Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kichwa cha Zelensky matope kabisa, yeye na Biden ni watu hatari sana hapa Duniani kwa hivi sasa,Dunia hajawahi kupitia kwenye kipindi hatari kama kipindi cha utawala wa jamaa hawa wawili: Zelensky na Biden save utawala wa Hitler - safari hii itakuwa even worse kutokana na uwezekano mkubwa wa matumizi ya silaha za nuclear by miscalculation au deliberately.

As I said,narudia kuwakumbusheni kwa mara nyingine tena, kwamba Zelensky na Biden ndio watakuwa chanzo cha WW3 and they don't seem to care at all, unaweza kufikiri wao na familia zao na marafiki zao wa karibu na close relative watakwenda kuishi kwenye sayari ya MARS huku wakiiacha Dunia iteketezwe na silaha za nuclear.

Kwa bahati mbaya jamaa hawa wawil akili na busara kama za marehemu maRais Kennedy na wa Urusi Krustchev - akili hizo hawana kabisa, wanacho jali wao ni "how to get even with Putin" basi - hawataki kushindwa katika vita hii inayo endelea huko Ukraine, wako radhi kufanya lolote let what comes may, ni wazi wako determined kulipua "dirty bomb" ili wapate kisingizio cha kuitisha kikao cha dhalula umoja wa mataifa (UNO) kulazimisha Dunia imu- condemn sana sana Putin wapendekeze atengwe na Dunia, walazimishe Urusi hisiwe tena member wa UN na kuiwekea even more punitive sanction chungu mzima - huu ni mpango anaosukwa na Uncle SAM baada ya kuona vita ya Ukraine haviendi kama walivyo tarajia, hii inawauma sana hasa baada ya kuona kwamba sanctions dhidi ya Rusia zimebuma - ndio maana wanakuja na plan "B" ya kuimaliza Russia kwa mbinu za kishetani, tusicho juwa ni kwamba we dont know Russia ita-act/react vipi ikiwa Zelensky na Biden watalipua a crude nuclear bomb sehemu ambapo wapo wanajeshi wa Urusi huko Ukraine.
Mvamiwaji ndiye mtu hatari sana.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
1666859799536.png

And here is the confirmation from the Israeli side. President Yitzhak Herzog said that Israel cannot supply its air defense systems to Ukraine because of some secrets that should not fall into the hands of enemies (is he talking about Russia, I wonder?).

“There are weapons for which we don’t even have an export version. There are things we don't want them to fall into the hands of our enemies. There are secrets we cannot pass on. But wherever we can help, we try to help,” he said.
 
Unachopindisha ni kwamba Musk pia alisema kwamba Marekani pia ina uwezo wa kuiangamiza Urusi yote.

Marekani haina haja ya kutumia tactical nuclear missiles kuiangamiza Russia wakati ina Makombora ya kutosha ya Trident II kwenye stealth submarines zake za Ohio. Trident moja inabeba 8-12 nuclear warheads.
View attachment 2399225

Soma vizuri nilicho andika kwenye para ya mwisho sion unakimbilia ku-critisize bila ya ku-assimilate vizuri member mwenzake alicho andika - there is no need to reinvent the wheel - is there???personally I don't think so.
 
Super pawer wa mchongo anazidi kudhaliliika aisee! Na hii yote imesababishwa na upumbavu wa fashisti anayejiita Putin.., akitaka kuionyesha Dunia kwamba yeye ni super pawer kwa kuiteka Kiev ndani ya saa 72 [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Masaa 72 yamegeuka miezi 9 dadadeq... hakutegemea kabisa.
 
Soma vizuri nilicho andika kwenye para ya mwisho sionalimbilia ku-critisize bila ya ku-assimilate vizuri member alicho andika - there is no need to reinvent the wheel - is there???personally I don't think so.
Hahahaha Yani uko serious kabisa eti Musk kaongezea vice versa ili jeshi la Marekani lisikasirike kwamba eti haliwezi kuretaliate likishambuliwa na Russia?

Hiki ni kichekesho cha mwaka,kama ingekua hivyo Putin si angekua kashaibutua Marekani Kwa Nyuklia kama ingekua haina uwezo wa kuretaliate!
 
Hovyo submirine zina maajabu gan ,sasa hivi yapo makombora yenye uwezo wa kusambaratisha manowari ikawa chuma chakavu ,ziko drones za underwater huwez ingia area ya marekan uache kuwa detectable.
Alafu nikuambie kitu Marekani ana military base 750 katika nchi 80 duniani ,hakuna utawala wowote tangu Rumi umewahi kufanya hivyo .
Hizo submirine unazosema chamtoto marekani ana submirine nyingi ukanda wa asia .
Usije ukaichukulia poa US na nchi ya pili kwa military base ni UK ambao wanazo 250 .wakati super power mandonga anazo 12.
Mmeletewa Himas 16 zimewaruudisha nyuma kabisa .anga la ukraine limewashindwa mnabaki kujiita super power.
Russia hana ubavu hata punje kushindana na US kajipange kijana
Alafu nikuambie kitu Marekani ana military base 750 katika nchi 80

[emoji115][emoji115]

[emoji16][emoji38][emoji1][emoji23][emoji1787]

Halafu kachapika vibaya Vietnam north Korea Afghanistan somalia
 
Hahahaha Yani uko serious kabisa eti Musk kaongezea vice versa ili jeshi la Marekani lisikasirike kwamba eti haliwezi kuretaliate likishambuliwa na Russia?!!!! Hiki ni kichekesho cha mwaka,kama ingekua hivyo Putin si angekua kashaibutua Marekani Kwa Nyuklia kama ingekua haina uwezo wa kuretaliate!!!!!
Jamaa anatetea mpaka vitu vya kufikirika tu .,yaani anatetea mpaka vitu visivyowezekana!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
⚡The heavy nuclear-powered missile cruiser Peter the Great of the Northern Fleet entered the Barents Sea, where it will conduct anti-submarine and anti-aircraft training exercises in cooperation with aircraft and helicopters of the Air Force and Air Defense Army, the press service of the Northern Fleet reported.
 
Most people do not listen or read with the intent to understand; They listen or reading to the article with the intent to reply pekee... So ukiona hilo wala lisikupe taabu kupoteza mda wako kumpa attention!

Ignore...

Alafu nikuambie kitu Marekani ana military base 750 katika nchi 80

[emoji115][emoji115]

[emoji16][emoji38][emoji1][emoji23][emoji1787]

Halafu kachapika vibaya Vietnam north Korea Afghanistan somalia
Mambo ya zaman hayo hata tanzania tulishqmpigaga ujerumani
 
Hahahaha Yani uko serious kabisa eti Musk kaongezea vice versa ili jeshi la Marekani lisikasirike kwamba eti haliwezi kuretaliate likishambuliwa na Russia?!!!! Hiki ni kichekesho cha mwaka,kama ingekua hivyo Putin si angekua kashaibutua Marekani Kwa Nyuklia kama ingekua haina uwezo wa kuretaliate!!!!!
Hawa warus wa kimandonga wanaota na labda hawaifahamu Marekani kiundani ,Putin na China wanamjua vema ,putin hawez kamwe kumshinda US ,hasa US akiamua kukomalia jambo
 
Unajua maana ya stealth lakini?? Mara ngapi submarine za Urusi zinapita chini ya bahari ya Mediterranian chini ya USA aircraft carrier group bila ya kuwa detected - hivi umewahi kusikia Russian black hole submarine unajua neno hilo linamaanisha nini, walio batiza jina hilo kwa baadhi ya submarine za Urusi ni Wamerikani wenyewe unajua kwa nini - sasa sisi ma lay people ndio tujifanye tunaelewa masuala ya uwezo wa sonar transponder/transducers za kimerikani kuliko Wamerikani wenyewe wanao kiri kwamba wakati mwingine ni vigumu sana ku-detect some Russian under water stuff!! Wewe umesema kwamba USA ina uwezo wa ku-install short range missiles hardly 300Km from Russian border mimi nikakubusha kwamba Russian too gotta them stealth under water stuff hibernating within stone throw from east and west coast of US including Gulf of Mexico niliongezea neno stealth for a good reason - kwa kifupi ninacho taka kueleza ni kwamba USA ikijifanya ikijifanya inajua huu na Warusi wanajuwa wata counter vipi threat - sijui kwa nini mnapenda penda sana ku-inflate uwezo wa kijeshi wa Taifa la Merikani - why, lini waliwahi kupigana vita na an equally military tough nation wakashinda - tupeni ushahidi, tunacho sikia sana sisi ni omni present MSM propaganda wakiimba ngonjera za kutisha tisha watu kuhusu uwezo mkubwa wa Mungu wao mdogo wanataka kulazimisha Dunia ifute imani zao potofu or else....
Upupu mkubwa sana umeandika na uwongo ni wajinga watakusapot et submirine zinapita bila kugundulika mmeshindwa hapo ukraine alafu unatuletea uozo uliojaa wadudu humu
 

NDIO MAANA SIZISIKII TENA HIZI DRONE ZA IRAN ZINACHEZEA MASHINE KILA SIKU​

Ukrainian Air Force destroyed 19 Russian drones and Kh-59 missile in two hours​

Ukrainska Pravda
Thu, October 27, 2022, 2:38 AM·1 min read
8aa8e93fd3dc47cff856a20ec60b5ef5

THURSDAY, 27 OCTOBER 2022, 02:38
The Air Force of the Armed Forces of Ukraine destroyed 19 Russian drones and a Kh-59 cruise missile on 26 October.
Source: Air Force of the Armed Forces of Ukraine on Telegram
Quote: "The occupying forces continue to attack Ukraine with Iranian-made kamikaze drones.
Thus, over two dozen Shahed-136 drones were launched from 22:00 to 24:00 on 26 October."
Details: Air Force representatives report that 17 drones were destroyed by the forces and means of air defence of the Air Force of the Armed Forces of Ukraine.

ADVERTISEMENT

Other units of the Defence Forces of Ukraine destroyed two more Shahed-136 drones.
Ukrainian forces destroyed 15 Shahed-136 drones in Odesa Oblast, three in Mykolaiv Oblast and one in Vinnytsia Oblast.
Moreover, an anti-aircraft missile unit destroyed a Kh-59 cruise missile in the area under responsibility of Skhid (East) Air Command.
Journalists fight on their own frontline. Support Ukrainska Pravda or become our patron!
 
Hivi hizo drone za Marekani sizilipelekwa mwanzoni mwa mwezi 4 zika shindwa kuonesha matokeo?
Hizo drone za Marekani si ndo zinalipuliwa kalibia kila siku, kila zinapo jaribu kuingia kwenye anga la Iran? au unasemea drone zipi?

Wapi marekan alipeleka drones ukraine? So far ukraine alianza na za uturuki. America halutimiza ahad ya kupeleka drones
 
Back
Top Bottom