Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1126] [emoji635] [emoji1258] Russia and the United States should immediately begin direct negotiations on the situation around Ukraine - Hungarian Foreign Minister Peter Szijjarto.

[emoji2772] Between the lines inaonesha kile tunachofichwa... US na shost zake are fighting proxy war with Russia! Kwanini isiwe Kiev yenyewe na awe Uncle Sam if really Kiev is acting on her own?
 
Super power mandonga anafundishwa kutumia drone
View attachment 2399070
.
IMG_20221016_164308_064.jpg
 
Akuna maajabu hapo US hanaga huo ujinga yeye kasambaza kambi karibu na adui hatumii nguvu nyingi kombora la km300 linatosha.Russia hana kambi hivyo lazma atengeneze mikombora ya masafa marefu ambayo hata accuracy hakuna .mfano hili accuracy ni m150 wakati himas ni m1 mpaka 2 .chenga tuu mrusi ameachwa mbali
safi sana kaka, wengi humu hawajui kwamba US ni balaa kwa mara 100 ya Mrusi - ana vinu vya nyuklia karibu kila pahala Duniani.
US ana mililtary base karibia 800 duniani kote - hapa ndipo unatakiwa kujua US si wa kubeza Putin anaijua hiyo !!

Despite recently closing hundreds of bases in Iraq
and Afghanistan, the United States still maintains nearly 800 military bases in more than 70 countries and territories abroad—from giant “Little Americas” to small radar facilities. Britain, France and Russia, by contrast, have about 30 foreign bases combined.
 
MKUU hata usiende RT au RIA NOVOSTI nk nk

Ila kama unapata habari toka biibiisii unadanganywa haswaa kuhusiana na hii SMO inayoendelea

Yaani ukweli 5% uliobakia huo wooote unakua uongo

Biibiisii hawa waliosema kama RUSSIA imeishiwa na silaha tokea mwezi march biibiisii hawa walosema RUSSIA imeishiwa chakula tokea FEB

Biibiisii hawa walosema kama RUSSIA wamatumia vifaa vya oven cjui washing mashine

Biibiisii sio wakuwaamini MKUU bora uniamini mie naweza kukupa habari zaukweli nauhakikaaa
Wewe si juzi hapa ulileta habari toka DW ukawa unasema Ukraine anazungukwa huko Kherson kwamba itakua Mariupol 2,tena uliileta Kwa bashasha zote. Kwahiyo habari ikikufurahisha toka kwenye hivyo vyombo vya west unavyoviita vya uongo sio propaganda lakini isipokufurahisha inageuka propaganda,si ndio?!
 
[emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russia anawanyoosha kwa baridi kali bila gas Latvia wananchi wameanza kupita na bench zote vituoni vya abiria kwa ajili ya Kuni

A shocking crime occurred in Latvia.

Criminals ruined 15 benches at bus stops.

69 wooden slats were simply cut down for firewood (!), the locals are sure.

Preliminary damage — 1157 euros.

Law enforcement officers have launched an investigation and search for a strategic energy reserve.

IMG_20221027_092112_063.jpg
IMG_20221027_092100_612.jpg
IMG_20221027_092832_772.jpg
 
Mark you, Russia possses one of the best and sophisticated Air force in World,ground breaking artillary,lightening fast missiles with devasteting effects, thermo baric MRL and what have you!!

Bottom line is: msiwe mnazungumza mambo kimzaa mzaa au kufikiria Urusi ni some Banana Republics, kumbukeni kwamba Putin haja amuha tu kukunjua makucha yake in full - siku akisema enough is enough basi atachukua hatua zaidi naku Annex Ukraine nzima nzima na kuirudisha kuwa himaya ya Urusi kama zamani atalazimika kuchukua hatua hiyo ili kuondoa mzizi wa fitina i.e solving USA instigated Ukraine endemic problems once and for all -who can blame PUTIN?? Na wala sioni kama NATO/US watakuwa na ubavu wa kuifanya lolote Urusi/Putin zaidi ya kuiitisha vikao vya dhalula katika umoja wa mataifa kama kawaida ya USA, wataendeleza vile vile makongamano yao lukuki na maazimio ya kumulahumu Putin 24X7, basi.

Hahahaha hapo kwenye Airforce umenichekesha Sana[emoji23][emoji23][emoji23]. Airforce hiihii ya Russia iliyoshindwa kukamata anga la Ukraine kikamilifu tena Ukraine ikiwa haina mifumo ya maana ya Ulinzi Bali Ile ya Usovieti ambayo na Russia alishaitumia sasa tunaingia mwezi wa 9. Kila kidege cha Russia kikijaribu kuingia kwenye anga la Ukraine kinashushwa tena ndege za kisasa kabisa kama Su-34 na Su-35 ambazo Russia alikua akizinadi zina powerful electronic warfare systems. Marekani ndani ya wiki tu alishacreate No fly zone kule Iraq Ila Urusi tunakaribia kumaliza mwaka sasa alichobakiza ni kutumia drones kupiga makazi na Raia pamoja na Shule za chekechea.

Hivi hizo artillery mbona hatuzioni zikileta mabadiliko yoyote kwenye hii vita?! Artillery nyingi za Russia ni unguided,atarusha mizinga ishirini kupiga target moja wakati Ukraine itahitaji kutumia Excalibur moja tu kupiga target hiyohiyo,Air defenses za Russia mlizokua mnazisifia humu ndani ziko wapi mbona hatujaona maajabu yake kwenye hii vita?! [emoji23]
Jeshi la Putin linatisha kwenye TV tu na makaratasi Ila ikija kwenye uhalisia ni paper tiger ndo maana chawa wake kila siku wapo kwenye TV wakitishia kuipiga Marekani maana ndo silaha Yao kuu waliyobaki nayo.

Yani Putin huyuhuyu aliyekimbizwa Kiev kama mwizi na lile limsafara lake na 65km ndo aweze kuikamata Ukraine nzima wakati Kherson tu inamshinda kuidhibiti kikamilifu.[emoji1787]
 
safi sana kaka, wengi humu hawajui kwamba US ni balaa kwa mara 100 ya Mrusi - ana vinu vya nyuklia karibu kila pahala Duniani.
US ana mililtary base karibia 800 duniani kote - hapa ndipo unatakiwa kujua US si wa kubezea Putin anaijua hiyo !!

Despite recently closing hundreds of bases in Iraq
and Afghanistan, the United States still maintains nearly 800 military bases in more than 70 countries and territories abroad—from giant “Little Americas” to small radar facilities. Britain, France and Russia, by contrast, have about 30 foreign bases combined.
Marekani hana haja ya kutumia base zake kuishambulia Urusi maana ana Makombora mazuri tu ya kuishambulia Urusi na kuifuta kabisa Kwenye uso wa Dunia na Urusi analifahamu hili pamoja na uchizi wake wote.

Marekani ni moja ya nchi yenye submarines nzuri na za kisasa kabisa duniani ambazo zinabeba Makombora hatari ya Trident II ICBM kila kombora moja linabeba vichwa vya nyuklia 8-12 huku likisafiri kwa speed ya hypersonic.

Hizi submarines zimetapakaa karibu Bahari zote zinasubiri tu order ya kufanya mashambulizi,ukiacha submarines ana Makombora ya Minuteman III haya yanarushwa toka Ardhini yanaweza toka Washington mpk Moscow ndani ya Nusu saa tu.

Hua nawashangaa Sana wanaodhani kwamba ni Russia pekee ndio yenye Makombora ya hatari ya ICBM.
 
Super power mandonga anafundishwa kutumia drone

[emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russia anawanyoosha kwa baridi kali bila gas Latvia wananchi wameanza kupita na bench zote vituoni vya abiria kwa ajili ya Kuni

A shocking crime occurred in Latvia.

Criminals ruined 15 benches at bus stops.

69 wooden slats were simply cut down for firewood (!), the locals are sure.

Preliminary damage — 1157 euros.

Law enforcement officers have launched an investigation and search for a strategic energy reserve.

View attachment 2399094View attachment 2399095View attachment 2399096
Putin ana vita vya ki longi time sana, eti unaharibu miundo mbinu ili watu wahangaike na baridi, hapo ndipo Dunia inamshangaa huyu dingi kwa kukosa busara.

Kuharibu miundombinu ya Umeme, Maji na Piple za gesi yeye anaita ni mbinu za kivita.. aisee kweli nimeamini mrusi kachoka. Kuna muda alianza kuzuia usambazaji wa vyakula toka Ukraine ili Dunia imjue yeye ni nani ? mbinu za ki longi sana hizo dingi - badilika wewe si Taifa kubwa haya pambana na wanaume wenzako si uliyataka mwenyewe.
 
Kuna humu walimtukana T14 Armata alipoleta hii habari

Austrian engines, South Korean and Malaysian microchips, US parts found in Iranian Mohajer-6 drones

The Iranian-made drones used by Russia in attacks on Ukrainian cities have Austrian engines and use microprocessors from South Korea and Malaysia, adviser to the head of the Ministry of Internal Affairs Anton Gerashchenko said on Twitter on Oct. 24.

Parts from Japanese, Chinese and U.S. manufacturers have also been recovered from the wreckage of drones that have been shot down.

Read also: Dictator Lukashenko announces plans to create Belarus’ first drone
The Iranian Mohajer-6 reconnaissance drone is equipped with an aircraft engine manufactured by the Austrian company Rotax. One of those UAVs crashed over the Black Sea in October, and photos of the destroyed Rotax engine were published by Gerashchenko on Twitter

Austrian engines, South Korean and Malaysian microchips, US parts found in Iranian Mohajer-6 drones
 
Wanajeshi wa Supapawa wakiwa kizuizini baada ya kudakwa na majeshi shupavu ya bwana Zelenksy

Captured mobilized Russians



#Russian soldiers that were bombarded with drones and captured. [emoji41][emoji41]

#RussianWarCrimes #RussiaInvadedUkraine #RussianUkrainewar #RussiaUkraineWar #Russia #UkraineRussianWar #UkraineRussiaWar #UkraineWar #UkrainianArmy #Ukraine #Kherson #Donbass #odessa #Kyiv #NATO #USA

 
Ila Babu Putin kwa uongo hajambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

At this rate we can soon hear from Russian screens that it was USA and NATO that attacked Ukraine, not Russia.

 
Ardhi inarudi tu sijui zile mbwembwe za Referendums zimeishia wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

#BREAKING: Nevske in the Luhansk region has been liberated by the Ukrainian Army.

#Ukraine
#ukrainecounteroffensive #UkraineRussianWar #UkraineInvasion #UkrainianArmy #Internationalleaks #Russia #RussiaUkraineWar #Russian

 
Medvedev on His TG Channels
IMG_20221001_051558_602.jpg

👉 November 8 - elections to the US Congress

How can Democrats/Republicans today pay for their victory or explain their loss on Capitol Hill?

For the current Biden team, as well as for their Republican opponents, the currency is, in fact, one - the lives of the citizens of the mythical country of Ukraine, which they do not need.
They are a bargaining chip in the big American game. They are easily placed on the altar of future triumph in political battles across the ocean.

And here all means are good. The lives of Ukrainians pay for the endless supply of American weapons, and for the "labor" of instructors and mercenaries. They are ready to pay off in the event of the use of a "dirty bomb".
Our people are also suffering. But the only difference is that our people will be avenged. All. And on the battlefield, and in other directions, far from the battlefield. And certainly not within the framework of failed lawsuits. In other ways.
But no one will remember the Ukrainians.

After all, the main thing for the American establishment is something else - who will control the House of Representatives and the Senate. Therefore, the war to the "victorious end". Or rather, just to the end. End of Ukraine.

And the winner, as usual:
The winner takes it all…
 
[emoji298]️ CNN: CIA director makes unannounced visit to Ukraine.

C.I.A. Director William J. Burns met with President Volodymyr Zelensky and other officials earlier this month, CNN reported on Oct. 26, citing two unnamed sources.

“While there, he reinforced the U.S. commitment to provide support to Ukraine in its fight against Russian aggression, including continued intelligence sharing,” CNN quoted one of the U.S. officials.
 
Ardhi inarudi tu sijui zile mbwembwe za Referendums zimeishia wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

#BREAKING: Nevske in the Luhansk region has been liberated by the Ukrainian Army.

#Ukraine
#ukrainecounteroffensive #UkraineRussianWar #UkraineInvasion #UkrainianArmy #Internationalleaks #Russia #RussiaUkraineWar #Russian

Wazee wa referendum mpooooooooooooo [emoji12][emoji12][emoji2][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Akuna maajabu hapo US hanaga huo ujinga yeye kasambaza kambi karibu na adui hatumii nguvu nyingi kombora la km300 linatosha.Russia hana kambi hivyo lazma atengeneze mikombora ya masafa marefu ambayo hata accuracy hakuna .mfano hili accuracy ni m150 wakati himas ni m1 mpaka 2 .chenga tuu mrusi ameachwa mbali

Wakati mwingine mnashangaza sana sana - yaani hamna hata habari kwamba Warusi wana stealth submarine kwenye east and west coasts za Merikani including Gulf of Mexico laden with formidable Bulava SMLM fanya utafiti wa capabilities za missiles hizo halafu urudi hapa utupatie feed back - bottom line is: US ku-install short range nuclear missiles near Russian borders is immaterial kwa kuwa USA land mass can be equally wiped out in femto seconds kutoka kwenye submarine zinazo hibernate kando kando ya pwani za USA.

Hapo hatujazungumza kuhusu stealth submarine drones laden with 200Megatonne thermonuclear payload each capable of generating 500+ meters Tsunami tidal wave yenye uwezo wa ku-destroy infrastructure za majiji yote ya USA yaliyopo pwani pwani ya USA mashariki na magharibi na kuzamisha raia wote wanao ishi kwenye miji husika pwani yote inakuwa contaminated/polluted na nuclear waste for thousand years kutokana na half life ya material zilizo tumika kuunda bom lenyewe, hapa hatuja gusia kuhusu thermonuclear missiles kushambulia St.Andrea's fault huko inayo run kupitia jimbo la California - kijiolojia Warusi wakishambulia St.Andreas fault kwa kutumia nuclear missiles sehemu kubwa ya aridhi ya pwani ya magharibi itazama na watu wengi kupoteza maisha.

Mwisho ina husu Urusi ikihamua kushambulia active volcanoes za Yellow stone National Park za huko Merikani, hivi mnajua kunaweza kutokea nini iwapo Urusi itahamua kushambulia Yellow stone Valcanoes kwa kutumia thermonuclear missiles zikatumbukizwa kwenye shingo za volcanoes - utakuwa balaa kwa Dunia nzima sio kwa Merikani tu - ndio maana narudia rudia mara nyingi kuwakumbusheni kwamba Merikani na Waingereza mazaba zabina waiichezee Urusi hata kidogo, wana contigency plans chungu nzima za kuzikomesha NATO specifically the USA wakichokozwa au kushambuliwa.

Sijui kwa nini baadhi ya watu hawachukulii onyo la mwana sayansi/Engineer Elon Musk seriously, kumbuka ni Mmerikani na mwana sayansi sio mnafiki wala hajipendekezi kwa Marais au Majenerali wa majeshi, anasema kweli tupu kwa lengo la kutadhalisha Dunia kuhusu hatari ya uwezekano wa silaha za Nuclear kutumika vitani kwa mara nyingine tena.

Elon Musk alisema bila ya kumungunya maneno kuhusu uwezo mkubwa wa jeshi/Taifa la Urusi linapo kuja suala la matumizi ya silaha za thermonuclear alisema Urusi ina uwezo wa kuichakaza Merikani na Ulaya kwa mpigo - akaonya kwa mara nyingine tena kwama wasiichezee Urusi, sasa swali ni: kwa nini mwana sayansi Elon Musk aone kuna umuhimu wa pekee kuwakumbusha wana siasa/Rais na wakuu wa majeshi ya NATO/USA kuhusu hatari za silaha za nuclear na kwamba wasichezee Warusi - mnafikiri Musk kaona nini?

Nilifikiri utawala wa Merikani wengesema Elon Musk ni msaliti lakini walikaa kimya vichaa wengine wakasema Elon Musk amezungumza as an individual!! Uzuri Musk yuko very smart upstairs alipo hisi labda comment zake kuhusu jeshi la Urusi zita wafanya viongozi wa jeshi la Merikani kujisikia vibaya ndio maana kwenye comments zake aliongezea neno "vice versa" aliliongeza neno hilo kwa lengo la kuwafanya wakuu wa jeshi la Merikani wasijisikie vibaya kwamba labda jeshi lao haliwezi ku-retaliet likishambuliwa na jeshi la Urusi, a very clever ploy by a brainy Musk kuwachota akili Wamerikani wenzake huku akijuwa kwamba message imekuwa sent and delivered basi, Musk akili nyingi.
 
Back
Top Bottom