Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dah!
Nilikua na mashaka na akili za Zelensky,Sasa nimeamini kweli huenda huyu jamaa hayuko sawa kichwani.
Hivi haoni nchi yake jinsi inavyoharibika?
Nchi watu wamekimbia,
Miundombinu inaharibiwa,
Majengo yanaharibiwa,
Uchumi unaharibika,
Nchi inajua na madeni,
Nchi imemegwa na Kila aina ya uharibifu.
Yeye bado anafanya propaganda kua anaharibi jeshi la Urusi.
Anatetea nchi yake hiyo miundombinu ina thamani gani kuliko nchi nzima na uhuru wake kubebwa na dictetor putin
 
Unafikiri Mexico anafurahi alivyopokonywa majimbo yake !!?? Unasema tu ETI .... Marekani ni kuongea tu na Canada na Mexico Ili asivamiwe labda Canada chawa wake lakini sio Mexico..... Nakuuuliza tena unafikiri Mexico anafurahi kupoteza majimbo yake!!?? Acha ujuaji mwingi .....INAWEZA kupigwa proxy war hapohapo Marekani kutokea Mexico hilo Moja, Pili unasema China ana uwezo wa kuvamia kisiwa Cha Taiwan (awali ulisema Hakuna wa kuvamia Marekani Kwa kuwa haipakani na nchi zaidi ya Mexico na Canada ) Kwa kuwa ana uwezo na vifaaa ila China kuvamia Taiwan inawezekana.... Kwani Urusi hawezi kuingia Hapo Alaska !!?? Alaska ni Mafinga eti!!??
Urusi kuivamia Ukraine tu CIA walijua kabla November mwaka jana haijaisha, uvamizi ukafanyika February 24. Urusi anaivamia Marekani kwa kutumia nini?

Hivi mnajua kwenye peer to peer enemies jeshi vamizi linabidi liwe three times ya jeshi linalolinda kwenye eneo fulani. Hayo maelfu ya wanajeshi wa kufanya assault unayakusanya wapi Marekani isikufanyie preemptive strike. Na una naval vessels za kuvamia Marekani au unafanyaje. Alaska haijaungana kwa ardhi na Russia kuna gap ya kama 4km. A very weak point kufanya shambulizi eneo lile, njia ya uhakika ni kufanya amphibious landing kwingineko ambapo hakuna jeshi la kufanya hivyo, China ndio inaweza jaribu kiasi chake ila kama China haitaki kuivamia Taiwan sembuse Marekani.

Na kama unaitaja Mexico Kasome Zimmerman telegram ya World War 1 kutoka kwa huyo Mjerumani kwenda kwa Rais wa Mexico ujue ni namna gani Mexico haioti hata kuivamia Marekani.

Ili uivamie Marekani unahitaji jeshi la majini kubwa na uwe na amphibious landing capability kubwa mno kuizidi hata Marekani yenyewe. Hakuna kichaa wa kufanya suicide mission hiyo. Watajaribu hit and run ila sio kuweka majeshi, hata supply lines unazipataje au ndio kutoa kafara wanajeshi wako
 
Kama kawaida Yako kukwepa hoja zako pale unapoona watu wamegundua kua ulitaka kuwapeleka Chaka.
Naona Sasa mjadala umehamia kwenye tafasiri za maneno.
Invasion,attack,strike.

Sasa hivi umetoka kwenye hoja Yako mama,Sasa tunajadili lugha.
Kwako wewe sijua uvamizi inatakiwa uchukie muda Gani,maana unasema Japan ule haukua.uvamizi maana ulichukua sijui masaa muchache halafu wakaondoka.

Wewe ulisema hakuna nchi inayowaza kujaribu kuvamia Marekani,Sasa Mimi nimekutajia nchi zinazowaza na hata nchi iliyowahi kuivamia Marekani Japan.
Kuhusu kuchukua mda mfupi wa uvamizi wao hilo ni jambo lingine,lkn waliweza kutoka Japan Hadi Marekani na wakafanya Yao.
Walishinda hawakushinda hiyo kwangu Mimi ni hoja nyingine.

Pia kama kuvamia Kuna maana nyingine zaidi ya hiyo ninayoielezea basi tunatofautiana tafasiri. kiswahili hakina maneno mengi yenye maana moja kama kiingereza.
Nimekuwekea hapo chini wameandika why did Japan invade USA ?
Ingawa ndani wameelezea pia attack.lkn hoja yangu nilikua nakupinga kua hakuna nchi inayowaza kuivamia Marekani,Japan walivamia bana.


Why did Japan invade the USA?


Why did the Japanese attack the USA? - The answer is oil. Japan had been modernising its economy throughout the 20th century and wanted to build an empire of its own. However, Japan lacked the natural resources to make it a reality, with all but 6% of its oil supply being


KK.
kwa Nini umeing'ang'ania sana KK kuwa haiwezi kwenda na Sub zake za diesel,wewe mtanzania mwenzangu unajuaje uwezo wa KK kijeshi wa Siri zaidi ya huo tunaoujua hapa Mimi na wewe?

unavyoongea as if unajua siri zote za jeshi la KK,wakati hata CIA MI6 na wengine wote haWajui uwezo wake wote.
siku za nyuma,watu waliidharau Iran hivihivi kama unavyodharau KK wewe,lon Iran imeweza kuwashangaza wengi,sio TU kwa drone zake Bali tokea ule mkasa wa kuishusha drone ya USA,kupiga Kambi ya USA huko iraq.
Haya yote wewe uliyajua?
kwa hiyo KK usiidharau,kumbuka USA inaisakama sana ,hivyo nayo inafikiria Nini Cha kufanya.

halafu ulisema hakuna nchi inayowaza hata kufikiria kuivamia Marekani,Mimi nikakupa nchi tatu Urusi china na KK zinaweza kuivamia,lkn wewe umeing'ang'ania KK,umeacha kuongelea Urusi na china..
Sasa Mimi nakuambia Urusi ama china Zina uwezo Kila moja kivyake kuivamia Marekani Matokeo yatakuaje Mimi sijui,Kwa sababu hata Marekani inaweza kizivamianpia nchi hizo kwa Kila moja,lkn pia matokeo yake yatakuaje, Mimi Pia sijui.
Submarine zinafanya invasion na beach landing? Sasa hilo si ni game tena la Android.

Iran haijawahi chukuliwa poa na mahasimu wake hasa Israel. Nyinyi wa kuja ndio mlikuwa mnaichukulia poa. Israel iko inapambana na silaha za Iran inazijua fika kuliko mlioanza kuziona mwaka huu. Na ina sorties inafanya miaka yote kuharibu supply ya hizo silaha nchi jirani. Kama ingechukuliwa poa basi usingesikia Israel inafanya airstrikes Syria au Saudi Arabia inafanya airstrikes Yemen kwa Houthi
 
Angekuwa analalamika tu na hapambani basi Warusi wangelikuwa Kyiv tayari.

Kyiv,Kyiv - nani kawambieni Putin alikuwa na mpango wa kuikalia/teka jiji la Kyiv au kuteka Ukraine nzima-Putin hajawahi kusema hivyo, watu wanatunga stori zao hasa wakisha soma propaganda za magharibi wanazichukulia kama ni Gospel truth!!

Putin alitangazia Dunia kwamba lengo lake la special operation ni ku-demilitarise jeshi la Ukraine, kuangamiza vikosi vya kijambazi vya ki-neo NAZI (Azov) na kuwalinda wa Ukraine wa kusini mashariki mwa Ukraine wenye asili ya Urusi wanao uuwawa kila siku na utawala wa kikatiri wa Zelensky ambao hauwataki/chukia Waukraine wenye asili ya Urusi mpaka sasa Zelensky alisha wauuwa ethnic Russian in Ukraine zaidi ya 14,000 so far ndio maana mikoa hiyo inataka kujiunga na Taifa la Urusi ili kijihakikishia amani ya kudumu, can you blame Putin kwa kutaka kuwalinda Warusi wenzake??

Licha ya Zelensky kuwauuwa raia 14,000 wenye asili ya Urusi hatujawahi kusikia Serikali ya Merukani au za Ulaya wakilaani/shutumu mauuaji hayo, wako kimya kabisa kazi yao masaa yote ni kumsakama na kujaribu kumtisha tisha Putin na viongozi wenzake kwamba wataburuzwa kwenye mahakama ya kimataifa washitakiwe for war crimes - hawazungumzii chochote kuhusu Bill Clinton, Madellin Albright (for Yugoslavia war crimes) - Bush Sr,Bush Jr (for war crimes in Iraq),wapo kimya kabisa, wanajichukulia kwamba wao wapo above the LAW, mtu unashangazwa na baadhi ya waswahili wanao support watu wa ajabu kama hao, wanarudia rudia propaganda wanazo zisikia/ona kwenye western media inept propaganda specifically CNN,BBC,FoxNews, SkyNews etc.
 
Tunasema Ukraine watashinda hivi vita full stop. Putin atajutia kuanzisha hivi vita. Mnaoshabikia Urusi mnajisumbua tu. Putin ameamua kutoa watu wake kafara kwa kisingizio we are fighting for our mother land.

Motherland unaenda kupigana na bwana mdogo. Bwana mdogo atapewa nguvu na Mungu wa Mbinguni. Soon Putin will go down like other dictators.
 
Wakuu hapa taarifa ya Hindustan Times. Waliangalia video zilizotumwa na askari Warusi waliotumwa pori bila vifaa. Nikisikia habari nyingine kuhusu jeshi la Urusi, sishangai!

hindustantimes.com

Russian soldiers 'living in holes they dug with bare hands' in Ukraine: Report​


Mallika Soni Published on Oct 23, 2022 02:10 PM IST

Russia-Ukraine War: In the video, the soldiers can be heard claiming that after a month of being moved from one location to other, they were dropped off "somewhere in the fields of Ukraine".​

Newly mobilised Russian soldiers say they have been "thrown out like dogs" in Ukraine with no information, orders or equipment in video circulating on social media, a report said.
In the video, the soldiers can be heard claiming that after a month of being moved from one location to other, they were dropped off "somewhere in the fields of Ukraine".
They said that that did not even know where they were, Telegraph reported.
Explaining the horror of their living situation, the mean said that have to live in holes dug out with their bare hands as temperatures drop to zero at night time.
Two people are so sick they need to be hospitalised, the men said.
"There is no information, no command. We sit like on [tenterhooks], because we do not know where are our own [and] where are the enemy. No radio, no cartridges, no s***," one says in the video.

"No shovel, nothing with us... We live just in the field... They bring some food, literally two times a day. We burn fires, chop trees, dig," another one says in the video.
The video comes at a time when it has been widely reported that Russian men in Ukraine following Putin's mobilisation call have been sent without any training.
Na wewe umeamini kabisa.
Kwamva walichimba mahabdaki Kwa mikono bila koleo
 
Tunasema Ukraine watashinda hivi vita full stop. Putin atajutia kuanzisha hivi vita. Mnaoshabikia Urusi mnajisumbua tu. Putin ameamua kutoa watu wake kafara kwa kisingizio we are fighting for our mother land. Motherland unaenda kupigana na bwana mdogo. Bwana mdogo atapewa nguvu na Mungu wa Mbinguni. Soon Putin will go down like other dictators.
Ukraine siyo mbali nenda kwenye ubalozi wao ukajitolee uwe mstari wa mbele au utaki kufa ukiitwa shujaaa[emoji1787][emoji1787]
 
Tunasema Ukraine watashinda hivi vita full stop. Putin atajutia kuanzisha hivi vita. Mnaoshabikia Urusi mnajisumbua tu. Putin ameamua kutoa watu wake kafara kwa kisingizio we are fighting for our mother land. Motherland unaenda kupigana na bwana mdogo. Bwana mdogo atapewa nguvu na Mungu wa Mbinguni. Soon Putin will go down like other dictators.
Rekebisha diaper hio,imekaa upande.
 
Pole sana, sihitaji kubishana. Hujui vita, hujui sababu ya hizo kelele, unakariri eti Israel kapigwa surprise attack nyingi akarudisha. Unaweza kuzitaja ni nyingi kiasi gani? Unajua sababu ya mataifa ya Kiarabu kuwekwa chini ya udhibiti wa UN hasa kwenye mambo ya kijeshi? Unajua sababu ya Syria kuvurugwa?

Nadhani unajibu kwa kutumia movie na story za kijiweni. Usijidanganye kuitazama Israel kama taifa linalojitegemea, isingeweza kudumu hata mwezi mmoja hapo lilipo. Hizo "counter attacks" unazosifia unafikiri ziliwezekana hivi hivi tu, kwa akili yako ya kizungu. Hujui hata sababu ndogo tu kwa nini mataifa ya Kiarabu licha ya utajiri wake yanakutana na vikwazo vya silaha za kisasa nzito. Bila umoja wa Mataifa hakuna Israel.
Hao warabu kama wananguvu kwanin wanaruhusu Israel anajimegea maeneo kila siku
 
Daaaaaah Ila comments za humu ukizisoma unabaki hoiiii
Kuna mwamba humu anajinasibu ana data zote za majeshi duniani
Kuanzia idadii ya askari mpaka zana za kivita na ubora wake...
Hahahahahaha yaani mwamba anaijua Korea kaskazini in and out
Hahahahahaha hatariii saaana aiseee
Wabongo mfuniko kwa chaii
 
Back
Top Bottom