Kichwa cha Zelensky matope kabisa, yeye na Biden ni watu hatari sana hapa Duniani kwa hivi sasa,Dunia hajawahi kupitia kwenye kipindi hatari kama kipindi cha utawala wa jamaa hawa wawili: Zelensky na Biden save utawala wa Hitler - safari hii itakuwa even worse kutokana na uwezekano mkubwa wa matumizi ya silaha za nuclear by miscalculation au deliberately.
As I said,narudia kuwakumbusheni kwa mara nyingine tena, kwamba Zelensky na Biden ndio watakuwa chanzo cha WW3 and they don't seem to care at all, unaweza kufikiri wao na familia zao na marafiki zao wa karibu na close relative watakwenda kuishi kwenye sayari ya MARS huku wakiiacha Dunia iteketezwe na silaha za nuclear.
Kwa bahati mbaya jamaa hawa wawil akili na busara kama za marehemu maRais Kennedy na wa Urusi Krustchev - akili hizo hawana kabisa, wanacho jali wao ni "how to get even with Putin" basi - hawataki kushindwa katika vita hii inayo endelea huko Ukraine, wako radhi kufanya lolote let what comes may, ni wazi wako determined kulipua "dirty bomb" ili wapate kisingizio cha kuitisha kikao cha dhalula umoja wa mataifa (UNO) kulazimisha Dunia imu- condemn sana sana Putin wapendekeze atengwe na Dunia, walazimishe Urusi hisiwe tena member wa UN na kuiwekea even more punitive sanction chungu mzima - huu ni mpango anaosukwa na Uncle SAM baada ya kuona vita ya Ukraine haviendi kama walivyo tarajia, hii inawauma sana hasa baada ya kuona kwamba sanctions dhidi ya Rusia zimebuma - ndio maana wanakuja na plan "B" ya kuimaliza Russia kwa mbinu za kishetani, tusicho juwa ni kwamba we dont know Russia ita-act/react vipi ikiwa Zelensky na Biden watalipua a crude nuclear bomb sehemu ambapo wapo wanajeshi wa Urusi huko Ukraine.