Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The Armed Forces of Ukraine have liberated M'yasozharivka, Karmazynivka and Nevs'ke in Luhansk region and Novosadove in Donetsk region.

Source: General Staff of the Armed Forces of Ukraine operational information at 18:00 on 24 October 2022
 
Wakuu hapa taarifa ya Hindustan Times. Waliangalia video zilizotumwa na askari Warusi waliotumwa pori bila vifaa. Nikisikia habari nyingine kuhusu jeshi la Urusi, sishangai!

hindustantimes.com

Russian soldiers 'living in holes they dug with bare hands' in Ukraine: Report​


Mallika Soni Published on Oct 23, 2022 02:10 PM IST

Russia-Ukraine War: In the video, the soldiers can be heard claiming that after a month of being moved from one location to other, they were dropped off "somewhere in the fields of Ukraine".​

Newly mobilised Russian soldiers say they have been "thrown out like dogs" in Ukraine with no information, orders or equipment in video circulating on social media, a report said.
In the video, the soldiers can be heard claiming that after a month of being moved from one location to other, they were dropped off "somewhere in the fields of Ukraine".
They said that that did not even know where they were, Telegraph reported.
Explaining the horror of their living situation, the mean said that have to live in holes dug out with their bare hands as temperatures drop to zero at night time.
Two people are so sick they need to be hospitalised, the men said.
"There is no information, no command. We sit like on [tenterhooks], because we do not know where are our own [and] where are the enemy. No radio, no cartridges, no s***," one says in the video.
2/ Rough transcript/translation (with thanks to @altryne):
Dear our, so to speak, the authorities of the Russian Federation, the so-called Ministry of Defence, we are mobilised from the Krasnodar Territory. pic.twitter.com/lkMzyWpiAO
— ChrisO (@ChrisO_wiki) October 21, 2022
"No shovel, nothing with us... We live just in the field... They bring some food, literally two times a day. We burn fires, chop trees, dig," another one says in the video.
The video comes at a time when it has been widely reported that Russian men in Ukraine following Putin's mobilisation call have been sent without any training.
 
Mie nataka kuuliza ama kujua moja tu US silaha kule UKRAINE anauza ama anatoa msaada(mkopo)

Kama sirikali ya KIEV inasema wazi kama haiwezi jiendesha endapo watakosa misaada tokea huko EU

Unahisi US na wenzie hapo KIEV wanauza ama !!!??
Ule Ni mkopo umiza,
Baada ya Vita anaanza kujichotea Maliasili zako kufidia.
Nchi kibao zilikoanzia na USA ww2 bado zinamlipa madeni zikiwemo s.korea,Japan na poland
 
Kitendo Cha Urusi kupewa msaada na Iran kimemwondoa kwenye super powers
Ule sio msaada wee pimbi Ile ni biashara drone za Iran ni bei ndogo na ni jambo la kawaida tu hata marekan mbona ananunua siraha kwa Israel
 
Subirini tu mlisema kiev haichukui siku tatu mpaka sasa hivi bado munahaha tu hamuna jipya huko
 
Yote haya hayaonyeshi ni namna gani North Korea inaweza vamia Marekani. Makombora ya nyuklia ndio yanavamia? Narudia kukuuliza unajua tofauti ya invasion na strike au unaongea uonekane nawe upo?

Japan ilishambulia Marekani. Ile ni strike au attack, sio invasion. Ndio maana ilitumia lisaa tu wakalipualipua wakakimbia. Ungesoma tangu mwanzo kuelewa ungeelewa ila kwa vile umekuja kichwa kichwa kubisha na bado unakaza kichwa huwezi elewa.

Nakuuliza tena. North Korea anaivamia Marekani kwa kutumia nini? Hizo diesel subs chache zenye crew ya watu 30 sijui ndio zitafanya beach landing na kusecure shores? Au atatuma paratroopers kwa kutumia ungo?

Yani ukae hapa usubiri Marekani aanze kuchimba trenchs, ajenge concrete pyramids kwenye line kumzuia adui? Unaishi dunia gani mzee.

Tukianza kusema China itaivamia Taiwan, silaha za kuvamia zipo na mechanism ipo inaonekana. Ukianza kusema nchi fulani itaivamia Marekani, nikiuliza utumie mwezi hapa kuomba ushauri ni nini kitatumika kuivamia Marekani jibu huna. Hutoona boots on ground ya adui kwenye ardhi ya Marekani. Pigs flying!

Kama kawaida Yako kukwepa hoja zako pale unapoona watu wamegundua kua ulitaka kuwapeleka Chaka.
Naona Sasa mjadala umehamia kwenye tafasiri za maneno.
Invasion,attack,strike.

Sasa hivi umetoka kwenye hoja Yako mama,Sasa tunajadili lugha.
Kwako wewe sijua uvamizi inatakiwa uchukie muda Gani,maana unasema Japan ule haukua.uvamizi maana ulichukua sijui masaa muchache halafu wakaondoka.

Wewe ulisema hakuna nchi inayowaza kujaribu kuvamia Marekani,Sasa Mimi nimekutajia nchi zinazowaza na hata nchi iliyowahi kuivamia Marekani Japan.
Kuhusu kuchukua mda mfupi wa uvamizi wao hilo ni jambo lingine,lkn waliweza kutoka Japan Hadi Marekani na wakafanya Yao.
Walishinda hawakushinda hiyo kwangu Mimi ni hoja nyingine.

Pia kama kuvamia Kuna maana nyingine zaidi ya hiyo ninayoielezea basi tunatofautiana tafasiri. kiswahili hakina maneno mengi yenye maana moja kama kiingereza.
Nimekuwekea hapo chini wameandika why did Japan invade USA ?
Ingawa ndani wameelezea pia attack.lkn hoja yangu nilikua nakupinga kua hakuna nchi inayowaza kuivamia Marekani,Japan walivamia bana.


Why did Japan invade the USA?


Why did the Japanese attack the USA? - The answer is oil. Japan had been modernising its economy throughout the 20th century and wanted to build an empire of its own. However, Japan lacked the natural resources to make it a reality, with all but 6% of its oil supply being


KK.
kwa Nini umeing'ang'ania sana KK kuwa haiwezi kwenda na Sub zake za diesel,wewe mtanzania mwenzangu unajuaje uwezo wa KK kijeshi wa Siri zaidi ya huo tunaoujua hapa Mimi na wewe?

unavyoongea as if unajua siri zote za jeshi la KK,wakati hata CIA MI6 na wengine wote haWajui uwezo wake wote.
siku za nyuma,watu waliidharau Iran hivihivi kama unavyodharau KK wewe,lon Iran imeweza kuwashangaza wengi,sio TU kwa drone zake Bali tokea ule mkasa wa kuishusha drone ya USA,kupiga Kambi ya USA huko iraq.
Haya yote wewe uliyajua?
kwa hiyo KK usiidharau,kumbuka USA inaisakama sana ,hivyo nayo inafikiria Nini Cha kufanya.

halafu ulisema hakuna nchi inayowaza hata kufikiria kuivamia Marekani,Mimi nikakupa nchi tatu Urusi china na KK zinaweza kuivamia,lkn wewe umeing'ang'ania KK,umeacha kuongelea Urusi na china..
Sasa Mimi nakuambia Urusi ama china Zina uwezo Kila moja kivyake kuivamia Marekani Matokeo yatakuaje Mimi sijui,Kwa sababu hata Marekani inaweza kizivamianpia nchi hizo kwa Kila moja,lkn pia matokeo yake yatakuaje, Mimi Pia sijui.
 
Nashangaa watu wapo Kwa Mtogole wanadanganyana
Naomba na kauli hii msije kuikana vita ikipenya hata kwenye baridi hili , mlisema siku 3 kukamata Kiev Au Zelensky na wajeshi kujisalimisha Lakin ikapita mkaanza ooo hayo yalitamkwa na nani, Leo hii mmeanza ooo baridi hawakatizi. Wakikatiza watahamisha magoli tena haha
Britanicca,
 
Baridi haijawahi kuwaacha watu salama,wamuulize Hitler.
Kwa hiyo wewe mlenda unajua kalenda ya baridi la Ulaya kuliko Ukraine na Nato?
Unafikiri wamekaa tu kijiweni hawajiandai sawa na mnavyoka vijiweni mkinywa alkasus?
 
Unafikiri akili za wazungu ni sawa na akili za mwafrika utasubiri sana, tofauti yako wewe mwafrika unaangalia Leo wenzako wanaagalia miaka 10 ijayo

Na kwa kukusaidia Israel alishapigwa supprise attack nyingi na akafanya counter attack akashinda, Israel ndo nchi ambayo wananchi wake wanajua fika mda wowote na saa yeyote wanaingia kwenye vita sio wajinga kama unavyotaka kutuaminisha
Pole sana, sihitaji kubishana. Hujui vita, hujui sababu ya hizo kelele, unakariri eti Israel kapigwa surprise attack nyingi akarudisha. Unaweza kuzitaja ni nyingi kiasi gani? Unajua sababu ya mataifa ya Kiarabu kuwekwa chini ya udhibiti wa UN hasa kwenye mambo ya kijeshi? Unajua sababu ya Syria kuvurugwa?
Unafikiri akili za wazungu ni sawa na akili za mwafrika utasubiri sana, tofauti yako wewe mwafrika unaangalia Leo wenzako wanaagalia miaka 10 ijayo

Na kwa kukusaidia Israel alishapigwa supprise attack nyingi na akafanya counter attack akashinda, Israel ndo nchi ambayo wananchi wake wanajua fika mda wowote na saa yeyote wanaingia kwenye vita sio wajinga kama unavyotaka kutuaminisha
Nadhani unajibu kwa kutumia movie na story za kijiweni. Usijidanganye kuitazama Israel kama taifa linalojitegemea, isingeweza kudumu hata mwezi mmoja hapo lilipo. Hizo "counter attacks" unazosifia unafikiri ziliwezekana hivi hivi tu, kwa akili yako ya kizungu. Hujui hata sababu ndogo tu kwa nini mataifa ya Kiarabu licha ya utajiri wake yanakutana na vikwazo vya silaha za kisasa nzito. Bila umoja wa Mataifa hakuna Israel.
 

News​

getApp


2dee2a89fdbdaab8cf19372c1426391e.jpeg

Will This WordPress Theme Change Everything?

AdElegant Themes


Ukrayinska Pravda

Zelenskyy: Ukraine is destroying worlds second army​

Ukrainska Pravda
Mon, October 24, 2022, 10:15 PM·1 min read
In this article:
  • Volodymyr Zelensky

    Volodymyr Zelensky
    Sixth and current President of Ukraine

ed29e7a7316accfe7ab8f66b614dc05b

ALONA MAZURENKO – MONDAY, 24 OCTOBER 2022, 22:15
President Volodymyr Zelenskyy believes that following eight months of the full-scale war with Russia, the Ukrainian army is destroying the so-called "world’s second army".
 
Putin alisema atakaye jitokeza adhalani na kuleta majeshi yake wazi wazi kwamba anasaidiana na majeshi ya Zelensky kupigana na Urusi - mpaka sasa hakuna Taifa lolote limejitangaza kwamba limengia vitani kusaidiana na jeshi la Zelensky ili kupigana vita na Urusi - hakuna.

Sana sana majeshi ya NATO/US wanajificha nyuma ya pazia ya jeshi la Ukraine, wanavaa uniform za jeshi la Ukraine na kwenda front line - wameuwawa wengi lakini Serikali zao wako kimya kabisa.

Sasa mlitaka Putin afanye nini akurupuke tu na kushambulia mataifa ambayo hayajajitokeza wazi wazi kwamba yanataka kupigana na jeshi la Urusi - hizi dhana zilizo jengeka humu kwamba eti sijui jeshi la Urusi lina ogopa jeshi la NATO/US kitu gani kinawafanya muwe na imani kwamba mnacho kifikiria mko sahihi kabisa - lini NATO iliwahi kupigana na a military powerful Nation kama Urusi, China au North Korea lini, sana sana NATO imezoea kuonea nchi ambazo ni weak kijeshi mfano: Iraq, Yugoslavia, Libya,Afghanistan,Syria etc.

Halafu watu wanakuja hapa na maoni ya ajabu ajabu eti Urusi haina lolote sana sana inajivunia missiles zake za thermonuclear basi, as if Amerika haina silaha za nuclear au Urusi kuwa na missiles mabom ya nuclear ni dhambi!!!

Sasa kama mnafikiri NATO/US wana uwezo mkubwa kijeshi kwa nini hawajiingizi kwenye mapigano ya Ukraine moja kwa moja moja badala yake wanaishia kwenye makongamano na maazimio lukuki vitisho tisho vya kitoto na sanctions chungu mzima, mpaka uchumi wao una fikia hatua ya kuyumba - mwisho wa siku wanakwenda kumbbeleza Putin yaishe kwa kupitia mawaziri wao wa ulizi -alianza waziri wa Ulinzi wa Merokani, juzi juzi kafuatia waziri wa Uingereza ambaye mwaka jana alikuwa anajifanya kifaru mwenye uwezo mkubwa wa kumumaliza Putin na jeshi lake - sasa kiko wapi na mikwala yao - wajaribu basi kuivamia Urusi kwa lengo la kumsaidia Zelensky halafu tuone kutatokea nini??
"Sana sana majeshi ya NATO/US wanajificha nyuma ya pazia ya jeshi la Ukraine, wanavaa uniform za jeshi la Ukraine na kwenda front line - wameuwawa wengi lakini Serikali zao wako kimya kabisa."

Nimesoma nakifaka hapo nimecheka sana, eti majeshi ya NATO yanavaa uniform za ukraine?
Lini na wapi wamefanya hivyo?
With evidence unaweza prove mafa yako
 
Ndio maana mnajiunga sana Kalyinda wakati tuliaminishwa kuwa jamaa anachukua Nchi kwa siku tatu yeye aliwaambia wampe siraha sio ndege ya kukimbia leo anarudisha majimbo yake yaliyotekwa akimbie wale jamaa ni Wazalendo wa kweli na Nchi yao sio kama wale wangine kila kukicha wanakagua ujenzi ws choo sijui bwawa la maji ujenzi wake hauendani na gharama halisi wameiba...
 
Back
Top Bottom