Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi wazee zile za drones ambazo Wana NATO walisema Ni Kali na hazijawahi kutokea duniani ziitwazo Switchblade ziliishia wapi?hasizisikii tena Kule Ukraine 😁😁
Mkuu, kadri ya taarifa zote zinazopatikana 1) zimefika 2) zimefanya kazi vizuri (matokeo unaona kwenye ramani), 3) inaonekana zimetumiwa na kwa sasa hakuna akiba kubwa 4) zina hasara kuwa na bei kubwa 5) hivyo tunasikia sasa habari za droni za kienyeji za Irani ambazo ni bei ndogo na hivyo zimenunuliwa na Urusi kwa wingi (ilhali hadi sasa wamekosa uwezo kuzitengeneza wenyewe), 6) zina faida kuwa nafuu hivyo hutumiwa kwa idadi kubwa na kwa njia hii sehemu ndogo inapita kinga na kufika 7) zina hasara haziwezi kulengwa kikamilifu na haziwezi kubadilisha mwelekeo baada ya kuruka hivyo havifai kupiga shabaha inayosogea 8) hivyo ni silaha bora kutisha watu raia, makazi yao na shabaha kama nyumba au vituo vya umeme visivyosogea 9) hazina uwezo mkubwa kushambulia shabaha za kijeshi zinazosogea hivyo athira kwa mapigano halisi si kubwa vile, tofauti na akina switchblade zinazofika kwa umakini na zinaweza kubadilisha shabaha bila matata.
Karibu kwa darsa ya bure!!
 
Piga hao
1666455467179.jpg
 

Explosives laden undetonated drone found near Nord Stream Pipeline bomb blast site​

Published 22 OCTOBER 2022

Sweden Police investigating the recent explosion which blew up the two out of three natural gas pipelines between Russia and Germany, found an explosives-laden, but UN-DETONATED, underwater drone, near the pipeline which did NOT get blown up. A wire which would have controlled the explosion of that drone, was found to have been severed.
The police called-in the Sweden Army Ordnance Disposal Unit, to recover the undetonated drone, and to render it safe.
The drone is now impounded and with it, the first conclusive proof of WHO carried out the bombing of Nord Stream.
Sweden immediately Classified the drone and the investigation as needing to be concealed for "national security" reasons.
The model of drone makes clear who the perpetrator is. Sweden is not revealing the drone model or any other information surrounding it.
News media coverage of the recovery of this drone has been forbidden by Swedish authorities. The Hal Turner Radio Show is not subject to Swedish authority and is herewith publicizing this information pursuant to the freedom of the press, protected by the US Constitution, Amendment One.
At this time, we will not say if we know the drone model, the types of explosives on it, or which country operates such drones. We will decide at a later date as to whether or not to reveal any other information we may already possess, as the revelation of any such information would very likely be Casus Belli to start an actual war.

MY TAKE:
EVEN BEFORE THE FINDING OF THIS UNDERWATER UNDETONATED DRONE,THERE WAS NO DOUBT THAT THE US WAS RESPONSIBLE FOR UNDERWATER BOMBING OF THE NORDSTREAM GAS PIPELINE.NOW THAT SWEDEN IS HIDING THE ORIGIN OF THE UNDER WATER DRONE,THERE IS NO DOUBT THAT THE DRONE IS AMERICAN.IF IT WAS RUSSIAN,IT WOULD BE BREAKING NEWS IN ALL MAINSTREAM MEDIA OUTLETS ACROSS THE WORLD.THESE ARE DOUBLE STANDARDS OF THE HIGHEST ORDER.YES,IT IS CLASSFIED BECAUSE IT IS AMERICAN,HOW HYPOCRITICAL.
 
What!!

Macron accused the United States of double standards due to the fact that Washington sells gas to Europeans 3-4 times more expensive than in the domestic American market.

"Double standards - American energy prices are much lower than ours, because the United States is an energy producer. And they sell gas at home three to four times cheaper than to us. This is double standards,"

[emoji188][emoji188] Put a ceiling on US gas prices, Macron. Go ahead, what's the matter? Mbona simple tu [emoji41].
Ngoja waumane,wakimalizana ni furaha kwa Dunia.
 
Ukraine wamechanganyikiwa, Air defense systems hazifanyi kazi inafikia hatua jet fighter inakimbiza kombora inakua kama inalisindikiza tu,, hii kwangu ni mpya sijawahi ona jet fighter inakimbiza kombora.View attachment 2394666
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii kali ya mwaka
 
Mkuu, kadri ya taarifa zote zinazopatikana 1) zimefika 2) zimefanya kazi vizuri (matokeo unaona kwenye ramani), 3) inaonekana zimetumiwa na kwa sasa hakuna akiba kubwa 4) zina hasara kuwa na bei kubwa 5) hivyo tunasikia sasa habari za droni za kienyeji za Irani ambazo ni bei ndogo na hivyo zimenunuliwa na Urusi kwa wingi (ilhali hadi sasa wamekosa uwezo kuzitengeneza wenyewe), 6) zina faida kuwa nafuu hivyo hutumiwa kwa idadi kubwa na kwa njia hii sehemu ndogo inapita kinga na kufika 7) zina hasara haziwezi kulengwa kikamilifu na haziwezi kubadilisha mwelekeo baada ya kuruka hivyo havifai kupiga shabaha inayosogea 8) hivyo ni silaha bora kutisha watu raia, makazi yao na shabaha kama nyumba au vituo vya umeme visivyosogea 9) hazina uwezo mkubwa kushambulia shabaha za kijeshi zinazosogea hivyo athira kwa mapigano halisi si kubwa vile, tofauti na akina switchblade zinazofika kwa umakini na zinaweza kubadilisha shabaha bila matata.
Karibu kwa darsa ya bure!!
Dah we jamaa unaandika kiswahili ila mi post zako sizielewi aisee. Umesoma sana falsafa?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimetoka kumsikiliza Zelensk.anaiomba NATO kuishambulia URUSI endapo ikitokea WARUSI wakashambulia ikulu yake Kiev.anasema WARUSI wanampango wa kushambulia makazi yake
Rafiki zake na mifumo yao ya ulinzi wameshindwa kumhakikishia ulinzi hapo ikulu?, Kama ni hivyo abadili msimamo aungane na mlengo wa mrusi
 
The sabotage of the Nord Stream and Nord Stream 2 gas pipelines showed how far NATO can go, according to the leader of the French Patriots party, former member of the European Parliament Florian Filippo.
"You need to be vigilant: this alliance is capable of the worst, up to the use of nuclear weapons under a false flag in order to give the conflict a global character," Filippo said.
 
- BREAKING: The first shipments of Iranian ballistic missiles have been delivered to the Russian Federation
Since last night, Russian Ilyushin-76 transport planes have been landing and taking off from military airfields in Yazd province, the hub of the Iranian defense industry, according to flight data.
Most likely they were carrying Fateh-110 / Zolfaghar ballistic missiles.
 
1666466565810.png

Aggravation of the situation in the area of Kreminna

AFU is trying with all his might to get to the Chervonopopovka and Zhitlovka from the side of the Terny.

Acting with forces of up to 2 battalions, which are reinforced by the remnants of a tank company they do not abandon attempts to bypass the Kreminna to the North.

Despite the losses in armored vehicles and manpower,AFU does not abandon attempts to break through the defense line of the Russian Army.

There is information that officers from NATO countries take part in the planning and implementation of Kremennaya's plan.
 
Back
Top Bottom