Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SAWAAYatarudi Tena moja baada ya jingine...Hiyo ndiyo Russia, bwana eeeh Ndugu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SAWAAYatarudi Tena moja baada ya jingine...Hiyo ndiyo Russia, bwana eeeh Ndugu..
Endeleeni kujifariji hivyo hivyo.., inapunguza msongo wa mawazo [emoji2957]Yatarudi Tena moja baada ya jingine...Hiyo ndiyo Russia, bwana eeeh Ndugu..
Hapa pro Russia watapita kama hawaoni vile [emoji848]Dadekiiiii
[emoji298]️High-ranking Wagner officer killed by Ukrainian special forces in close combat.
Ukrainian special forces unit "Khort" reported that it had killed the deputy chief of staff of the Russian state-backed military company Wagner.
Hata mi nilikuwa nashangaa kwanini hawahangaiki na viwanja vya kijeshi, makambi, radar sitesHahahaha hakuna mahali wamesema Russia kaishiwa Ballistic missiles kama hiyo taarifa anayo ailete hapa.
Experts wanachosema ni kwamba inawezekana Russia ina upungufu wa Makombora ya Iskander ndio maana wakati huu hawapigi kambi za jeshi la Ukraine tena wamehamia kwenye miundombinu ya nishati ambayo wanatumia kamikaze drones.
Wenzako pro-NATO Mara nyingi majibu yao Yana namna ya mantiki Kama akina Pietro, fuso, na wengine wengi...ila wewe huwa nashindwa kuelewa Kama ni robot au mtu...majibu yako hayawezi kukosa maneno Kama kujifariji, fashisti, dikteta, pimbi, kupelekewa Moto, na picha za mtu unayemuita nguchiro au ile sijui kidole Cha kati kimeoneshwa juu ...yaani mpaka mtu unashangaa inakuwaje mtu awe na majibu ya Aina moja kwa Kila comment?!?!Endeleeni kujifariji hivyo hivyo.., inapunguza msongo wa mawazo [emoji2957]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ficha upumbavu wako.., ukulazimishwa kujibu coment yanguWenzako pro-NATO Mara nyingi majibu yao Yana namna ya mantiki Kama akina Pietro, fuso, na wengine wengi...ila wewe huwa nashindwa kuelewa Kama ni robot au mtu...majibu yako hayawezi kukosa maneno Kama kujifariji, fashisti, dikteta, pimbi, kupelekewa Moto, na picha za mtu unayemuita nguchiro au ile sijui kidole Cha kati kimeoneshwa juu ...yaani mpaka mtu unashangaa inakuwaje mtu awe na majibu ya Aina moja kwa Kila comment?!?!
Ripoti Gani ilisema imekamata 20% kaka... Serikali ya Kiev ilikiri 15%... Nileteee chanzo kinachosema 20% ... Ukishindwa nakutia kapuni utakuwa ni HEARSAY PERFORMER... Tuongee facts kaka... Nileteee source iliyosema 20% ya Ukraine imechukuliwa. KaribuMwanzo Russia ilikamata 20% ikashuka mpaka 15% na Kwa kipigo anachoendelea kukipata sina Shaka mpaka Mwisho wa mwaka atabakiwa na 10% ,2023 Ukraine inamalizana na Supapawa wa mchongo.
Maamuzi sahihi ila kumbe Kabla ya haya maamuzi ilikuwa ni kujiachia tu huko Urusi.oblast zote za urusi
Kwa kuwa "Batlefields" zina "Shift" kutokana na mapigano yanayoendelea, kubishania asilimia ni kuvishusha hadhi vita vyenyewe. Urusi inashambulliwa na bado inatega mitego. Ukraine inasonga mbele lakini kwa tahadhari pia.Ripoti Gani ilisema imekamata 20% kaka... Serikali ya Kiev ilikiri 15%... Nileteee chanzo kinachosema 20% ... Ukishindwa nakutia kapuni utakuwa ni HEARSAY PERFORMER... Tuongee facts kaka... Nileteee source iliyosema 20% ya Ukraine imechukuliwa. Karibu
Here we go ... Karibu tuongee ubongo..... Ndio maana nimeacha kureply na kucomment sana ..wengi tuna ama wanaenda na mihemko ... Karibu tujadili facts...Kwa kuwa "Batlefields" zina "Shift" kutokana na mapigano yanayoendelea, kubishania asilimia ni kuvishusha hadhi vita vyenyewe. Urusi inashambulliwa na bado inatega mitego. Ukraine inasonga mbele lakini kwa tahadhari pia.
sasa hapo utaona mambo ya asilimia ngapi zinashikiliwa na nani haina uhusiano na kinachoendelea kule. Labda iwe ni kwa ajili ya kubishana.
Mkuu ukiamini hivi, asante sana. Ila kwa bahati nzuri Bwana Kim, pamoja na makelele yote anayopenda kupiga, anajua ni kweli pia ana akili. Kwa hiyo hatamshambulia yeyote kwa vidoli vyake vya nyuklia.US hawana akili
Mi kweli umenena vema.Mkuu ukiamini hivi, asante sana. Ila kwa bahati nzuri Bwana Kim, pamoja na makelele yote anayopenda kupiga, anajua ni kweli pia ana akili. Kwa hiyo hatamshambulia yeyote kwa vidoli vyake vya nyuklia.
kuna mtu anatafutiwa reasonDrone 9 tu Supapawa wa mchongo analia Lia je zingekua rundo kama anazorushaga yeye kwenye miundombinu ya nishati ya nyuklia si Leo angelipua nyuklia [emoji1782][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji298]️Russian Defense Ministry: Drone attack damages minesweeper, dam in Sevastopol.
Russia’s Defense Ministry blamed Ukraine for sending 9 drones to the Russian-occupied port city of Sevastopol in the morning of Oct. 29. Ukraine’s government hasn't commented on the alleged attack.