kwenye usafirishaji wa nafaka baada yaUkraine kulipua meli zake 3 huko sevastopol
Hiki kipigo alichopewa urusi huko Sevastopol inaonekana kimemuingia sawasawa.., maana hizi statement anazotoa inaonekana amepanick [emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Winter is Coming!!

Ili kuepusha maafa, Vitaly Klitschko anazitaka nchi za Magharibi kutuma mablanketi na mavazi ya joto haraka.

FE80421A-3791-4225-8FDD-D0FB2DD70341.jpeg
Mwanamke akitembea kwenye kivuko cha theluji baada ya theluji nzito kuanguka katika mji mkuu wa Ukraine, kyiv, Februari 6, 2019.

Raia wengi wa Ukraine wanaweza "kuganda hadi kufa" katika miezi ijayo isipokuwa nchi za Magharibi ziwasaidie kukabiliana na tatizo kubwa linalokuja kutokana na mashambulizi ya anga ya Urusi kwenye miundombinu ya nishati ya taifa hilo, Meya wa Kyiv Vitaly Klitschko aliviambia vyombo vya habari vya Uingereza siku ya Ijumaa.

Akizungumza na The Daily Telegraph, Klitschko, bingwa wa zamani wa ndondi uzito wa juu, alikiri kwamba Ukraine itakabiliwa na changamoto kubwa. "Tunafanya kila tunaloweza kufanya kuokoa maisha ya watu wetu na kuwalinda," meya aliambia chombo hicho.

Afisa huyo alisema timu yake imeweza kununua idadi ya jenereta za umeme huku ikitayarisha vituo 1,000 vya kutengeneza joto huko Kyiv kwa kutarajia kile alichokiita "hali mbaya zaidi."

Klitschko aliashiria kwamba Ukraine inahitaji haraka sio tu silaha za Magharibi na mifumo ya ulinzi wa anga, lakini pia blanketi, nguo za msimu wa baridi na jenereta.

"Ni wakati muhimu kwa aina hii ya msaada," alisisitiza.

Ukrainians ng'ambo waliambiwa wasirudi nyumbani msimu huu wa baridi

Akitoa mfano wa "hatari ya suala la kibinadamu," pia aliwataka Waukraine ambao wamekimbia nchi kukaa mbali msimu huu wa baridi kama wanaweza. "Lakini lengo letu kuu ni kuwarudisha watu wetu, thamani kubwa ya Ukraine ni raia wetu na watu wetu," aliongeza.

Maoni ya meya yanalingana na matamshi ya awali yaliyotolewa na Naibu Waziri Mkuu wa Ukraine Irina Vereshchuk. Wiki hii, alitoa wito kwa Waukraine walioondoka baada ya kuanza kwa mashambulizi ya kijeshi ya Urusi kutorejea nyumbani kabla ya majira ya kuchipua, kutokana na mgomo wa Moscow kwenye miundombinu ya nishati.

Wakati huo huo Yuri Vitrenko, mkuu wa kampuni kubwa ya nishati inayomilikiwa na serikali ya Naftogaz, amewaonya raia wenzake kwamba Ukraine inakabiliwa na majira ya baridi kali zaidi kuwahi kutokea, huku akidai kuwa mashambulizi ya anga ya Urusi yameharibu "karibu 40% ya mitambo ya kuzalisha umeme".

Ukraine imekuwa ikikabiliwa na kukatika kwa umeme mara kwa mara tangu Moscow ilipoanzisha mgomo mkubwa diidi ya vituo vyake vya nishati, ikiwa ni pamoja na vituo vya nishati mnamo Oktoba 10, baada ya kuishutumu Kyiv kwa mashambulizi ya kigaidi kwenye miundombinu ya Urusi, ikiwa ni pamoja na daraja la kimkakati la Crimea.

Katika jaribio la kuepusha maafa ya kibinadamu, EU wiki iliyopita ilitangaza mpango mpya wa makazi ya dharura na vifaa vya msimu wa baridi kwa Ukraine, ikiahidi kutoa zaidi ya Euro milioni 175 ($ 174 milioni) katika usaidizi wa kibinadamu kwa sehemu zilizo hatarini zaidi za idadi ya watu nchini Ukraine na. nchi jirani ya Moldova.

Mapema mwezi huu Marekani, mfadhili mkuu wa kimataifa wa Ukraine, iliahidi kuunga mkono Kyiv kwa usaidizi wa dharura wa dola milioni 55. Mfuko huo ni pamoja na uwekezaji katika miundombinu ya kutengeneza joto, ununuzi wa jenereta na njia zingine za kuwapa joto Waukrainia.

My Take:
Nmpongeza Klitschko kwa kusema ukweli. Suala hilo ni muhimu na halihitaji propaganda za Zelensky!!
 
Yani siku Marekani akimpa Ukraine Makombora ya masafa marefu kama ATACMS bhas Urusi aandike maumivu maana najua kutokana na hizi recon flights ana target nyingi za mbali ambazo kwa silaha alizonazo sasa hawezi zifikia.

ATACMS zitaigeuza Sevastopol kifusi maana kama wameshindwa kutungua drone 9 tu za Leo,sidhani kama wataweza kutungua hizo ATACMS ambazo kwenye flight path yake inafanya maneuver za kutosha. Air defenses za Urusi kwenye hii vita zimeonyesha udhaifu mkubwa Sana.
Sidhani kama atampa. Itakuwa hataki kupromote heavy boms war.
 
Yani siku Marekani akimpa Ukraine Makombora ya masafa marefu kama ATACMS bhas Urusi aandike maumivu maana najua kutokana na hizi recon flights ana target nyingi za mbali ambazo kwa silaha alizonazo sasa hawezi zifikia.

ATACMS zitaigeuza Sevastopol kifusi maana kama wameshindwa kutungua drone 9 tu za Leo,sidhani kama wataweza kutungua hizo ATACMS ambazo kwenye flight path yake inafanya maneuver za kutosha. Air defenses za Urusi kwenye hii vita zimeonyesha udhaifu mkubwa Sana.
Ukraine iko inafanya development ya suicide drones ndogo. Watatumia hizo kwenye range ya few hundred kilometres. Hakuna air defence ya maana Urusi inaweza tuonyesha, wamejaza hundreds of systems na haziwezi linda anga. Ilikuwa imezoea kuwasingizia Syria sasa izitumie silaha zake yenyewe
 
Back
Top Bottom