Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

IMG_20221024_110211_399.jpg

🇬🇧Rishi Sunak looks set to become Britain's first PM of Indian origin

Former UK Prime Minister, Boris Johnson, has withdrawn from the leadership challenge, according to British media. Johnson took himself out of the race to become the Conservative Party's next leader, despite claiming to have the necessary support. Consequently Rishi Sunak is the frontrunner to become Britain’s first PM of Indian origin.

Johnson defended his decision to withdraw by saying that running as a candidate “would simply not be the right thing to do” as he couldn't “govern effectively unless [he had] a united party in Parliament”.
 
Naona wahindi wameanza kuiteka UK. Rishi Sunak ni Mhindi anaye tarajiwa kuwa PM wao. Naona Anglo-Saxons wanazidi kupotea.
Mkuu, siyo Mwingereza huyu? Alizaliwa Southampton, aliishi huko, Waingereza walimchagua kuwa mbunge akawa waziri. Sijui ni nini kupanga watu kwa rangi . . . . ni mabaki ya ukoloni waliofundisha mababu wa Waingereza wa leo? (binafsi simpendi sana na mwelekeo wake, hata hivyo...)
 

Ukrainian Armed Forces are shooting down 85% of Iranian-made Shahed drones​

Ukrainska Pravda
Fri, October 21, 2022, 1:29 PM·1 min read
61f50770c8d921db1ab8eedeec8334b6

YEVHEN KIZILOV — FRIDAY, 21 OCTOBER 2022, 13:29
Over the past two weeks, the Armed Forces of Ukraine have demonstrated much better skills in hitting Iranian-made Shahed kamikaze drones, shooting down 85% of these drones.
Source: Yurii Ihnat, spokesman for Air Force Command of the Ukrainian Armed Forces at a briefing on Friday
Wataalamu wamesema huu ni upumvacu kutungua drone ya $200 Kwa kutumia missile ya $4M
 
Wataalamu wamesema huu ni upumvacu kutungua drone ya $200 Kwa kutumia missile ya $4M
Bila shaka ni hasara kiuchumi. Ila inategema. Kama droni ya $ 20,000 (hii ni bei yake, si 200) inaweza kuharibu kifaa chenye thamani ya milioni kadhaa, utatumia silaha inayopatikana hata kama ni ghali. Halafu unajitahidi kuboresha mbinu zako.... kama vile 1) kutambua droni mapema, 2) halafu kuziangusha hata kwa bunduki ya mkononi, jinsi inavyotokea tayari sasa mara kwa mara... au kwa Gepard , kifaru kile chenye mizinga 2 ambacho ni hodari sana kuangusha droni . . . Naona Wairani pamoja na Warusi wanatumia mbinu mpya ambayo ni kushambulia kwa idadi kubwa sana ya droni sahili .... jinsi livyo vitani tangu kale, silaha mpya inaleta mbinu mpya za kupambana nayo . . .
 
Iran Will Supply Gas Turbines To Russia

🚨🚨🚨Moscow and Tehran have struck a deal that would see the Islamic Republic selling 40 domestically produced gas turbines to Russia, Reza Noushadi, the CEO of Iranian Gas Engineering and Development Company, told the Iranian oil ministry’s news agency Shana on Sunday.
According to Noushadi, Iran is currently capable of independently producing “85% of … the equipment needed in the gas industry.⚡⚡⚡GLORY TO IRAN
 
Dunia ingekua na "5 Iran" Plus "5 North Korea"... Tungeheshimiana sana!

[emoji298]DEVELOPING[emoji298]

South Korea fires warning shots after a North Korean vessel crosses maritime border between the two Koreas - South Korea's military.

UPDATE: North Korean military says it responded by firing 10 shells of multiple rocket launchers as a warning to South Korea.

[emoji2772] North Korea na Iran wana sifa moja ya kufanana... Hawacheleweshi majibu [emoji23] ni papo hapo haina ngoja ngoja kuumizana matumbo.
 
WE’RE LEECHING OFF YOU

IMG_20221024_124020_218.jpg


Is Kiev’s message to EU as they don’t even bother to hide how DEPENDENT they are on euros, with Ukrainian PM Denis Shmygal saying they need all the €9 BILLION promised to them by Europe as FAST AS POSSIBLE to line their pockets - no, wait, to pay for Ukrainian workers’ WAGES and PENSIONS of course, and there’s an underhand THREAT in Shmygal’s statement as he warned if Europe doesn’t pay up fast, a MIGRATORY TSUNAMI from Ukraine will be UNLEASHED, the likes of which Europe has never seen before.

[emoji2772] "Seyi Silava Yukurainiii mayi pipo!"
 
Wakuu kwenye hii Vita mie naona mpaka sasa aliyenufaika zaidi ni Marekani kuliko Urusi, Ukrein na Ulaya. Ukiangalia ule mpango wa USA wa kuangusha bihashara ya Gesi kati ya Moscow na Ulaya mpaka sasa kafanikiwa kwa zaidi ya 95% na mbaya zaidi mpaka miundombinu ya hiyo bihashara ameiua. Hapa anapiga dolla kupitia LNG yake kwenda Ulaya kwa bei ya juu.
Pili: Bihashara ya Siraha, hapo mjomba anapiga hela kupitia makampuni ya kutengeneza Siraha zinazokwenda Kiev daily na anazidi kuzifanyia promo Kama ile HIMARS.
Tatu: Mjomba anapiga pesa kupitia mafuta anayotoa kwenye reserve yake kwenda kwenye mzunguko kufidia gap iliyoachwa na Moscow
Nne: Pesa yake imezidi kuwa imara Vs Euro na Pound ambazo ndo zilikuwa Currency shindani kwake.
Tano: Amezidi kuwaongezea Utegemezi Ulaya kwake maana kawafanya Wazidi kuwa maadui wa Moscow hivyo Ulaya/NATO kuanzia sasa wataongeza Utegemezi kwake ili wawe salama dhidi ya Moscow.
Sita: Kaongeza mwanya wa kumsogelea Russia kijeshi kuliko mwanzo, maana sasa anaweza kujenga kituo cha kijeshi nchini Ukrein bila pingamizi kwa kisingizio cha kuilinda Kiev kutoka kwa wavamizi.
 
Hii ni kampeni maalumu ya kuufanya uzi huu usifutiliwe. Kwa sababu maelezo yanayotolewa humu yanawaumbua wale ambao waliojifanya watakatifu usoni lakini ni maharamia kwa vitendo na mioyoni mwao. Na wanajifanya Wana sauti ya juu. Kwa hiyo, ni lazima kuwa wavumilivu ili tuweze kuufahamisha Ulimwengu ni nani hasa ana hatarisha uendelevu wa kizazi cha Sasa na vizazi vijavyo. Hawa wa lugha za kuudhi tuwapuuze.
@Doctor Ngariba

Huu ndio ukweli mtupu kwahio tuvumilie tuuuub
 
Hii ni kampeni maalumu ya kuufanya uzi huu usifutiliwe. Kwa sababu maelezo yanayotolewa humu yanawaumbua wale ambao waliojifanya watakatifu usoni lakini ni maharamia kwa vitendo na mioyoni mwao. Na wanajifanya Wana sauti ya juu. Kwa hiyo, ni lazima kuwa wavumilivu ili tuweze kuufahamisha Ulimwengu ni nani hasa ana hatarisha uendelevu wa kizazi cha Sasa na vizazi vijavyo. Hawa wa lugha za kuudhi tuwapuuze.
Mkuu, sina uhakika kama kuna mpango maalum. Hao wanaotukana wengine kwa maneno kama shoga, senge, mpumbavu, "mazafaka" labda ni watu wanaofurahia kutumia hapa maneno ambayo walikataliwa kuyasema walipokuwa watoto; sasa wanajisikia nafuu wakitumia nafasi hapa ambako wanaweza kuficha majina yao... Kuna therapy kwa matatizo hayo ila si hapa online. Ningefurahia kama Jamiiforums ingesimamiwa kidogo na mtu anayetumia matusi anhepigwa ban haraka. Ila sioni usimamizi huo. Basi tuvumilie, tujaribu kuwakemea bila kutumia lugha yao, menginevyo hatuwezi kuepukana na balaa fulani maishani mwetu.
 
Wakuu kwenye hii Vita mie naona mpaka sasa aliyenufaika zaidi ni Marekani kuliko Urusi, Ukrein na Ulaya. Ukiangalia ule mpango wa USA wa kuangusha bihashara ya Gesi kati ya Moscow na Ulaya mpaka sasa kafanikiwa kwa zaidi ya 95% na mbaya zaidi mpaka miundombinu ya hiyo bihashara ameiua. Hapa anapiga dolla kupitia LNG yake kwenda Ulaya kwa bei ya juu.
Pili: Bihashara ya Siraha, hapo mjomba anapiga hela kupitia makampuni ya kutengeneza Siraha zinazokwenda Kiev daily na anazidi kuzifanyia promo Kama ile HIMARS.
Tatu: Mjomba anapiga pesa kupitia mafuta anayotoa kwenye reserve yake kwenda kwenye mzunguko kufidia gap iliyoachwa na Moscow
Nne: Pesa yake imezidi kuwa imara Vs Euro na Pound ambazo ndo zilikuwa Currency shindani kwake.
Tano: Amezidi kuwaongezea Utegemezi Ulaya kwake maana kawafanya Wazidi kuwa maadui wa Moscow hivyo Ulaya/NATO kuanzia sasa wataongeza Utegemezi kwake ili wawe salama dhidi ya Moscow.
Sita: Kaongeza mwanya wa kumsogelea Russia kijeshi kuliko mwanzo, maana sasa anaweza kujenga kituo cha kijeshi nchini Ukrein bila pingamizi kwa kisingizio cha kuilinda Kiev kutoka kwa wavamizi.
Pro Russia watakushambulia kama nguruwe aliyeingia msikitini[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wakuu kwenye hii Vita mie naona mpaka sasa aliyenufaika zaidi ni Marekani kuliko Urusi, Ukrein na Ulaya.
Wacha we, any way sio mbaya... Ushaweka utangulizi elekezi kwamba wewe unaona!

Ukiangalia ule mpango wa USA wa kuangusha bihashara ya Gesi kati ya Moscow na Ulaya mpaka sasa kafanikiwa kwa zaidi ya 95% na mbaya zaidi mpaka miundombinu ya hiyo bihashara ameiua.
Mjitahidi muwe mnazungumza kwa data sio mihemko. Extra-EU crude oil imports came from Russia (29%), huku United States ikiwa (9%), Norway (8%), Saudi Arabia and the United Kingdom (both 7%) as well as Kazakhstan and Nigeria (both 6%). Uanzie hapo kutueleza hizo 95% of 29% ya Russia imekua replaced na nini.

Vile vile A similar analysis shows that over three quarters of the EU's imports of natural gas came from Russia ambayo ni (43%), Norway (21%), Algeria (8%) and Qatar (5%), pia while more than half of solid fossil fuel (mostly coal) imports originated from Russia (54%), followed by the United States (16%) and Australia (14%). Again tena hapo utueleze hizo 95% of 43% ya Natural gas and 95% of 54% ya coal imekua replaced na nini.

Na imekuwa mara kwa mara ikiripotiwa kua Russia's Gazprom imepata faida kubwa "record profit" kila mwezi kutoka EU. Sasa kama ni mauzo ya korosho utufahamishe mjuba kwani kwa mujibu wako 95% ya Oil and Gas trade ya Russia and EU imekufa.

Pili: Bihashara ya Siraha, hapo mjomba anapiga hela kupitia makampuni ya kutengeneza Siraha zinazokwenda Kiev daily na anazidi kuzifanyia promo Kama ile HIMARS.
Damn!
Em tueleze anayenunua hizo silaha ni nani? Is it Kiev or ye mwenyewe United Shit State? Do US military complexes make huge profits kutoka kwenye hela za akina nani? Ukrainians au walipa kodi wa US? Coz till now as far as we know "Greatest" sponsor wa Kiyv ni US akiwa ashagharamika billions of Dollars zikiteketezwa na jeshi la Russia.

Sasa kama US kununua silaha US ni kupiga faida hii nayo ni logic ya aina yake!

Ukifungua Hotel, ukaingia gharama kupika kisha ukaita wateja ukawa unawalipia msosi wako kuwachangisha wana familia yako ili wao wateja wapate kula hio nayo ni akili special ya biashara mahsusi kutoka kwa Ulimi wa Upanga.

Tatu: Mjomba anapiga pesa kupitia mafuta anayotoa kwenye reserve yake kwenda kwenye mzunguko kufidia gap iliyoachwa na Moscow.
Another nonsense!
Unajua lengo au dhumuni la kufungulia reserves? Lel me tell you ni ku'lower ongezeko la bei ya mafuta nchini hapo. Ila sio kureplace gap la Russia. Try first kuelewa "Demand and supply" principles kabla ya kuandikia hiki ulicho andika. Na jitahidi sana kufanya analysis kwa number ili uwe na uelewa mpana wa utakachojaribu kuzungumza.

Usichoelewa tukusaidie kukuelewesha ni kua, Russia alikuwa akipeleka Oil around 800k barrer per day huko US. Russia alikuwa ana account about 3% ya Crude Oil Imports anayofanya US so kuzuia imports kutoka Russia ndio kuliko mfanya kufungulia reserves around 1 Million barrels per day kuziingiza sokoni tena hapo hapo kwao (Domestic market) ili ku'calm ongezeko la bei baada ya ku'disrupt supply.

Sasa kama 1Mil inaweza replace 9Mil me sina ubishi huenda ni how your brain works! No objection kuhusu hilo.

We always spend our "reserves" when we have nothing to spend! Utaitumia akiba yako unapokua huna cha kutumia. Umeishiwa pesa mfukoni unaenda kuchota kiji akiba ulichokitunza zamani za kale. Je vipi na akiba ikiisha? Ushawahi waza kuhusu hilo?

Tano: Amezidi kuwaongezea Utegemezi Ulaya kwake maana kawafanya Wazidi kuwa maadui wa Moscow hivyo Ulaya/NATO kuanzia sasa wataongeza Utegemezi kwake ili wawe salama dhidi ya Moscow.
Tegemezi how? So at least tumepata mmoja wapo wa Pro West aliyekiri kua Russia sio mchokozi bali anachokozwa kwa Fujo za Uncle Sam kwa Interest zake za kuikamatia Europe iwe upande wake. So ana'create chuki baina ili yeye aendelee kunufaika. As usual divide and rule!

So kupitia kwako we already know anayejifanya kutangaza amani ndio mvunjifu mkubwa wa amani kwa maslahi yake ya kijakudye!

Vile vile umethibitisha kua hana rafiki na yuko tayari kuwakaanga "allies" wake kwa maslahi yake binafsi.

Like this, They know Embargo on Russian Energy by EU ni Catastrophe. Itapelekea ku'collapse kwa EU economy lakini since hizo Industries na other companies operating in EU wataelekea kwake Washington. They don't give a f**k na wanazidi kulihimiza hilo kulinda hegemony yao... Why? The weak EU is suitable ama favourable for the existence of "Strong US".

Sita: Kaongeza mwanya wa kumsogelea Russia kijeshi kuliko mwanzo, maana sasa anaweza kujenga kituo cha kijeshi nchini Ukrein bila pingamizi kwa kisingizio cha kuilinda Kiev kutoka kwa wavamizi.
Eti bila pingamizi 😂

Unaishi dunia ipi ndugu yetu mmh?
 
Back
Top Bottom