Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine hali ni mbaya hata akikatiza mwewe watu wanakimbia wanajua ni Kamikaze imekuja kugawa dozi yan ni kama vile watu wamechanganyikiwa

Wameambiwa na wakazi wa Donbass kwamba Zelensky na genge lake wasubiri HIMARS ziwaletee umeme, mafuta,gesi na maji!! Si walikuwa wanajifanya kumtunia misuri Putin na kumzodoa sasa watakula jeuri yao, na bado makubwa yanakuja.
 
Yaan hawa nato propaganda ya silaha zao ni kama ushuzi kwenye upepo. Mara umesikia harufu kali then harufu imetoweka ghafla

Ni shirika la watu wenye magreen tu 24X7, sasa Dunia imekwisha anza kuwazoea - no body takes them seriously anymore - vitendo vyao na maazimio lukuki vinaonyesha kwamba ni ma-paper tigers kazi kuonea military weak banana Republics basi.
 
Nyie watu ni wa ajabu kweli..,mmekomaa kusema kwamba us na ulaya waache kuwapangia mataifa ya Africa nini Cha kufanya,wayaache mataifa ya Africa yajiamulie mambo yake.., alafu wakati huo huo mnashabikia matendo ya yule dikiteta fashisti shetani wa urusi kutaka kuingilia maamuzi ya nchi huru huko Ukraine

Mpaka hapo huoni kwamba mnajikanyaga sana kwenye hoja zenu?[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu kila sehemu tutachukua lililozuri, kama no baya tutawaachia.
Usitupangie wapi tuegemee

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Aisee,hii Helicopter ilidunguliwa mwezi February,acheni kuleta habari za zamani. Hili jukwaa sasa limejaa wahuni
Hii chopper ina gundu balaa maana mara nyingi inapigwa yenyewe tu halafu inaonekana huwa ikipigwa inaangukia palepale. Inabidi rubani abadilishe route mwisho watakufa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
As reported by Hohols

Our source in the Office of the President said that the Office of the President has created a unit that operates on the black market for weapons in order to acquire any air defense systems / systems. At Bankova, they want to use the capabilities of Ukrainian smugglers, who have been selling weapons around the world for many years.

[emoji2772] Mh kwani zile walizotuma Collective west zimenda wapi!
 
South Africa ,a white man's country huyo Rais ni stooge ,anaropoka asivyovijua .Kwanza South Africa hamtakiwi hata kuicount kuwa African state let alone kumdindia US ,Hana ubavu huo hata siku moja and never will be , hayo mengine ni kuropoka tu kama waropokaji wengine Turkey , China NK walivyo but never will they ever try to mess with Uncle Sam
Yaani hawa makabulu ndio wakumdindia USA , hivi huwa mnawazimu wa wapi kwenye vichwa vyenu .
Hivi unajua Foreign Direct investment ya south Africa inatoka wapi ? , Aisee grow up kids
Mbona mzee mugabe aliwadindishia hao mashoga promoters. Us sio mungu they can bleed too
 
Siyo mayowe unajua mfano ukiruhusu iran atoe drone kwa Russia kesho utasikia Kiduku katoa artery,kesho yake China katoa vifaru,mwezi unaokuja mwingine chake ,hivyo lazma iran ipigwe ban ili wengine wasije wakaingia kwenye hii ishu ,hizo drone za kawaida sana hazina maajabu kihivyo .Iran lazma wapigiwe kelele na ikiwezekana vikwazo ili kutoa onyo kwa wengine.
Kuna vikwazo gani vya kumwekea iran
 
Back
Top Bottom