Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The British Defense Minister, in a conversation with Shoigu, said that Kyiv was not going to take action to escalate the conflict, according to the British Ministry of Defense.
Wallace also said that London is "ready to help" in resolving the conflict in Ukraine.
 
Mkuu tuwe macho tu ila kiukweli kuna kila dalili za Vita ya 3 ya Dunia, Zelesky anajua nn anafanya, Zelesky ni Rais pandikizi na aliandaliwa na CIA kwakushirikiana na M16.

Mambo yataenda kuwa magumu zaidi ata Russia akishinda hii operation yake ila Marekan hatokubali ili na ndiyo maana kapeleka wanajeshi mpaka mwa Ukraine wakifanya mazoezi ya kivita, NATO hawatakubali kushindwa dhidi ya Taifa moja, watapoteza ushawishi wao Dunian na kwa namna hiyo lazima watataka kumpiga Russia na ndiyo hapo tutakapoisha Dunian.
Bro nakuomba uondoe hofu kabisa,
Marekani Hana ubavu huo,wa ku provoke vita ya USO kwa USO na Russia.
Bro wala hakuna nchi duniani inayoweza kuchokonoa vita vya nyukilia.
Kuingia vitani na Urusi ni sawasawa na kujitoa muhanga.
Joe Biden mwenyewe alishatamka mapema kabisa,hayuko tayari kuingia vitani na Urusi.
 
Kaka, wee si umesema mwenyewe tuzichape?
Sasa Mambo gani haya kuchaguliana pa Kupiga?
IMG_20210729_213949.jpg
 
Lile lilikuwa ni decoy....Kuwafanya Ukraine wafikirie kuwa Kiev ipo hatarini na kurundika majeshi kuzunguka kiev wakati Russia mipango yao ilikuwa ni Donbass, Luhansk na maeneo ya kherson

Nakushukuru sana kwa kumjibu, mimi nilikaa kimya kimakusudi maana nilijua tutakesha tukibishana, once again thanks a lot.
 
Germany, Hungary Remain Unwilling To Impose Price Cap On Russian Gas

A summit of EU leaders has failed to uphold a united front on a decision to impose a price cap on Russian gas, with Germany and Hungary refusing to rush into an agreement that has no official plan.

RT contributor Rachel Marsden explains.

Subscribe to RT
 
Hungarian Foreign Ministry Criticizes ‘Pro-War’ EU

The Hungarian Foreign Ministry has rejected EU calls for Russia to be defeated in Ukraine, saying the bloc needed peace, not a prolonged conflict.

EU Commissioner for Home Affairs Ylva Johansson made several statements on the hostilities this week, stressing the bloc’s “determination, resolve and unity to stand by Ukraine as long as it takes.” She also insisted that “to end this crisis, first, Putin must lose.”

Responding on Friday, Tamas Menczer, State Secretary at Hungary’s Foreign Ministry, accused Johansson of making “a very dangerous statement because it links the end of a crisis with a military event, about which we don’t know when will it happen or if it happens at all.”

Subscribe to RT
 
The British Defense Minister, in a conversation with Shoigu, said that Kyiv was not going to take action to escalate the conflict, according to the British Ministry of Defense.
Wallace also said that London is "ready to help" in resolving the conflict in Ukraine.

Waingereza mazaba zabina wa kutupwa, hasa huyu waziri wa ulinzi ni mzushi sana - si juzi juzi hapa alikurupuka kwenda Merikani kumtadhalisha Biden na US military eti ana taarifa za kuaminika kwamba Putin yuko mbioni kulipua bomb la Nuclear kwenye Bahari Nyeusi (Black Sea) mtu na akili zake timamu anakwenda kusema taarifa potofu mpaka anajisahu kwamba Putin hawezi kufanya majaribio ya silaha hatari aina ya thermonuclear kwenye Bahari inayo izunguka Urusi yenyewe - hivi inaingia akilini kwamba Putin anaweza kufanya majaribio ambayo yanaweza kuangamiza Taifa la raia wa Urusi kwenyewe - mtu unabaki unajiuliza maswali mengi, hivi Waziri wa Ulizi wa Uingereza alikuwa na lengo gani kwenda kujaribu kutisha tisha Dunia hasa hasa jeshi la Merikani kwa taarifa za kutunga yeye mwenyewe? Si hilo tu siku za nyuma aliwahi vile vile kusema kwama Urusi inaelekea kuishiwa missiles na silaha nyingine muhimu hivyo hizo ni dalili tosha kwamba Putin atashindwa vita ndani ya miezi miwili ijayo!!!

Hivi sasa anatujia na gea mpya kwa kumpigia simu waziri wa ulizi wa Rusia na kuijitia kwamba atajitolea kuwa mpatanishi wa Putin na Zelensky ili wasitishe mapigano/vita kwa nini ghafla anajifanya mpatanishi wakati Uingereza ndio muhusika mkuu wa kuchochea vita hii - kajifanya mtakatifu baada ya kusikia kwamba waziri wa Ulizi wa Merikani alifanya mazungumzo kwa njia ya simu na waziri wa ulinzi wa Urusi - hivyo mwingereza huyo hakuta kubaki nyuma kwenye masuala ya Publicity STUNTS, very crafty indeed.
 
Kuna vikwazo gani vya kumwekea iran
Zelensky analia Kwamba nchi yake inaangamia kwa kamikaze drone. We unasema drone Ni za kawaida Sana. Asee waafrika tuna shida Sana. Drone hizo ndizo zilizopita G 7 wakae kuzungumza cha kufanya juu ya Ukraine i'la we usharahisha Ni za kawaida duh.
Nb. Nitajie vikwazo ambavyo bado havijawekwa kwa Iran i'la Iran inapeta.
Ni miongoni mwa nchi zenye nguvu zaidi kiuchumi, kihistoria na kijeshi katika Mashariki ya kati

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Bro nakuomba uondoe hofu kabisa,
Marekani Hana ubavu huo,wa ku provoke vita ya USO kwa USO na Russia.
Bro wala hakuna nchi duniani inayoweza kuchokonoa vita vya nyukilia.
Kuingia vitani na Urusi ni sawasawa na kujitoa muhanga.
Joe Biden mwenyewe alishatamka mapema kabisa,hayuko tayari kuingia vitani na Urusi.
Mkuu, swali la vita ya nyuklia si jambo la ubavu hata kidogo. Lugha hii inasaidia nini? Na Putin hana "ubavu" huu wala Xi wala yeyote. Kama yule wa Korea Kaskazini anajaribu kuchezea matishio ya nyuklia si swali la ubavu, anafanya tu kwa sababu wote wanajua hana uwezo sasa.
Kuingia vitani ya nyuklia na Urusi ni uhakika kufuta Urusi duniani, pamoja na uhakika utafutwa mwenyewe.
Kinyume ni vilevile.
 
Lile lilikuwa ni decoy....Kuwafanya Ukraine wafikirie kuwa Kiev ipo hatarini na kurundika majeshi kuzunguka kiev wakati Russia mipango yao ilikuwa ni Donbass, Luhansk na maeneo ya kherson
Mkuu kwa nini unajaribu kuleta tena hadithi hiyo ya "decoy"? Kherson ilichukuliwa tayari kutoka Krimea tarehe 2 Machi. Mashambulio ya Donbass yaliendelea pia mapema (na hayukufikia shabaha hadi leo ilhali zaidi ya theluthi ya Donbass bado inashikwa na Ukraine).
Unaita "decoy" kama Urusi ilituma wanajeshi wake bora (Spetsnaz) kushambulia uwanja wa ndege wa Hostomel ambako walichinjwa tu? Halafu kuendelea kupanga vifaru mamia kwenye barabara nyembamba ili visubiri kupigwa (na vilipigwa au kukamatwa na Ukraine) wakati Kherson imeshachukuliwa tayari??
Naelewa ni aibu kuona jeshi mashuhuri likiongozwa vibaya vile na kupigwa vile. Naelewa kwa nini siasa ya Urusi ilitunga stori nyingi kuficha aibu hiyo.
Lakini kwa nini tunapoteza muda wetu hapa kwa kurudia hadithi zisizo na msingi?
 
Back
Top Bottom