Wacha we, any way sio mbaya... Ushaweka utangulizi elekezi kwamba wewe unaona!
Mjitahidi muwe mnazungumza kwa data sio mihemko. Extra-EU crude oil imports came from Russia (29%), huku United States ikiwa (9%), Norway (8%), Saudi Arabia and the United Kingdom (both 7%) as well as Kazakhstan and Nigeria (both 6%). Uanzie hapo kutueleza hizo 95% of 29% ya Russia imekua replaced na nini.
Vile vile A similar analysis shows that over three quarters of the EU's imports of natural gas came from Russia ambayo ni (43%), Norway (21%), Algeria (8%) and Qatar (5%), pia while more than half of solid fossil fuel (mostly coal) imports originated from Russia (54%), followed by the United States (16%) and Australia (14%). Again tena hapo utueleze hizo 95% of 43% ya Natural gas and 95% of 54% ya coal imekua replaced na nini.
Na imekuwa mara kwa mara ikiripotiwa kua Russia's Gazprom imepata faida kubwa "record profit" kila mwezi kutoka EU. Sasa kama ni mauzo ya korosho utufahamishe mjuba kwani kwa mujibu wako 95% ya Oil and Gas trade ya Russia and EU imekufa.
Damn!
Em tueleze anayenunua hizo silaha ni nani? Is it Kiev or ye mwenyewe United Shit State? Do US military complexes make huge profits kutoka kwenye hela za akina nani? Ukrainians au walipa kodi wa US? Coz till now as far as we know "Greatest" sponsor wa Kiyv ni US akiwa ashagharamika billions of Dollars zikiteketezwa na jeshi la Russia.
Sasa kama US kununua silaha US ni kupiga faida hii nayo ni logic ya aina yake!
Ukifungua Hotel, ukaingia gharama kupika kisha ukaita wateja ukawa unawalipia msosi wako kuwachangisha wana familia yako ili wao wateja wapate kula hio nayo ni akili special ya biashara mahsusi kutoka kwa Ulimi wa Upanga.
Another nonsense!
Unajua lengo au dhumuni la kufungulia reserves? Lel me tell you ni ku'lower ongezeko la bei ya mafuta nchini hapo. Ila sio kureplace gap la Russia. Try first kuelewa "Demand and supply" principles kabla ya kuandikia hiki ulicho andika. Na jitahidi sana kufanya analysis kwa number ili uwe na uelewa mpana wa utakachojaribu kuzungumza.
Usichoelewa tukusaidie kukuelewesha ni kua, Russia alikuwa akipeleka Oil around 800k barrer per day huko US. Russia alikuwa ana account about 3% ya Crude Oil Imports anayofanya US so kuzuia imports kutoka Russia ndio kuliko mfanya kufungulia reserves around 1 Million barrels per day kuziingiza sokoni tena hapo hapo kwao (Domestic market) ili ku'calm ongezeko la bei baada ya ku'disrupt supply.
Sasa kama 1Mil inaweza replace 9Mil me sina ubishi huenda ni how your brain works! No objection kuhusu hilo.
We always spend our "reserves" when we have nothing to spend! Utaitumia akiba yako unapokua huna cha kutumia. Umeishiwa pesa mfukoni unaenda kuchota kiji akiba ulichokitunza zamani za kale. Je vipi na akiba ikiisha? Ushawahi waza kuhusu hilo?
Tegemezi how? So at least tumepata mmoja wapo wa Pro West aliyekiri kua Russia sio mchokozi bali anachokozwa kwa Fujo za Uncle Sam kwa Interest zake za kuikamatia Europe iwe upande wake. So ana'create chuki baina ili yeye aendelee kunufaika. As usual divide and rule!
So kupitia kwako we already know anayejifanya kutangaza amani ndio mvunjifu mkubwa wa amani kwa maslahi yake ya kijakudye!
Vile vile umethibitisha kua hana rafiki na yuko tayari kuwakaanga "allies" wake kwa maslahi yake binafsi.
Like this, They know Embargo on Russian Energy by EU ni Catastrophe. Itapelekea ku'collapse kwa EU economy lakini since hizo Industries na other companies operating in EU wataelekea kwake Washington. They don't give a f**k na wanazidi kulihimiza hilo kulinda hegemony yao... Why? The weak EU is suitable ama favourable for the existence of "Strong US".
Eti bila pingamizi 😂
Unaishi dunia ipi ndugu yetu mmh?