Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

In your dreams!
Na hata hizo 15% ni kwa mbinde, tulianza kufukuzia tangu alipojaribu kuparamia Kyev na lile limsafara lake, amefukuziwa mpaka akakwama kidogo kwenye 20% akaendelea kupokea mapigo hadi zikasalia 15% hapo amefuata wanywa gongo Urusi wakapigane walau wajaribu kujichimbia kwenye hizo 15%, hata hivyo bado watafumuliwa tu, vita vinaishia Crimea....
 
Kuna mahali nlikuwa nasoma jana aisee hii issue ya semiconductors, Tsmc, China hina Taiwan na US imekaa vibaya sana. Siku kikiwaka itakuwa ni kubwa kuliko hii ya Ukraine.

Ile move ya China kutokurespond tukio la Pelosi ilikuwa very wise. Moto ungeowaka kwa China kuivamia Taiwan ungezimika na mamilioni ya roho za watu.
ni kweli mkuu na nadhani hata kwa uchumi mtikisiko wa Vita hio utakua Ni mkubwa Sana kuliko tulio nao Sasa.
 
Ukiona wanaume wanaweka mzigo mkubwa hivi ujue lazma putin amwachie mwali ,hapa bado mzigo wa US .Putin atakunywa highlife badala ya Vodka
Weka akilini kua huu mzigo unazid bajet ya Tanzania ,

EU promises €18bn for Ukraine next year​

The European Union has vowed to give €18bn to Ukraine next year to keep the country running as it fights off Russian troops.
European Commission President Ursula von der Leyen made the announcement after the bloc's 27 leaders met in Brussels.
She said the EU had so far given €19bn, adding: "It is very important for Ukraine to have a predictable and stable flow of income."
Ursula von der Leyen

Ursula von der Leyen
It is estimated Ukraine needs about €3-4bn a month "for the basics" and the EU will finance €1.5bn of this, with the rest to come from other countries and international institutions.
"That will give a total of €18bn for the next year - an amount Ukraine can count on and where there is a stable and reliable, predictable flow of income," she said.
The bloc is divided over further strengthening sanctions on Russia and Iran over claims that Russia is using Iranian-made drones in its war.
Poland and the three Baltic states suggested banning Russian diamond imports and phasing out steel trade more quickly, but Belgium and Italy are among those opposed.
Hungary is against any sanctions on Russia, while Germany and France have said current measures already go far.
Wanaume wanazidi kuweka mzigo tu,huku super pawer wa mchongo akizidi kujichokea [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wanazidi kuweka mzigo tu,huku super pawer wa mchongo akizidi kujichokea [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Amechoka balaa kwa mara ya kwanza budget ya Russia ina deficity ,imebid waibust kutoka kwenye mfuko wa economic wealth fund ,na isitoshe makuruta wapya uniform na buti wameambiwa wajinunulie wenyewe ,siyo kwamba Russia anashindwa kununua ila utawala unaonyesha una matatizo makubwa sana.Putin hawez kumaliza mda wake salama
 
Manchi masikini yanayotegemea ruzuku toka Westen countries specifically US na UN huwa yana midomo sana ,these assholes would be starving to death without US funded handsouts and programs ,mazafakaz
Huwa natamani kuona USA siku moja anawithdraw trillions za kufund International Aids ,relief and humanitarian NGO's na UN agencies Maana yeye ndie biggest contributor tuje tuone sasa kama hicho kidomo chao.
Ifike mahala heshima iwepo , watu wanakatwa kwenye mishahara yao huko Europe na US ili kufund haya mambw@ yasiyo na shukurani yet bado yana talk shit .
Assholes
Huwezi ukaziita nchi zetu hizi za kiafrika.."asholes".Hii inaonyesha jinsi gani uko brain washed na mp..um..b.v pia...Na kwa akili hizo zako zifikiri kama unaweza kuwa na mawazo chanya kwa Taifa lako.Nyie ndo yaleyale mapandikizi ambayo yako tayari kuwa mawakala ..kupiga 10% na kuuza utu wenu na maliasili zenu kwa wanzungu.shame on you na huo ujinga wako.
Pia kama unafikiri nchi za kiafrika ni asholes...nenda kaishi huko kwa wazungu...uwaache asholes na nchi zao..hujapigiliwa msumari huku. Shame on you
 

Ukrainian Armed Forces are shooting down 85% of Iranian-made Shahed drones​

Ukrainska Pravda
Fri, October 21, 2022, 1:29 PM·1 min read
61f50770c8d921db1ab8eedeec8334b6

YEVHEN KIZILOV — FRIDAY, 21 OCTOBER 2022, 13:29
Over the past two weeks, the Armed Forces of Ukraine have demonstrated much better skills in hitting Iranian-made Shahed kamikaze drones, shooting down 85% of these drones.
Source: Yurii Ihnat, spokesman for Air Force Command of the Ukrainian Armed Forces at a briefing on Friday
 
Jengeni sasa bila pesa za Total tuone kama mnaweza .
Ngoja nikuelimishe naona hujui lolote kuhusu hili issue .
Na si EU wala US wala sijui nani aliyezuia hizo pesa ,kama wewe ni mfuatliaji wa hili suala la green movement utaelewa ninachomaanisha , na nilishaandika sana kule juu mwanzoni kuhusiana na hili saga la huu miradi kusimamishwa , kuna Paris Agreement ambayo yalikuwa hosted na France , na haya yaliinvolve big industrialized economies za dunia zote kureduce carbon emissions zinazochochafua hewa na kusababisha global warming na mabadiliko ya tabia ya nchi kiujumla Kwa kupunguza na ikiwezekana kuondoa kabisa matumizi ya fossil fuels kufikia ,2030 , sasa serikali ya France wanapata wakati mgumu toka kwa green movement & environment activist ambao wanaipa pressure serikali ya France kuheshimu Paris Agreement Kwa kufreeze pesa za kampuni ya Total ambaye ndio mwenye mfadhili na mbia mkubwa kwenye ule mradi , sasa Total hawawezi kuendelea na mradi na wanapata wakati mgumu kwa sababu ni lazima pesa zao zipate authority toka serikali ya France ambaye ndio mwenye kiti wa Paris Agreement na green movement duniani .

Sijui USA na Eu wanaingia je hapa ,ukitumia logic Tu nadhani jibu unalo Total ameshaingiza billions so far kwenye huo mradi tokea unaanza maana exploration kafund na kufanya yeye ,kufund pre project assessment details na miundombinu ya project ,project za mafuta si kama kuchimba viazi ,it involves alot of things .
Sasa Total unafikiri ni mjinga ajihujumu na kuingia loss kubwa vile after all the years of time ,efforts na money that wameweka pale so far ? Answer is no , jibu ni kwamba kuna external force inayobana nao ni wanaharakati wa mazingira pale France . Na Hilo ndio jibu , si propaganda mfu hizo na conspiracy zisizo na kichwa wala miguu
Daa!!!africa tunasafari ndefu sana kama na wewe ulieandika hii post ni mtanzania mwenzetu au ni muafrica mwenzetu basi kazi ipo.
Mataifa ya Dunia ya kwanza yanatumia mafuta na aina mbalimbali za nishart zinazozalisha carbon kuendelezaa uchumi wao na wanaendeleza program mbalimbali za kuchimba mafuta na kujenga miundombinu ya kusafirisha mafuta na nishart mbalimbali zinazochafua mazingira kwa kiasi kikubwa lakini hatuoni kelele.LEO mataifa ya Dunia ya tatu kama tanzania na uganda kujenga bomba la mafuta ndo tunasikia kelele za green movement.Ok hao wanaosema tusisafirishe mafuta je wametupa altenative zip za energy/ nishart pamoja na teknolojia yake??........
 
Bado unaishi kwenye ndoto,Wenge likikuisha majimbo manne Yako Russia!

Nacheka sana yaani...supapawa anajivunia kuambulia sijui nini hicho licha ya yeye kuingia hasara mithili ya mataifa matano ya Afrika na bado anaendelea kutembezwa kichapo.
 
Back
Top Bottom