Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe inaonekana unaweza kuuza utu wako Kwasababu ya misaada!
Waambieni hao mnaowatukuza Waache kutoa hiyo misaada!
SA walimdindia Blinken,wakaweka wazi kuwa US iache kuzipangia nchi za Africa Nini Cha kufanya!Nchi za Africa ni nchi huru na zitajiamulia mambo yake kama inavyotaka na sio Kwa vitisho vya US!
Bunge la EU walizuia mradi wa Bomba la mafuta kutoka Uganda,Museveni akawagomea na akasema litajengwa tu!Tz nasi tukasimama tukasema litajengwa!
Haya tumewagomea,Waache kutoa misaada Sasa!
Unaongea usilolijua , what a crap , yaani Uganda wamwambie nini Blinken ? mfadhili wa hiyo project ya bomba la mafuta EACOP unajua ni nani ? ,USA ndio anasema huo miradi usitishwe ?,let me fvcking laugh man .,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajua ni nani anayesisitiza huo miradi usimamishwe na kwa grouds zipi ? ,Get educated
We dogo ,
 
Unalazimisha iniume Kwani uko moyoni mwangu,ungekuwa unasoma mabandiko yangu basi watukanaji wote Huwa nawaambia the same phrase!Siwezi kuharibiwa siku na mtu nisiyemjua!Yaani maisha Yenyewe changamoto,halafu niongeze changamoto nyingine ya kujitakia!Hapana aisee,sitaingia huko!
Kunywa maji mengi mkuu..,inasaidia kupungua stress [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wewe inaonekana unaweza kuuza utu wako Kwasababu ya misaada!
Waambieni hao mnaowatukuza Waache kutoa hiyo misaada!
SA walimdindia Blinken,wakaweka wazi kuwa US iache kuzipangia nchi za Africa Nini Cha kufanya!Nchi za Africa ni nchi huru na zitajiamulia mambo yake kama inavyotaka na sio Kwa vitisho vya US!
Bunge la EU walizuia mradi wa Bomba la mafuta kutoka Uganda,Museveni akawagomea na akasema litajengwa tu!Tz nasi tukasimama tukasema litajengwa!
Haya tumewagomea,Waache kutoa misaada Sasa!
Nyie watu ni wa ajabu kweli..,mmekomaa kusema kwamba us na ulaya waache kuwapangia mataifa ya Africa nini Cha kufanya,wayaache mataifa ya Africa yajiamulie mambo yake.., alafu wakati huo huo mnashabikia matendo ya yule dikiteta fashisti shetani wa urusi kutaka kuingilia maamuzi ya nchi huru huko Ukraine

Mpaka hapo huoni kwamba mnajikanyaga sana kwenye hoja zenu?[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Labda nikuhoji swali dogo, hivi wewe umewahi kutembelea au kuishi mataifa gani ya nje specifically mataifa unayo yahusudu sana specifically Merikani na Uingereza??

Hivi unajua malengo ya tabloid news papers,mfano: The Mirror and The SUN - lengo ni kuuza nakala nyingi kutokana na sensentional news ambazo nyingi hazina ukweli wowote wanatunga tu including page3 girls, actually wasomaji wengi wanao jitambua hawachukulii magazeti hayo seriously wana yaona ni burudani tu - wewe ni tofauti kidogo ndiyo maana una kawaida ya ku-copy na ku-paste habari hizo RAW bila ya ku-digest vizuri waleta habari hao wana lengo gani aidha kibiashara au kisiasa, utambuzi huo huna kabisa, kazi yako mara zote ni ku-exaggerate habari mainly zinazo husu Urusi,China na Iran basi.

Sasa turudi kwenye mada, hivi kwa akili za kawaida una amini kwamba walikuwepo waandishi wa habari wa the SUN kutoka Uingereza wakati wanajeshi wa Urusi wakiwa kwenye mafunzo ya kijeshi kwenye misitu ya huko Urusi - yaani waandishi wa habari wa the SUN kutoka Uingereza waka karibishwa kwa mikono miwili kwenye msitu wa mafunzo ya kijeshi na wakuu wa jeshi la Urusi ili waweze kupiga picha na ku-record video clip za kuonyesha Dunia jinsi wanajeshi wa Urusi wanavyo uuana ovyo huko misituni wakiwa mafunzoni!!! Hii inaingia akili kweli??

Yaani huna habari kwamba picha hizo ni fake zimepigwa kwenye misitu ya huko Uingereza wakitumia waigizaji tu - nchi za magharibi: NATO/US vita wanavyo shinda huko Ukraine ni vita vya kwenye media na mitandaoni sio vita ya kutumia silaha.

Wewe ndio zako ma-insha ya kuhoji magazeti, nimewaambia leteni taarifa zenu za magazeti ya kiarabu, mimi naleta za wazungu ila ukweli ndio ule ule, wanajeshi wa Urusi wameanza kuasi, lisupapawa limejichokea.
 
Unaongea usilolijua , what a crap , yaani Uganda wamwambie nini Blinken ? mfadhili wa hiyo project ya bomba la mafuta EACOP unajua ni nani ? ,USA ndio anasema huo miradi usitishwe ?,let me fvcking laugh man .,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajua ni nani anayesisitiza huo miradi usimamishwe na kwa grouds zipi ? ,Get educated
We dogo ,
SA na Uganda wapi na wapi?Relax mkuu,pumzisha akili!Au SA ni Uganda?
.

Kwenye suala la Bomba,EU walizuia ufadhili wa mradi na ndio Museveni akasema litajengwa tu!
 
Wewe inaonekana unaweza kuuza utu wako Kwasababu ya misaada!
Waambieni hao mnaowatukuza Waache kutoa hiyo misaada!
SA walimdindia Blinken,wakaweka wazi kuwa US iache kuzipangia nchi za Africa Nini Cha kufanya!Nchi za Africa ni nchi huru na zitajiamulia mambo yake kama inavyotaka na sio Kwa vitisho vya US!
Bunge la EU walizuia mradi wa Bomba la mafuta kutoka Uganda,Museveni akawagomea na akasema litajengwa tu!Tz nasi tukasimama tukasema litajengwa!
Haya tumewagomea,Waache kutoa misaada Sasa!
South Africa ,a white man's country huyo Rais ni stooge ,anaropoka asivyovijua .Kwanza South Africa hamtakiwi hata kuicount kuwa African state let alone kumdindia US ,Hana ubavu huo hata siku moja and never will be , hayo mengine ni kuropoka tu kama waropokaji wengine Turkey , China NK walivyo but never will they ever try to mess with Uncle Sam
Yaani hawa makabulu ndio wakumdindia USA , hivi huwa mnawazimu wa wapi kwenye vichwa vyenu .
Hivi unajua Foreign Direct investment ya south Africa inatoka wapi ? , Aisee grow up kids
 
Kunywa maji mengi mkuu..,inasaidia kupungua stress [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hujui watu wenye stress ndio Huwa wanatukana hovyo?Mimi hapa nimerelax,nasubiri jioni ifike nikaangalie mpira huku nikishushia Moja moto Moja baridi,kesho mtanange unaanza wa kutafuta ugali!
 
SA na Uganda wapi na wapi?Relax mkuu,pumzisha akili!Au SA ni Uganda?
.

Kwenye suala la Bomba,EU walizuia ufadhili wa mradi na ndio Museveni akasema litajengwa tu!
Jengeni sasa bila pesa za Total tuone kama mnaweza .
Ngoja nikuelimishe naona hujui lolote kuhusu hili issue .
Na si EU wala US wala sijui nani aliyezuia hizo pesa ,kama wewe ni mfuatliaji wa hili suala la green movement utaelewa ninachomaanisha , na nilishaandika sana kule juu mwanzoni kuhusiana na hili saga la huu miradi kusimamishwa , kuna Paris Agreement ambayo yalikuwa hosted na France , na haya yaliinvolve big industrialized economies za dunia zote kureduce carbon emissions zinazochochafua hewa na kusababisha global warming na mabadiliko ya tabia ya nchi kiujumla Kwa kupunguza na ikiwezekana kuondoa kabisa matumizi ya fossil fuels kufikia ,2030 , sasa serikali ya France wanapata wakati mgumu toka kwa green movement & environment activist ambao wanaipa pressure serikali ya France kuheshimu Paris Agreement Kwa kufreeze pesa za kampuni ya Total ambaye ndio mwenye mfadhili na mbia mkubwa kwenye ule mradi , sasa Total hawawezi kuendelea na mradi na wanapata wakati mgumu kwa sababu ni lazima pesa zao zipate authority toka serikali ya France ambaye ndio mwenye kiti wa Paris Agreement na green movement duniani .

Sijui USA na Eu wanaingia je hapa ,ukitumia logic Tu nadhani jibu unalo Total ameshaingiza billions so far kwenye huo mradi tokea unaanza maana exploration kafund na kufanya yeye ,kufund pre project assessment details na miundombinu ya project ,project za mafuta si kama kuchimba viazi ,it involves alot of things .
Sasa Total unafikiri ni mjinga ajihujumu na kuingia loss kubwa vile after all the years of time ,efforts na money that wameweka pale so far ? Answer is no , jibu ni kwamba kuna external force inayobana nao ni wanaharakati wa mazingira pale France . Na Hilo ndio jibu , si propaganda mfu hizo na conspiracy zisizo na kichwa wala miguu
 
South Africa ,a white man's country huyo Rais ni stooge ,anaropoka asivyovijua .Kwanza South Africa hamtakiwi hata kuicount kuwa African state let alone kumdindia US ,Hana ubavu huo hata siku moja and never will be , hayo mengine ni kuropoka tu kama waropokaji wengine Turkey , China NK walivyo but never will they ever try to mess with Uncle Sam
Yaani hawa makabulu ndio wakumdindia USA , hivi huwa mnawazimu wa wapi kwenye vichwa vyenu .
Hivi unajua Foreign Direct investment ya south Africa inatoka wapi ? , Aisee grow up kids
Kwani race au geography ndio inaifanya SA kuwa African country?Una suggest hata Misri, Algeria,Tunisia,Morocco sio African countries kisa race Yao?
Mbona huna hoja kabisa!Huyo US anavuna Africa kuliko misaada anayotoa!
 
Miezi 8 unaangaika na hiki kijiji halafu unajiita super pawer?
Mnaomshabikia huyu super pawer wa mchongo inabidi mkapimwe akili aisee[emoji848]
1665914668137.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom