Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ujerumani Mashariki haikuvamiwa Bali baada ya Hitler's German kuangukia baina ya pande 2, ndipo west wakabaki na west German na east wakabaki na East German. Wote huko walijenga itikadi zao na kuanzisha makambi makubwa ya kijeshi. Eg US,s Rammstein airbase nk.
Hata hivyo Soviet Russia iliiachia German 1991 wakati US bado Ni wakoloni wa Ujerumani Hadi kesho kutwa

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu sina uhakika kitabu chako cha historia ulipata wapi? Ujerumani Mashariki haikuvamiwa? Je utawala wa Hitler katika Ujerumani ulikwishaje? Siyo kwa sababu majeshi ya Urusi, Marekani na Uingereza yalivamia Ujerumani na kuvunja serikali yake ??? Ona ramani ya mji wa Berlin kwenye Aprili 1945. Mishale mekundu si watalii Warusi, ni vikosi vya Kirusi kwenye siku za mwisho wa mapigano ya Berlin...... Mamlaka ya washindi katika Ujerumani yalikwisha hatimaye mwaka 1991 baada ya maungano ya pande mbili za Ujerumani. Tangu siku zile watu wa nchi ile waliiga kura mara kadhaa na kuamulia siasa ya nje. Vyama vilivyopinga kuwepo kwa nchi hiyo katika NATO viligombea pia vikapata kura chache. Je hoja lako kuhusu "ukoloni" leo unaweka kwenye msingi gani?
1666446737543.png
 
Mkuu
Mkuu Ulaya nzima hakuna resources na hii ni toka karne na karne na ndio sababu kubwa ya kuja Africa-nadhani ulisoma history unafahamu hili.mmoja ya sababu ya Hitler kwenda vitani na Urusi alikuwa anatafuta resources-alidhani ataweza kuichapa Russia na kuiweka chini yake hapa namanisha hata ukipata mbadala wa mafuta na gas matatizo kwa ulaya yatakuwa vilevile kwa kuwa bado hana resources.

Kwa makisio yaliyofanyika itachukua zaidi ya miaka 200-500 dunia kuondokana na uchumi wa gas na mafuta dunuani.UE hawezi kuishi bila nishati ya Urusi hilo lipo wazi anachokifanya sasa hivi ni kutochukua hiyo nishati indirect kutoka Urusi ila ni hiyo hiyo nishati ya Urusi ndio anatumia kutoka kwa third part.
Pamoja na kununua gas ya Urusi kutoka kwa third party bado ni rahisi ukilinganisha kama gas ikitoka USA,at the end of the day Ulaya atarudi kwenye nishati ya Urusi hiyo tayari ni calculated movie by Vladimir Putin.
je umeelewa nilichosema kuhusu mwelekeo wa siasa ya Ulaya kujitenga na uchumi wa hidrokaboni? Hidrokaboni ni mafuta na nishati. Pale watu wengi wanaamini (pamoja na wataalamu walio wengu kote duniani - unaweza kuuliza maprofesa Dar es Salaam au Beijing) kwamba ni lazima kutochoma tena gesi na mafuta kwa sababu gesi hizo zinaharibu tabianchi ya dunia na kuharakisha kupanda kwa joto duniani, ambayo ni hatari kubwa ya miaka inayokuja. Hivyo nchi hizo zote zilianza kuchukua hatua kubadilisha vyanzo vya nishati kwenda sola, upepo, jotoardhi , hidrojeni na kadhalika. Matatizo ya sasa yanaharakisha mchakato huu. Baada ya miaka 10 hivi haitaruhusiwi katika nchi kadhaa kuzalisha gari linalohitaji mafuta. Sheria ziko tayari leo hii.

Muda huo wa miaka 200 - 500 kwa kuondoka kwenye hidrokaboni ulichukua wapi?? Hakuna mtaalamu anayesema kitu kama hicho. Ukiamini - lete chanzo!

(pamoja na hayo: Ulaya kukosa vyanzo vya nishati tangu karne - si kweli hata kidogo!!! Unachukua habari hizo wapi?? Unafikiri nini mapinduzi ya viwandani -yaliyoanza Uingereza- yaliendeshwa kwa nishati gani kama siyo makaa ya Uingereza??? Ila siku hizi makaa ya Ulaya karibu yamekwisha. Ona namba za uzalishaji ya mwaka 1905 (unaweza kuhakikisha katika Encyclopedia Britannica ya 1911 inayopatikana online!)

BARA tani makaa zilizozalishwa 1905
Ulaya
534,350,156​
Asia
20,167,019​
Afrika
3,692,712​
Amerika
359,103,525​
Australia
9,079,712​
 
Mkuu unisamehe wewe unaishi sayari gani?
#raia wa Ulaya kuchukia Urusi bila sababu? Kwana hisia katika nchi ziko tofauti, ila nchi karibu na Urusi wana sababu nzuri za kihistoria kuwa na wasiwasi kubwa na Urusi. Maana Urusi ilivamia Lithuania, Latvia, Estonia, Poland, na Finland katika kipindi cha ukoloni na kuzifanya koloni zake. Hata baada ya mapinduzi ya 1917 na nchi hizi kupata uhuru ilivamia tena! Je hawana sababu ya kuwa na wasiwasi, hofu au labda hata chuki dhidi ya Urusi (nakubali chuki ni jambo baya...)

# nchi ningine zilivamiwa na Urusi baada 1945 zikalazimishwa kuwa nusu koloni za Urusi kama vile Chekoslovakia, Hungaria, Ujerumani Mashariki . . .

# ninachokiona mimi ni raia za Sweden na Finland walilazimisha serikali zao kubadilisha siasa ya miaka mingi na kujiunga na NATO

Unaonaje?
Proputin wanaishi katika sayari yao wenyewe
Screenshot_20221022-171809_Twitter.jpg
Screenshot_20221022-172232_Gallery.jpg
 
You have just pull that number out of your ass.
Hakuna mtaalamu yeyote aliyesema huo upupu wako.
Mkuu Ulaya nzima hakuna resources na hii ni toka karne na karne na ndio sababu kubwa ya kuja Africa-nadhani ulisoma history unafahamu hili.mmoja ya sababu ya Hitler kwenda vitani na Urusi alikuwa anatafuta resources-alidhani ataweza kuichapa Russia na kuiweka chini yake hapa namanisha hata ukipata mbadala wa mafuta na gas matatizo kwa ulaya yatakuwa vilevile kwa kuwa bado hana resources.

Kwa makisio yaliyofanyika itachukua zaidi ya miaka 200-500 dunia kuondokana na uchumi wa gas na mafuta dunuani.UE hawezi kuishi bila nishati ya Urusi hilo lipo wazi anachokifanya sasa hivi ni kutochukua hiyo nishati indirect kutoka Urusi ila ni hiyo hiyo nishati ya Urusi ndio anatumia kutoka kwa third part.
Pamoja na kununua gas ya Urusi kutoka kwa third party bado ni rahisi ukilinganisha kama gas ikitoka USA,at the end of the day Ulaya atarudi kwenye nishati ya Urusi hiyo tayari ni calculated movie by Vladimir Putin.
 
Ukraine wamechanganyikiwa, Air defense systems hazifanyi kazi inafikia hatua jet fighter inakimbiza kombora inakua kama inalisindikiza tu,, hii kwangu ni mpya sijawahi ona jet fighter inakimbiza kombora.View attachment 2394666

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373][emoji1373]
 
[emoji298][emoji298][emoji298] Russia should not win the war against Ukraine, because it is a threat to the entire West. This was stated by US President Biden in an interview with MSNBC.

He noted that the United States has invested a lot of money in helping Ukraine, but the matter is, first of all, something else.

“We spent a lot of money helping the Ukrainians. But this is much more than about the Ukrainians, it’s about NATO, about Western Europe. It’s about achieving a clear goal – that Russian President Vladimir Putin cannot succeed,” Biden said.

[emoji2772] And then Biden.exe crashed and they had to reboot him. Hii Phrase ya mwisho hapo kwenye "bold"... Kwa watumiaji wa PC nadhani tumeelewana [emoji23]
 
STRAIGHT FROM THE HEAVENS: but raining HELL as SU-30SM of Russian airforce takes to the skies, armed with a LETHAL payload of air-to-surface and air-to-air missiles, navigating smoothly through the airspace before launching a projectile on a ground target and signing its DEATH warrant.



👣👣 This badass anavyotoa maelezo utafikiri anatangaza mpira, hiyo explanation ni NEXT LEVEL 🖐️
 
[emoji1255]The air defense systems of Ukraine are not able to cope with Russian strikes.

The Washington Post correspondent spoke with Denis Smazhny, head of the AFU Air Defense Training Center.

The Armed Forces of Ukraine do not have enough modern air defense to cover the whole country.

Almost the entire air defense system of the Armed Forces of Ukraine is still Soviet-made, which means that it is at least 30 years old.

[emoji3502]"We have to replace the old air defense systems, because soon they will not be able to cope with threats... And we're running out of missiles."

"Now our air defense is literally a guy with a Stinger," concludes Daria Kalenyuk, head of the anti—constitutional center of Ukraine.
 
[emoji1109][emoji1255]"We are dealing with some kind of psychiatric problem."

The chairman of the Foreign Relations Committee of the Parliament of Georgia Nikoloz Samkharadze spoke about the statements of Arestovich, reports @SputnikGeorgia.

"Today Arestovich promised us that Ukraine would carry out aggression against Georgia. We are in the theater of the absurd," Samkharadze said.

Kiev will save Moldova, Georgia and Armenia by sending a million militants there, the head of Zelensky's office said yesterday.

"If we take into account the pro-Russian government in Georgia, which does not have the ability to make decisions we will project force there. We will have to save Georgians, save Moldova, Armenia, save everyone."
 
Back
Top Bottom