Unajua hizi picha ndo kwanza naziona humu nimeziona kwenye huu Uzi. Sikujua kama hawa ndugu zetu kwa munasaba wa Adam wamezindua kabisa na mavazi yanayoendana kwa mazingira wanayojisababishia.Piga hao wavaa pempas [emoji304][emoji2524][emoji304] View attachment 2394980
Kuna mengine yalikuwa yanalipua majengo yao yenyewe!Hivi hizo air defense systems za Ukraine,zikimiss target,Huwa zinaenda kutua wapi?
Mkuu tuwe macho tu ila kiukweli kuna kila dalili za Vita ya 3 ya Dunia, Zelesky anajua nn anafanya, Zelesky ni Rais pandikizi na aliandaliwa na CIA kwakushirikiana na M16.Zelensky kweli hana akili au anatuigizia?
Marekani na wenzie walitumia mabilions ya dollar ku funds wanamgambo wa kumtoa madarakani Assad pale Syria, mchongo ulikua almost done... maana walibaki miji miwili tu nadhani ni allepo na Damascus, baada ya hapo walikua wanaichukua nchiMkuu tuwe macho tu ila kiukweli kuna kila dalili za Vita ya 3 ya Dunia, Zelesky anajua nn anafanya, Zelesky ni Rais pandikizi na aliandaliwa na CIA kwakushirikiana na M16.
Mambo yataenda kuwa magumu zaidi ata Russia akishinda hii operation yake ila Marekan hatokubali ili na ndiyo maana kapeleka wanajeshi mpaka mwa Ukraine wakifanya mazoezi ya kivita, NATO hawatakubali kushindwa dhidi ya Taifa moja, watapoteza ushawishi wao Dunian na kwa namna hiyo lazima watataka kumpiga Russia na ndiyo hapo tutakapoisha Dunian.
Kwa jinsi Russia kaibomoa Ukraine inakatisha tamaa mabeberu maana kuirudisha nchi kwenye ukawaida wake ni muda ndio mana Russia anapondaponda ukraine ipoteze mvutoMarekani na wenzie walitumia mabilions ya dollar ku funds wanamgambo wa kumtoa madarakani Assad pale Syria, mchongo ulikua almost done... maana walibaki miji miwili tu nadhani ni allepo na Damascus, baada ya hapo walikua wanaichukua nchi
Upepo ulibadilika kabisa mara baada ya urusi kuingia, alipeleka majeshi ya kimkakati, kipigo walichokitoa pale Syria ni mungu anajua. Vyombo vya habari vya west walitunyima taarifa sahihi, ila kipigo kilikua kitakatifu na mpaka leo Assad yupo madarakani, na Syria imerudisha miji yake kwa asilimia zaidi ya 85.
Hivyo hivyo kwa Maduro pale Venezuela, Russia waliingia kumnusuru. USA ameshindwa mara nyingi na Urusi kwenye prox wars, na hata hii ya Ukraine unaona kuna kila dalili Ukraine amekwama. Majimbo manne yameondoka, vimebaki vita kwenye vijiji kadhaa tu huko.
Ila nawapongeza Us na west wenzie, kazi yao kubwa ni kutoa sadaka wenzao.. ila wao kamwe hawaingii front... hata pale Ukraine hawataenda front kamwe.. wanajua hawawezi kujaribu kucheza na moto, wanatoa sadaka wenzao.
Vijana wako mazoezini 😂😂😂Huko kiev drones zinapishana tu angani[emoji23][emoji23]
Unairudishaje nchi kwenye hali yake wky vita bado inaendelea?Kwa jinsi Russia kaibomoa Ukraine inakatisha tamaa mabeberu maana kuirudisha nchi kwenye ukawaida wake ni muda ndio mana Russia anapondaponda ukraine ipoteze mvuto