mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,106
- 3,158
Sijajua kwanini ametumia neno KUWAZA.Unajua hata mimi ninawaza kuivamia Marekani,ila matokeo yake ndio sijui.Kama kawaida Yako kukwepa hoja zako pale unapoona watu wamegundua kua ulitaka kuwapeleka Chaka.
Naona Sasa mjadala umehamia kwenye tafasiri za maneno.
Invasion,attack,strike.
Sasa hivi umetoka kwenye hoja Yako mama,Sasa tunajadili lugha.
Kwako wewe sijua uvamizi inatakiwa uchukie muda Gani,maana unasema Japan ule haukua.uvamizi maana ulichukua sijui masaa muchache halafu wakaondoka.
Wewe ulisema hakuna nchi inayowaza kujaribu kuvamia Marekani,Sasa Mimi nimekutajia nchi zinazowaza na hata nchi iliyowahi kuivamia Marekani Japan.
Kuhusu kuchukua mda mfupi wa uvamizi wao hilo ni jambo lingine,lkn waliweza kutoka Japan Hadi Marekani na wakafanya Yao.
Walishinda hawakushinda hiyo kwangu Mimi ni hoja nyingine.
Pia kama kuvamia Kuna maana nyingine zaidi ya hiyo ninayoielezea basi tunatofautiana tafasiri. kiswahili hakina maneno mengi yenye maana moja kama kiingereza.
Nimekuwekea hapo chini wameandika why did Japan invade USA ?
Ingawa ndani wameelezea pia attack.lkn hoja yangu nilikua nakupinga kua hakuna nchi inayowaza kuivamia Marekani,Japan walivamia bana.
Why did Japan invade the USA?
Why did the Japanese attack the USA? - The answer is oil. Japan had been modernising its economy throughout the 20th century and wanted to build an empire of its own. However, Japan lacked the natural resources to make it a reality, with all but 6% of its oil supply being
KK.
kwa Nini umeing'ang'ania sana KK kuwa haiwezi kwenda na Sub zake za diesel,wewe mtanzania mwenzangu unajuaje uwezo wa KK kijeshi wa Siri zaidi ya huo tunaoujua hapa Mimi na wewe?
unavyoongea as if unajua siri zote za jeshi la KK,wakati hata CIA MI6 na wengine wote haWajui uwezo wake wote.
siku za nyuma,watu waliidharau Iran hivihivi kama unavyodharau KK wewe,lon Iran imeweza kuwashangaza wengi,sio TU kwa drone zake Bali tokea ule mkasa wa kuishusha drone ya USA,kupiga Kambi ya USA huko iraq.
Haya yote wewe uliyajua?
kwa hiyo KK usiidharau,kumbuka USA inaisakama sana ,hivyo nayo inafikiria Nini Cha kufanya.
halafu ulisema hakuna nchi inayowaza hata kufikiria kuivamia Marekani,Mimi nikakupa nchi tatu Urusi china na KK zinaweza kuivamia,lkn wewe umeing'ang'ania KK,umeacha kuongelea Urusi na china..
Sasa Mimi nakuambia Urusi ama china Zina uwezo Kila moja kivyake kuivamia Marekani Matokeo yatakuaje Mimi sijui,Kwa sababu hata Marekani inaweza kizivamianpia nchi hizo kwa Kila moja,lkn pia matokeo yake yatakuaje, Mimi Pia sijui.
ILA umemjibu vizuri sana,na nadhani hata yeye amejua kwamba umemjibu vizuri ila anaweka vizingiti ili madini yatiririke

