Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna mmoja nilimwambia Jana humu akaishia kuniandika waraka wa Paulo kwa Wagaratia! Yaani kwa sasa ni vyepesi kwa NATO na USA kuingia Ukraine kuliko ilivyokuwa hapo mwanzo kabla ya Uvamizi
Kama ingekuwa rahisi basi wangeshaingia mzee....jamaa wanatafakari kabla ya kufanya maamuzi...ingekuwa Somalia au Libya kama walivyofanya kipindi kile wangeshaingia kweli... lakini Russia sio Libya au Syria...
 
Kwamba Ukraine imelalamikia hizo drones, zina uwezo mdogo au nini mkuu.

Sasa kumbe Russia inashindwa kuzuia drones zenye uwezo mdogo mpaka waliozinunua wanalalamika ila Russia yenyewe inateswa nazo.
Snake island hapa air defence system iko hapo hadi kwa camera inaonekana ila imedumaa tu

Yaani wenyewe wanalalama kwamba 90% ya drone zao zilipigwa ndani ya week moja mpaka mbili za mwanzo toka ziingizwe

Halaf wewe unasema kwamba zilikua zinasumbua kwenye drone sina idadi kamili ila nasema kwenye drone 100 zikipigwa drone 80 halaf 20 zikafikia lengo hizi drone huwez kusema zimefanikiwa kwakiasi kikubwa

Mifumo ya RUSSIA ama yamataifa yeyote haiwezi ikawa kamili kwa 100% ila inakua nauwezo wajuu sana wachini sana ama wakawaida

Sasa kwamujibu wao UKRAINE hizo drone zimewaangusha tofauti na walivyotegemea ama tulivyoaminishwa huko biibiisiii

Kama sijakosea leo ama jana nimeona habar unaweza zitafuta hao jamaa wamesitisha mpango wao wakujenga kiwanda cha drones hizo huko UKRAINE kisa na sababu toka UKRAINE wameanza kuzilalamikia hizo DRONE

Sasa MKUU mimi na wewe na hao wenyewe wanaolalamikia hizo drones wapi wakuaminiwa zaidi kuhusiana na ufanisi wa hizo drone

Kwamujibu wa hao viongozi wa UKRAINE nikwamba Tb hakuna kitu sio mimi niwao wenyewe
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia uvamizi dhidi ya nchi hambayo haikuwai kurusha hata jiwe kwenye mipaka ya nchi vamizi,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sababu sio uchokozi mzee ..fuatilia sababu ya Russia kuivamia Ukraine...wewe unafikiri Putin kichaa aamke na kuanza kuivamia nchi ya watu..kwa nini hakwenda kuivamia nchi nyingine tofauti na Ukraine?
 
View attachment 2397957
"The West does not have such an air defense system that would protect Ukraine from Russian missiles" – former commander of the US Army in Europe Ben Hodges.
[emoji631][emoji1205][emoji1255][emoji635]🪖[emoji406]
— "Romanian Defense Minister Vasile Dincu resigned after making public statements implying that Ukraine may have to cede territory to Russia as part of potential talks aimed at ending the war.

USA will not let it's vassals speaking of peace

hii habari imekaaje MKUU yakweli ama propaganda tu za media
 
Mkuu labda Kuna sehemu tunashindwa kuelewana.

Kuhusu GPS

Drones za Russia (hizo unazoziita za Iran), haziwezi kutumia mifumo wa GPS kwa sababu

1. GPS ni mifumo ya satellites za Marekani. Kwa hiyo. Russia Military hawezi kutumia hiyo mifumo ya satellites za Marekani ku operate drones zao.

2. GPS ni mifumo ya kiraia. Jeshi haitumii satellites za kiraia ku operate, jeshi lina satellites zake na mifumo yake ya GeoPosition.

3. Jeshi la Russia lina satellites zake na mifumo yake tofauti na hiyo ya GPS.


Kuhusu Russia kuwa na Drones

Humu majeshini Kuna technologies ambazo Wala hazitangazwi. Mpaka pale uone zipo kwenye action.

Je, wewe unafahamu drones zote walizo nazo hao Russia? Jibu Ni hapana, ni mpaka wao waamue kueleza ndio raia wanapata kusikia.

Je, ni lini Russia walitangaza kwamba Wana technology ya ku blind satellites? Hii hukuwai kuisikia mpaka pale walipofanya action ya ku blind satellites za Starlink, ndio tukajua kwamba eeeeh na hii wanayo.

Vita hii inapigwana kwa deceptions nyingi Sana. Na sio lazima wakueleze kila kitu.



Mkuu, Iran inatumia drones zenye GPS, rejea kusoma vizuri hiyo GPS nimeitaja wakati nazungumzia nini.

Russia wako nyuma kwenye drone technology ndio. Taja drones 3 the best za Russia nikutajie drones tatu tatu kutoka Israel, US, China, Turkey zinazozidi hizo za Russia. Kwani Iran angeleta drones kama Russia anaweza
 
Mkuu, Iran inatumia drones zenye GPS, rejea kusoma vizuri hiyo GPS nimeitaja wakati nazungumzia nini.

Russia wako nyuma kwenye drone technology ndio. Taja drones 3 the best za Russia nikutajie drones tatu tatu kutoka Israel, US, China, Turkey zinazozidi hizo za Russia. Kwani Iran angeleta drones kama Russia anaweza
Hivi hizo drone za Marekani sizilipelekwa mwanzoni mwa mwezi 4 zika shindwa kuonesha matokeo?
Hizo drone za Marekani si ndo zinalipuliwa kalibia kila siku, kila zinapo jaribu kuingia kwenye anga la Iran? au unasemea drone zipi?
 
Watu wanazungumzia ATHARI za vita,bongo imeoza kila mtu anajua.tujifunze kutokuchanganya mambo
unapenda umeme wa mgao ila kwa ukraine ndi inakuuma , huon kuwa ni dalili za ukichaa , unamchek aliyetiw kidol ila ww uliyepumuliwa unaona sw tu
 
Ndio Ni sahihi sana kuwachekea tena wachekwe zaidi ya hapo.

Jeshi la Ukraine liliposhiriki kwenda kuivamia Iraq unadhani lilikua linaenda kupeleka umeme na maji pale Baghdad sio?
Yaan sio NATO ni jeshi la Ukraine liliivamia IRAQ , duh hawa wavaa kobaz km wao yupo atawatia kibiriti cha kutosha
 
Kama kuna watu wana enjoy kuhabarika basi ni wale wanaofatilia siasa za nje mbali ya aina silaha gani zimetumika kwa nani kumpiga nani.

Again!

[emoji298]As reported by Hohols[emoji298]

#Analysis
It should be understood that as soon as Turkey becomes a gas hub, the Ukrainian GTS will immediately cease to have its value.
I must say thanks to the Turks, they take advantage of the situation and simply take the last money cases from Ukraine to themselves. Cool allies.

[emoji2772] Hapo kinacho zungumziwa ni issue ya Turkey kua International Gas Hub for Europe. Hizi Geopolitics are confusing ila ukizielewa unachekelea sana!

Tuliosoma CUBA tumeelewa [emoji23]
 
Kwanini Sasa upo Kwny 'International forum'?

Twende kule jukwaa la siasa au hoja mchanganyiko ili tukajadili mambo yahusuyo Tz.
ndo mnakumbushwa muache ukichaa , kwenu shida zipo nying ila mapepe meng kweny international forum , au ww umeumbiwa dhiki ?hizo ndo akili za wanaopumuliwa mapepe meng
 
Mkuu wewe unaetumia ubongo wako vzr unafanya nini Kwny hii thread?

Mbona Kuna thread kibao tu za mambo serious kama ya Katiba mpya,bwawa la umeme la mwl Nyerere etc unaweza kua huko Mkuu.
acha ukichaa ebu jitahid kutumia hayo mapepe kuipigania nchi isiyo vitan bado kuna mgao wa umeme , yaan tupo jiran na bahari hata recycling kuyapunguza chumv yaletwe majumban.hawawez hlf kimah mmoja yupo busy na Ukraine
 
Waziri wa mambo ya nje wa Russia jana kaitaka UN ifanye uchunguzi kujua chakula kinachosafirishwa kutoka Ukraine kinaenda kwny mataifa maskini kama ilivyo kwny mkataba au kinaenda Nchi za Magharibi

akigundua kuna mkataba umekiukwa anazuia tena …anataka wafe kwa njaa kabla ya baridi kuwagandisha wazungu kwa kukosa Gas
unaezaj kuimin nchi iliyokana kutokuwa na mpango wa kuivamia Ukraine hlf wakaja ivamia ndan ya wiki hiyo hiyo
 
Na ratiba kabisa juu...huku ni unaenda kwa hisia daaadeki!!! Zile za, mmmh, siku mbili hawajagusa switchi, wacha nichaji simu maanake kesho kitaumana.
 
An eloquent quote from U.S. Deputy Assistant Secretary of State for Iran and Iraq Affairs Jennifer Gavito: "We will not withdraw from the Middle East region and create a vacuum that will be filled by China, Syria and Iran."

A rare case when Russia was not mentioned
 
1666741985106.png
 
Back
Top Bottom