Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wala hilo si lengo...

Maana wale wako frontline, hawawezi kuja tengeneza umeme
Amin usiamini mkuu,haya mashambulizi Yana lengo la kuitia hofu Ukraine Ili aone kwamba yeye kuendelea kujihusisha kwenye hii vita kunamgharimu pakubwa kimiundombinu.., hivyo wanaona kwamba Ukraine atalazimika kutafta namna yoyote ile ya kumaliza vita Ili miundombinu yake isiendelee kuharibiwa..,

Lakini Kwa bahati mbaya wamekwama katika Hilo, maana rais zelensiky ameweka wazi katika hotuba yake Leo usiku kwamba Ukraine wanazidi ku-advance kila siku,na mashambulizi yanayoendelea kwenye miundombinu ya kiraia hayatabadili Chochote huko battle field

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Manchi masikini yanayotengemea ruzuku toka Westen countries specifically US na UN huwa yana midomo sana ,these assholes would be starving to death without US funded handsouts and programs ,mazafakaz
Huwa natamani kuona USA siku moja anawithdraw trillions za kufund International Aids ,relief and humanitarian NGO's na UN agencies tuje tuone sasa kama hicho kidomo chao.
Ifike mahala heshima iwepo , watu wanakatwa kwenye mishahara yao huko Europe na US ili kufund haya mambw@ yasiyo na shukurani yet bado yana talk shit .
Assholes
Wasilete maana mnaleta hela na agenda zenu za uchoko. Mnaharibu jamii sababu ya kuzambaza uchoko wenu kwa kivuli cha misaada. Tutaupinga uchoko wenu na hamtafanikiwa kueneza uchoko
 
Manchi masikini yanayotengemea ruzuku toka Westen countries specifically US na UN huwa yana midomo sana ,these assholes would be starving to death without US funded handsouts and programs ,mazafakaz
Huwa natamani kuona USA siku moja anawithdraw trillions za kufund International Aids ,relief and humanitarian NGO's na UN agencies tuje tuone sasa kama hicho kidomo chao.
Ifike mahala heshima iwepo , watu wanakatwa kwenye mishahara yao huko Europe na US ili kufund haya mambw@ yasiyo na shukurani yet bado yana talk shit .
Assholes
Trump alikuwa sahihi sana aliposema nchi za Africa ni shithole counties.., huwezi kujitegemea kwa akili hizi,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Manchi masikini yanayotengemea ruzuku toka Westen countries specifically US na UN huwa yana midomo sana ,these assholes would be starving to death without US funded handsouts and programs ,mazafakaz
Huwa natamani kuona USA siku moja anawithdraw trillions za kufund International Aids ,relief and humanitarian NGO's na UN agencies tuje tuone sasa kama hicho kidomo chao.
Ifike mahala heshima iwepo , watu wanakatwa kwenye mishahara yao huko Europe na US ili kufund haya mambw@ yasiyo na shukurani yet bado yana talk shit .
Assholes
Akili za kitumwa hizo!Waache kutoa!
 
Super pawer wa mchongo alizoea vya kunyonga tu alifikiri hata Ukraine itakuwa ya kunyonga.., amekutana na kisiki [emoji16]
1665901375884.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Huwa nakupachika mtwangio wewe kvma ,mama yako na baba yako , na wapiga three some kila siku night .naona kundu lishakuwasha njoo nikufumue tena linda
Ndo michezo huwa mnafanyiana na wazazi wako. Hii laaana hivyo mama yako huwa anakusukuma tope. Laaana
 
Laiti ningekuwa na uwezo na nguvu ya kushawishi members wasitukane basi ningefanya hivyo.

Naamini huku kuna baba,mama na babu zetu japo hatuonani lakini haipendezi kuwasikilizisha au kuwaonesha matusi yetu.

Uzi ni mzuri sana kwa ajili ya kufuatilia yanayojiri battle field lakini matusi na lugha mbaya zinatufanya tunashindwa kukoment kwa kukohofia kubananishwa kwenye matusi.
Hii ni kampeni maalumu ya kuufanya uzi huu usifutiliwe. Kwa sababu maelezo yanayotolewa humu yanawaumbua wale ambao waliojifanya watakatifu usoni lakini ni maharamia kwa vitendo na mioyoni mwao. Na wanajifanya Wana sauti ya juu. Kwa hiyo, ni lazima kuwa wavumilivu ili tuweze kuufahamisha Ulimwengu ni nani hasa ana hatarisha uendelevu wa kizazi cha Sasa na vizazi vijavyo. Hawa wa lugha za kuudhi tuwapuuze.
 
Akili za kitumwa anazo kama yako , dada zako na mke wako wanaoenda kupanua kvma zao hospitali na kuzaa salama kama panya bila kulipia senti , unajua hizo pesa zimetoka wapi we mbuzi ?
Akili za kitumwa ziko kwa viongozi wako ambao huwa wanazunguka kila siku US na western Europe kuomba na kushinikiza kupewa trilions za kujenga madarasa ,hospitali ,vifaa tiba ,madawa ,miradi ya barabara na maji
Fvcking moron
Jumapili yangu ni njema sana,jipange upya kwani hata unitukane vipi,haiwezi kunigus Kwa namna yoyote Ile!Unapoteza tu muda wako,hunijui sikujui halafu nikwazwe na matusi Yako?No,nakataa kushuka level hizo!Utawapata wengine wa kutukanana nao lakini si Mimi!
Kama hao watu uliowataja,kama kweli imekutokea wewe basi tema mate chini na nenda kasali Sala ya Toba kwani ni matusi makubwa sana umeitukana familia Yako Kwa kujua au kutokujua!
Shame on you!
 
Kama haijakuuma ungepotezea tu. .., lakini Kwa jinsi unavyotumia muda na bando kujibu inaonekana imeekuuma ukaamua ku-react[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kataeni sasa tuone kama mna huo ubavu , ungrateful fisi nyie
Wewe inaonekana unaweza kuuza utu wako Kwasababu ya misaada!
Waambieni hao mnaowatukuza Waache kutoa hiyo misaada!
SA walimdindia Blinken,wakaweka wazi kuwa US iache kuzipangia nchi za Africa Nini Cha kufanya!Nchi za Africa ni nchi huru na zitajiamulia mambo yake kama inavyotaka na sio Kwa vitisho vya US!
Bunge la EU walizuia mradi wa Bomba la mafuta kutoka Uganda,Museveni akawagomea na akasema litajengwa tu!Tz nasi tukasimama tukasema litajengwa!
Haya tumewagomea,Waache kutoa misaada Sasa!
 
Jipange unaleta uchoko na usela mavi unajiona mjanja kumbe mshamba. Jipange [emoji2][emoji2] ***** na tutawapinga popote. Machoko wenzako wanateseka huko vitani, shahed zikipita wanajaza diaper kwa haraka hivyo wanarudi nyuma kubadili diaper. Laaanakum
Hao wanaoteseka vitani unasema kina nani mkuu? Au ni kinyume chake [emoji16][emoji28]
JamiiForums1171967031.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Labda nikuhoji swali dogo, hivi wewe umewahi kutembelea au kuishi mataifa gani ya nje specifically mataifa unayo yahusudu sana specifically Merikani na Uingereza??

Hivi unajua malengo ya tabloid news papers,mfano: The Mirror and The SUN - lengo ni kuuza nakala nyingi kutokana na sensentional news ambazo nyingi hazina ukweli wowote wanatunga tu including page3 girls, actually wasomaji wengi wanao jitambua hawachukulii magazeti hayo seriously wana yaona ni burudani tu - wewe ni tofauti kidogo ndiyo maana una kawaida ya ku-copy na ku-paste habari hizo RAW bila ya ku-digest vizuri waleta habari hao wana lengo gani aidha kibiashara au kisiasa, utambuzi huo huna kabisa, kazi yako mara zote ni ku-exaggerate habari mainly zinazo husu Urusi,China na Iran basi.

Sasa turudi kwenye mada, hivi kwa akili za kawaida una amini kwamba walikuwepo waandishi wa habari wa the SUN kutoka Uingereza wakati wanajeshi wa Urusi wakiwa kwenye mafunzo ya kijeshi kwenye misitu ya huko Urusi - yaani waandishi wa habari wa the SUN kutoka Uingereza waka karibishwa kwa mikono miwili kwenye msitu wa mafunzo ya kijeshi na wakuu wa jeshi la Urusi ili waweze kupiga picha na ku-record video clip za kuonyesha Dunia jinsi wanajeshi wa Urusi wanavyo uuana ovyo huko misituni wakiwa mafunzoni!!! Hii inaingia akili kweli??

Yaani huna habari kwamba picha hizo ni fake zimepigwa kwenye misitu ya huko Uingereza wakitumia waigizaji tu - nchi za magharibi: NATO/US vita wanavyo shinda huko Ukraine ni vita vya kwenye media na mitandaoni sio vita ya kutumia silaha.
 
Kama haijakuuma ungepotezea tu. .., lakini Kwa jinsi unavyotumia muda na bando kujibu inaonekana imeekuuma ukaamua ku-react[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unalazimisha iniume Kwani uko moyoni mwangu,ungekuwa unasoma mabandiko yangu basi watukanaji wote Huwa nawaambia the same phrase!Siwezi kuharibiwa siku na mtu nisiyemjua!Yaani maisha Yenyewe changamoto,halafu niongeze changamoto nyingine ya kujitakia!Hapana aisee,sitaingia huko!
 
Back
Top Bottom