Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukranian insider channel:
Our source in the OP said that foreign volunteers / mercenaries refused to take part in the assault on Kherson, which is why the entire operation is postponed for several weeks until the Ukrainian Armed Forces collect new reserves.
 
I'm not surprised by your highly predictable rants - what would one expect from a subject whose analytical mind is dismal - obviously, every thing sounds Greek to him/her. CHEERS all the same.
Analytical gan uliyonayo ambayo inaweza mshawishi mtu ,maana ungekua mbobez usingeegemea upande mmoja ,wachambuz wa kweli hawafanani kabisa na wewe unakopi na kupest tuu huna maajabu bora ujikite kutuletea habari kuliko kutuletea uchambuzi uliojaa hisia kuliko uhalisia
 
[emoji1258] American stand-up comedian and popular US radio host Jimmy Dore spoke about US policy:

[emoji117] When we occupied Afghanistan for 20 years and killed millions of people in Iraq or destroyed Libya and Syria, where were the international laws?!

America wants to control the world, saying that rules based on international orders mean what we say, but we ourselves do not follow any laws.
Ngoja nimtag mwana demoghasia Yoda
 
Wasiposalim amri wataendelea kuuwawa kama kumbikumbi tu, hakuna namna [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu hudhani kwamba kuna lugha inayofaa zaidi? Maana hapa hakuna anayeuawa kama kumbikumbi wala kama mbwa wala kama mdudu - wanaouawa ni binadamu wote. Tena hawauawi kama wanyama wanaotajwa maana ukimpiga kumbikumbi hatakuuma - hapa inaweza kutokea kinyume .
Naona ugumu katika aina hii ya lugha ya propaganda kila upande
1) kwanza inapuuza utu na heshima ambayo kila binadamu anastahili (heshima ya yule anayeuwawa na heshima yako anayeandika vile)
2) pili inapuuza akili (kipaji kizuri kutoka muumba wetu!) ilhali tunajizamisha katika upumbavu wa propaganda
3) haisaidii chochote kuelewa mwendo wa vita hiyo
 
Wewe si juzi hapa ulileta habari toka DW ukawa unasema Ukraine anazungukwa huko Kherson kwamba itakua Mariupol 2,tena uliileta Kwa bashasha zote. Kwahiyo habari ikikufurahisha toka kwenye hivyo vyombo vya west unavyoviita vya uongo sio propaganda lakini isipokufurahisha inageuka propaganda,si ndio?!
Samahani ila siku nyengine nikwamba ukiongelea uliongelee lilokuepo MKUU la sivyo utatoka nje ya mada na lengo hapa ishu ilikua biibiisiii

Sasa hio diidabliyuu imetokea wapi hapa MKUU

Mwisho vyanzo vyote vya habari vyakimagharibi sio vyakuviamini hata dakika moja

Ila hua tunawaletea sababu ndio vyanzo munavyo vihusudu nakuvipenda tukiwaletea RT mnasema ni chombo cha sirikali sasa tuwaleteeni nini kama sio biibiisii na diidabliyuu ambavyo munaviamini nyie

Kuhusiana na KHERSON na DW nilitoa tu sababu ndio vyombo vyauhakika kwenu ila sisi maendeleo ya huko tuliishayapata toka kwa MOD wa RUSSIA

Makala pekee nnazo ziamini nakuzifatilia kutoka DW VOA na BBC nimaoni kwenye meza duara sababu yanatoka midomoni mwawatu sio yakukaririshwa yalio bakia yote uongo mwingi kuliko ukweli ukiacha michezo

Mwisho:-vyombo vya habari vyakimagharibi hata viseme nini usiviamini na uvipuuze ila kwakua ndio mmechagua kuviamini viaminini tuu ila kwasisi tunaojua uhovyo wahivyo vyombo tunataka kujua RUSSIA ipi iliishiwa chakula mwezi feb acc na biibiisiii pia RUSSIA ipi iliishiwa na silaha tokea march acc biibiisiii na RUSSIA ipi inatumia mashine za microwave acc T14 Armata ataleta chanzo usipokuja na majibu uache kuviamini hvyo vyombo vya hovyo
 
Hahahaha hapo kwenye Airforce umenichekesha Sana[emoji23][emoji23][emoji23]. Airforce hiihii ya Russia iliyoshindwa kukamata anga la Ukraine kikamilifu tena Ukraine ikiwa haina mifumo ya maana ya Ulinzi Bali Ile ya Usovieti ambayo na Russia alishaitumia sasa tunaingia mwezi wa 9. Kila kidege cha Russia kikijaribu kuingia kwenye anga la Ukraine kinashushwa tena ndege za kisasa kabisa kama Su-34 na Su-35 ambazo Russia alikua akizinadi zina powerful electronic warfare systems. Marekani ndani ya wiki tu alishacreate No fly zone kule Iraq Ila Urusi tunakaribia kumaliza mwaka sasa alichobakiza ni kutumia drones kupiga makazi na Raia pamoja na Shule za chekechea.

Hivi hizo artillery mbona hatuzioni zikileta mabadiliko yoyote kwenye hii vita?! Artillery nyingi za Russia ni unguided,atarusha mizinga ishirini kupiga target moja wakati Ukraine itahitaji kutumia Excalibur moja tu kupiga target hiyohiyo,Air defenses za Russia mlizokua mnazisifia humu ndani ziko wapi mbona hatujaona maajabu yake kwenye hii vita?! [emoji23]
Jeshi la Putin linatisha kwenye TV tu na makaratasi Ila ikija kwenye uhalisia ni paper tiger ndo maana chawa wake kila siku wapo kwenye TV wakitishia kuipiga Marekani maana ndo silaha Yao kuu waliyobaki nayo.

Yani Putin huyuhuyu aliyekimbizwa Kiev kama mwizi na lile limsafara lake na 65km ndo aweze kuikamata Ukraine nzima wakati Kherson tu inamshinda kuidhibiti kikamilifu.[emoji1787]
Marekani ndani ya wiki tu alishacreate No fly zone kule Iraq


Tunaomba ututajie mifumo mitatu tu yakisasa kwahuo mwaka (2003)

Iliokua tishio ambayo ilikua inalinda anga la huko UKRAINE

Halaf pia tunaomba kukueka sawa IRAQ haikupigwa na US ile IRAQ ilipigwa na NATO na majirani zake karibia wote kwamaana hio IRAQ ilipigwa namataifa zaidi ya 15

Pia tunakukumbusha IRAQ haikua ikipewa msaada na taifa lolote lile toka popote pale

RUSSIA inapigana na UKRAINE ambayo inajazwa kila leo na bado inachapika mpaka inalia lia
 
Samahani ila siku nyengine nikwamba ukiongelea uliongelee lilokuepo MKUU la sivyo utatoka nje ya mada na lengo hapa ishu ilikua biibiisiii

Sasa hio diidabliyuu imetokea wapi hapa MKUU

Mwisho vyanzo vyote vya habari vyakimagharibi sio vyakuviamini hata dakika moja

Ila hua tunawaletea sababu ndio vyanzo munavyo vihusudu nakuvipenda tukiwaletea RT mnasema ni chombo cha sirikali sasa tuwaleteeni nini kama sio biibiisii na diidabliyuu ambavyo munaviamini nyie

Kuhusiana na KHERSON na DW nilitoa tu sababu ndio vyombo vyauhakika kwenu ila sisi maendeleo ya huko tuliishayapata toka kwa MOD wa RUSSIA

Makala pekee nnazo ziamini nakuzifatilia kutoka DW VOA na BBC nimaoni kwenye meza duara sababu yanatoka midomoni mwawatu sio yakukaririshwa yalio bakia yote uongo mwingi kuliko ukweli ukiacha michezo

Mwisho:-vyombo vya habari vyakimagharibi hata viseme nini usiviamini na uvipuuze ila kwakua ndio mmechagua kuviamini viaminini tuu ila kwasisi tunaojua uhovyo wahivyo vyombo tunataka kujua RUSSIA ipi iliishiwa chakula mwezi feb acc na biibiisiii pia RUSSIA ipi iliishiwa na silaha tokea march acc biibiisiii na RUSSIA ipi inatumia mashine za microwave acc T14 Armata ataleta chanzo usipokuja na majibu uache kuviamini hvyo vyombo vya hovyo
Kaka wamesema tena URUSI IMEISHIWA BALLISTIC MISSILES......
 
Kwani umoja wa mataifa uliamzishwa kwa madhumumi gani - ni lini Dunia iliwahi kupigia kura Merikani kwamba ndiye awe kiranja mkuu wa Dunia, lini? Kama hiyo ni kweli, basi., hakuna haja ya kuendelea kuwepo Umoja wa Mataifa
Hayo umenena wewe ila ukweli unaujua
 
Mimi napenda kuwa wazi leo ukraine karusha zaid ya drone 20 crimea zote zimetunguliwa na russia marine hii habari ipo aljazeera na cnn .Nimetoa habari hii ili mjue vyombo vya habari kwa ulimwengu wa sasa ni ngumu kutoa habari za upotofu.
Tunapowaambia Russia kapigwa muwe mnasadiki .Maana hakuna chanzo cha habar zaid ya hivi
 
Those who keep saying Russia ni Taifa teule, to some point naungana na nyie!

[emoji635] [emoji635] The Duma of the Russian Federation adopted a bill to ban LGBT propaganda and gender reassignment in Russia, including in the media, books, the Internet, advertising and cinema.
RUSSIA TAIFA TEULE na KREMLIN KILA GOTI LITAENDA KUPIGWA
 
Mimi napenda kuwa wazi leo ukraine karusha zaid ya drone 20 crimea zote zimetunguliwa na russia marine hii habari ipo aljazeera na cnn .Nimetoa habari hii ili mjue vyombo vya habari kwa ulimwengu wa sasa ni ngumu kutoa habari za upotofu.
Tunapowaambia Russia kapigwa muwe mnasadiki .Maana hakuna chanzo cha habar zaid ya hivi
Kuna meli yao imeshushwa tayari inaogelea na samaki
 
Back
Top Bottom