Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Siyo mayowe unajua mfano ukiruhusu iran atoe drone kwa Russia kesho utasikia Kiduku katoa artery,kesho yake China katoa vifaru,mwezi unaokuja mwingine chake ,hivyo lazma iran ipigwe ban ili wengine wasije wakaingia kwenye hii ishu ,hizo drone za kawaida sana hazina maajabu kihivyo .Iran lazma wapigiwe kelele na ikiwezekana vikwazo ili kutoa onyo kwa wengine.
Iran kuna vikwazo gani kwake ni vigeni?
 
[emoji1099]The European Union predicted an economic collapse.

"Failure is guaranteed. We are already seeing a sharp deindustrialization in the EU," said former Greek Finance Minister Yanis Varoufakis.

Europe pays 10 times more for gas than their American and Chinese competitors, the Greek politician said.

The German industry collapsed due to the lack of cheap energy from Russia and withdrawal from the Chinese markets.

[emoji3502]"Today, inflation has made it impossible to contain wages, gas has become more expensive, and China is disappearing as a market for Germany because of the new cold war, which is exacerbated by Biden."

It's worth listening to the ex-finance minister of Greece about economic failures.
 
[emoji1255]SBU officers confirmed the detention of Vyacheslav Boguslaev, director of the Motor Sich enterprise.

He is suspected of working for Russia, the Ukrainian special service said.

Vyacheslav Boguslaev has the title of "Hero of Ukraine" and is one of the top 25 richest people in the country.

Now he faces life imprisonment.

The Motor Sich enterprise is the largest Ukrainian manufacturer of engines for air transport, missiles and power plants.

The plant is located in Zaporozhye.
 
mashambulizi makali ya mabomu mapema mwezi huu.

Rais Zelensky alisema kuwa roketi 36 zilirushwa siku ya Jumamosi, na nyingi kati yao zilitunguliwa.

Baadaye, katika hotuba yake, alisema maafisa walifanikiwa kurejesha umeme katika mikoa mingi ya nchi ambapo ulikuwa umekatika kutokana na shambulizi hilo.

Screenshot_20221023-201138_Facebook.jpg
 
Siyo mayowe unajua mfano ukiruhusu iran atoe drone kwa Russia kesho utasikia Kiduku katoa artery,kesho yake China katoa vifaru,mwezi unaokuja mwingine chake ,hivyo lazma iran ipigwe ban ili wengine wasije wakaingia kwenye hii ishu ,hizo drone za kawaida sana hazina maajabu kihivyo .Iran lazma wapigiwe kelele na ikiwezekana vikwazo ili kutoa onyo kwa wengine.
Aaah usiinguke sana mkuu sema tu West wanaona zoezi litakuwa gumu mno mno endapo Ruusia atapata Siraha za ziada iwe kwa kununua au kupewa, Wao huwa wanashirikiana kweli pale wanapotaka jambo lao litimie, ikibidi ata kuua.

Umeona ripoti ya CBS juu ya jeshi la NATO linajiandaa kuingia front Ukraine? Bas jua sababuhawatamani ata ije kutokea Russia anashinda SMO yake, maana akifanikiwa ataaminika zaidi duniani ki mbinu za kivita pamoja na siraha zake! Hapo West watakuwa wamepoteza kwa kias kikubwa sana maana ikiisha hii basi jua Ramsi wanaenda kumuondoa pia Syria.
 
USHIRIKIANO WA IRAN NA RUSSIA [emoji91] [emoji91]

[emoji635][emoji1666][emoji1130]Iran to supply 40 gas turbines to Russia

Tehran will supply 40 gas turbines to Russia under the relevant agreement, Managing Director of the Iranian Gas Engineering and Development Company (IGEDC) Reza Noshadi said.

"85% of the equipment and facilities necessary for the functioning of the gas industry are produced on the territory of Iran, for this reason we [Iran] have concluded an agreement with Russia on the supply of 40 Iranian-made gas turbines," Tasnim news agency quoted him as saying.

On October 9, Iranian Oil Minister Javad Oudji said that Russia and Iran had concluded deals in the oil and gas industry worth $44 billion,and his deputy informed that the Russian Federation was going to start developing six oil and two gas fields located on the territory of Iran

These are Iranian gas turbines that will be used for In Russian gas pipes,instead of previous used German ones...

IRAN maskini sana, yes yes
 
Nyingi kati yao zilitunguliwa lakini anasema maafisa wamerejesha umeme katika mikoa mingi. Hii mingi inachanganya.

Kama mengi yalitunguliwa, ilikuwaje mikoa mingi ikaharibiwa umeme na maafisa wakarejesha umeme tena katika mikoa hiyo mingi?
 
mashambulizi makali ya mabomu mapema mwezi huu.

Rais Zelensky alisema kuwa roketi 36 zilirushwa siku ya Jumamosi, na nyingi kati yao zilitunguliwa.

Baadaye, katika hotuba yake, alisema maafisa walifanikiwa kurejesha umeme katika mikoa mingi ya nchi ambapo ulikuwa umekatika kutokana na shambulizi hilo.
Huu ufala tumeuchoka sasa Ukraine na urusi mbwa nyie hamna habari nyingine? Zaidi hu ufala?
 
South Africa ,a white man's country huyo Rais ni stooge ,anaropoka asivyovijua .Kwanza South Africa hamtakiwi hata kuicount kuwa African state let alone kumdindia US ,Hana ubavu huo hata siku moja and never will be , hayo mengine ni kuropoka tu kama waropokaji wengine Turkey , China NK walivyo but never will they ever try to mess with Uncle Sam
Yaani hawa makabulu ndio wakumdindia USA , hivi huwa mnawazimu wa wapi kwenye vichwa vyenu .
Hivi unajua Foreign Direct investment ya south Africa inatoka wapi ? , Aisee grow up kids
"South Africa ,a white man's country" - habari za asubuhi je umelala fofofo miaka 30 iliyopita?
 
USHIRIKIANO WA IRAN NA RUSSIA [emoji91] [emoji91]

[emoji635][emoji1666][emoji1130]Iran to supply 40 gas turbines to Russia

Tehran will supply 40 gas turbines to Russia under the relevant agreement, Managing Director of the Iranian Gas Engineering and Development Company (IGEDC) Reza Noshadi said.

"85% of the equipment and facilities necessary for the functioning of the gas industry are produced on the territory of Iran, for this reason we [Iran] have concluded an agreement with Russia on the supply of 40 Iranian-made gas turbines," Tasnim news agency quoted him as saying.

On October 9, Iranian Oil Minister Javad Oudji said that Russia and Iran had concluded deals in the oil and gas industry worth $44 billion,and his deputy informed that the Russian Federation was going to start developing six oil and two gas fields located on the territory of Iran

These are Iranian gas turbines that will be used for In Russian gas pipes,instead of previous used German ones...

IRAN maskini sana, yes yes
Maskini Warusi ....
 
Nyie watu wa West Continues nitaibeba hii DUNIA na kuondoka nayo kusiko julikana....

Mlitulisha sana maneno ya uongo shuleni na kutufanya tuwaone kama Miungu mafala ninyi.....

Acheni mambo ya kiwaki...
Eti mambo ya Bernini Conference/What's the Map.....O level tulipata tabu sana ya haya mambo.......

Kumbe RUSSIA anatuchora tu enzi zile na kutuambia majibu mtayapata ifikapo 2022....kwanini isiitwe US peke yake na wakaamua kuongeza A yaani United States of America...... (USA) kiss ma Di..k
Je tumeingia kwenye msashindano ya matusi machafu? Sawa ota ndoto zako za kubusu (au kubuswa) unapopendelea...
 
OSINT investigators shocked the world by naming the real losses of Ukraine.

The losses of the Armed Forces of Ukraine on October 20 amounted to 402,000 people, of which 387,000 were killed.

Losses among mercenaries and volunteers from Poland, the Baltic States, Romania amounted to 54,000 of them killed 31,240 people.
@wearegruz
 
Huyu si alipinduliwa na jeshi.
BBC na DW walituambia

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu najua wako watu hapa wanaopenda kudai upuuzi mwingi wakiamini wanaweza kujenga hoja. Sijui wewe u mmoja wao? Je una ushuhuda gani BBC na DW kutangaza Xi alipinduliwa na jeshi? Wapi, tarehe gani, linkl? Ushuhuda tafadhali!
 
Back
Top Bottom