kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hizo ni hoja mbili tofauti kabisa na zimeshatolewa ufafanuzi humu!US alimruhusu Cuba kuunda umoja wa kijeshi na Russia na kupelekea Russia kuweka Base yake Cuba?Nyie watu ni wa ajabu kweli..,mmekomaa kusema kwamba us na ulaya waache kuwapangia mataifa ya Africa nini Cha kufanya,wayaache mataifa ya Africa yajiamulie mambo yake.., alafu wakati huo huo mnashabikia matendo ya yule dikiteta fashisti shetani wa urusi kutaka kuingilia maamuzi ya nchi huru huko Ukraine
Mpaka hapo huoni kwamba mnajikanyaga sana kwenye hoja zenu?[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unajua UK inaingia mara ngapi Ukraine?Miezi 8 unaangaika na hiki kijiji halafu unajiita super pawer?
Mnaomshabikia huyu super pawer wa mchongo inabidi mkapimwe akili aisee[emoji848]View attachment 2395264
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bomba litajengwa,wait and see!Jengeni sasa bila pesa za Total tuone kama mnaweza .
Ngoja nikuelimishe naona hujui lolote kuhusu hili issue .
Na si EU wala US wala sijui nani aliyezuia hizo pesa ,kama wewe ni mfuatliaji wa hili suala la green movement utaelewa ninachomaanisha , na nilishaandika sana kule juu mwanzoni kuhusiana na hili saga la huu miradi kusimamishwa , kuna Paris Agreement ambayo yalikuwa hosted na France , na haya yaliinvolve big industrialized economies za dunia zote kureduce carbon emissions zinazochochafua hewa na kusababisha global warming na mabadiliko ya tabia ya nchi kiujumla Kwa kupunguza na ikiwezekana kuondoa kabisa matumizi ya fossil fuels kufikia ,2030 , sasa serikali ya France wanapata wakati mgumu toka kwa green movement & environment activist ambao wanaipa pressure serikali ya France kuheshimu Paris Agreement Kwa kufreeze pesa za kampuni ya Total ambaye ndio mwenye mfadhili na mbia mkubwa kwenye ule mradi , sasa Total hawawezi kuendelea na mradi na wanapata wakati mgumu kwa sababu ni lazima pesa zao zipate authority toka serikali ya France ambaye ndio mwenye kiti wa Paris Agreement na green movement duniani .
Sijui USA na Eu wanaingia je hapa ,ukitumia logic Tu nadhani jibu unalo Total ameshaingiza billions so far kwenye huo mradi tokea unaanza maana exploration kafund na kufanya yeye ,kufund pre project assessment details na miundombinu ya project ,project za mafuta si kama kuchimba viazi ,it involves alot of things .
Sasa Total unafikiri ni mjinga ajihujumu na kuingia loss kubwa vile after all the years of time ,efforts na money that wameweka pale so far ? Answer is no , jibu ni kwamba kuna external force inayobana nao ni wanaharakati wa mazingira pale France . Na Hilo ndio jibu , si propaganda mfu hizo na conspiracy zisizo na kichwa wala miguu
Niambie in details ya quantity na value ni vitu gani US anavuna ,naona kuna propaganda mfu ya muda mrefu sana imetumika kama kichaka na watu malaymen wasiojua chochote ,na utaje on details na mashirika ambayo yanahusiana sio kuandika vague issuesKwani race au geography ndio inaifanya SA kuwa African country?Una suggest hata Misri, Algeria,Tunisia,Morocco sio African countries kisa race Yao?
Mbona huna hoja kabisa!Huyo US anavuna Africa kuliko misaada anayotoa!
Poa , ngoja tuoneBomba litajengwa,wait and see!
Dunia hiiUnajua hizi picha ndo kwanza naziona humu nimeziona kwenye huu Uzi. Sikujua kama hawa ndugu zetu kwa munasaba wa Adam wamezindua kabisa na mavazi yanayoendana kwa mazingira wanayojisababishia.
Khaa! Salaaale!
Fashisti Putin akutegemea kama atakutana na hiki kipondo anachotembezewa[emoji848]Ukrainian military says 18 Russian cruise missiles destroyed amid attacks on energy infrastructure
CNN —
The Ukrainian military said it used anti-aircraft missile units and mobile fire groups to destroy Russian cruise missiles during a string of attacks on energy infrastructure across the country Saturday morning.
“18 enemy cruise missiles were destroyed by aviation, anti-aircraft missile units and mobile fire groups,” a post from the Air Force of the Armed Forces of Ukraine said.
“In addition, the Russians attacked from ships in the Black Sea with Kalibr cruise missiles. A total of 16 starts,” it continued. CNN cannot independently confirm the Ukrainian military’s claims.
Several rockets flying towards Kyiv on Saturday were shot down by air defense forces in the region, the city’s Mayor Kyiv Mayor Vitaliy Klitschko said in a separate statement.
Sijui Putin atawanyonga hawa au vipi maana dah...
Zaidi ya asikari elf sitin na Tano wanapoteza maisha katika operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo [emoji2][emoji1787][emoji16]Ukraine kaonyesha uanaume halisi kupiga hili dude na kulijeruhi kiasi hichi siyo kazi nyepesi ,kwa kidogo walichosaidiwa wamefanya mskubwa big up ukraine
View attachment 2395058
Muda Huo Sina,ila ukitaka kujua nenda katafute US/Africa trade!Niambie in details ya quantity na value ni vitu gani US anavuna ,naona kuna propaganda mfu ya muda mrefu sana imetumika kama kichaka na watu malaymen wasiojua chochote ,na utaje on details na mashirika ambayo yanahusiana sio kuandika vague issues