Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sorry mkuu Bwana Utam sikuwa na muda mzuri leo ila naamini baadhi ya wakuu washakupatia majibu (japo sijafikia comment zao) ila Acha namie niongezee kidogo ninacho fahamu kuhus Fortifications line au defense line.

NAOMBA KUANZA NA MAANA KWA UPANA;

Line of defense kwenye mambo ya kijeshi, ni muundo ambao unaundwa na jeshi chini ya wizara ya ulinzi au mamlaka za usalama wa eneo/nchi husika kwajili ya kulinda mipaka yake au kujilinda dhidi ya mashambulizi ya adui au Uvamizi.
Muundo huo unaweza ukawa wa aina mbalimbali kama ifuatavyo;
1. Mifumo ya ulinzi ya kijeshi eneo husika , kama vile kuweka no fly zone, defensive weapons kama ant-missile, ku deploy vikosi maalamu vya ulinzi wa mipaka na nk. Mfano wa hapa ni;
☆The Three winter lines (Ambazo ni Gustav Line, the Bernhardt Line na hitter line) hizi ziliundwa na Italy dhidi ya majeshi ya Adolf Hitler wakati wa vita vya pili vya dunia kwajili ya kukinga eneo la magharibi mwa Italy.

2. Sera ya kujilinda, sana sana inakuwa ime base sana kwenye mambo ya kujilinda kijeshi au waswahili wanasema kujihami, mfano: inaweza pitishwa sera inayo sema, Nchi jirani ikirusha let say kombora likavuka "line of difense" basi hilo tukio litachukuliwa kama shambulio la kigaidi au Uvamizi juu ya mipaka husika, hivyo basi nchi italazimika kutangaza vita dhidi ya huo uvamizi kwa lengo la kulinda mipaka yake.

3. Defensive structure, hapa nchi au eneo husika linaweza kujengewa structure ya kiulinzi kama vile Ukuta wa kijeshi (Unaolindwa na wajeda), barrier ya kijeshi, target structures za kijeshi na nk, ifuatayo hapa chini ni mifano baadhi tu ya difensive structure;

☆ THE GREAT WALL OF CHINA- Huu ukuta ni line of defense ulio jengwa kwajili ya kuikinga China dhidi ya maadui wa Asia-Ulaya (Eurasia enemies)

☆The Mannerheim Line- hii ilijengwa na Finland kwajili ya kujikinga dhidi ya nguvu ya Soviet union, lakini kabla ya kukamilika ndo ikatokea "winter war" kati ya Finland Vs Soviet union.

☆Fortifications of Derbent (Caspian Gate)- hii ilijengwa na watu wa Persia ili kujikinga dhidi ya maadui wao wa Caspians

☆Tosa maganga Barrier- hii ni milima iliyotumiwa na jeshi la mkwawa kama line of difense dhidi ya jeshi la wajermani, ambapo jeshi la mkwawa lilifanikiwa kuyadhibiti majeshi ya kikoloni kuingia ndani ya himaya yao kwa kuwaporomoshea mawe na mvua ya mishale kutoka miliman juu, inasemekana hata hilo neno tosa maganga limetokana na Vita hiyo likimaanisha "Rusha/Shusha Mawe" (Sijui kama nimepatia, Ndugu zangu wahehe watanisahihisha). Hata ukifuatilia historia za falme mbalimbali duniani basi utakuta miji mhimu kama palace ilikuwa imezungukwa na kuta imara za ulinzi kama line of defense ambapo ukiivunja hiyo basi ni rahisi hata kupindua ufalme husika au kuangusha ufalme huo.

NAAMINI UTAKUWA UMEELEWA MAANA YA LINE OF DIFENSE NAOMBA TURUDI KWENYE SWALI LAKO NAMBA MBILI NA TATU.

KWANINI RUSSIA ANAJENGA LINE OF DIFENSE ENEO LA KURSK?
JIBU: Ili kujilinda dhidi ya maadui wake wa west ambao wamejipenyeza Ukraine, kumbuka hii oblast ya Kursk ipo russia mpakani na Ukraine pia kijografia Kursk ni eneo rahisi ambapo majeshi ya Ukraine au NATO yanaweza kupita kuingia Russia tofauti na hapo labda yapite Belarus, Georgia au Finland kitu ambacho ni ngumu kutokea kutoakana na sababu za kidiplomasia na kiusalama pia Belarus ni chawa wa Russia hivo basi njia rahisi ya NATO kuingia Russia ni kupitia Ukraine.

FAIDA ZA RUSSIA KUJENGA HIZO LINE OF DIFENSE NI ZIPI?

☆Kuwa na uwezo wa kumdhibiti adui kabla hajaingia ndani ya russia

☆Kujilinda dhidi ya maadui wao hasa NATO kwa mgongo wa Ukraine.

☆Kupata justification ya kutumia silaha yeyote ile ya kivita endapo adui atavuka line of defense au kutaka kuvuka line of defense.

☆Kui threat Ukraine isijaribu kuvuka eneo hilo au kurusha kombora kuvuka eneo hilo kwa hofu ya russia kutangaza Vita kamili dhidi ya Ukraine.

☆Kupata sababu ya kuishambulia Ukraine kwa level za kivita endapo itavuka hiyo line of defense, nadhani mfano mmeuona baada ya russia kutumia bomu la crimea bridge kama shambulio la kigaidi kuiadhibu Ukraine.

HASARA ZA RUSSIA KUJENGA HIZO LINE OF DIFENSE NI ZIPI?
JIBU: Hapa ukiondoa hasara za kiuchumi kama vile cost of construction and millitary equipments deployment, hakuna hasara nyingine hasa katika nyanja za kijeshi na kiusalama.

Nawasilisha kwako Mkuu Bwana Utam
Wako pro-Russia mchelewaji Mr Tyang
Darasa la bure hili

Shukran sana sana sana MKUU nimekuelewa hasaaaa
 
Mleta mada unaota Canada ineshatoa vifaa vya kivita vya kipindi cha barafu kwa Jeshi la Ukraine

Soma hapo

Canadian Defense Minister Anita Anand announced a new batch of aid to the Ukrainian armed forces, which includes ammunition, communications equipment, winter clothing, armored vehicles and artillery

She made the corresponding announcement on Wednesday at NATO headquarters.

Some $15 million was allocated for the purchase of equipment needed in the winter – hats, gloves, boots, parkas (a type of winter jacket) – what Ukrainian soldiers will need on the front lines. They will purchase this from Canadian suppliers. An additional $15 million will be allocated for drone camera purchases, she announced.

According to the minister, Canada had already delivered more than 50 Canadian-made drone cameras to Ukraine, and they would continue to supply such cameras. Third, in the field of communications and satellite communications, they will supply Ukraine with a $2 million service of four satellites and, in partnership with Telesat, this will enable Ukraine to continue to effectively maintain ties with European and North American partners. And finally, they know, and this is what Ukraine asked for, and this is what it needs, additional artillery, in particular, 155 mm artillery. Canada will supply additional 155 mm artillery for Ukraine in its battle against Russia's illegal incursion into its sovereign territory, Anand added.

She also recalled that while in Poland on Tuesday, she announced that 40 military engineers would train Ukrainian soldiers in demining.

The minister also assured that a new batch of aid would arrive in Ukraine in the coming weeks. Winter is coming and Canada has experience with winter clothing on the battlefield and we will deliver that in the coming weeks – 500,000 sets of winter clothing and equipment will be sent to Ukraine, Anand detailed.
 
Fatilia vita ya Russia na Finland nyakat za baridi uone Finland alivyomtandka Urusi, unadhan Ukraine hawaujui huo ukanda wao yaani kwamba Urusi kwenye huo ukanda ndiye mtaalam wa kupigana kwenye mabarafu na baridi kali au siyo?
Hajui kwamba nchi zote za Balkan na Schengen kwenye barafu ndio michezo yao ilipo toka watoto barafu kali nje wao ndo kwaanza wanaenda kucheza nje huko
 
1666673023377.png
 
Sky news
Ukraine’s military destroys 3 ammunition depots in southern Ukraine.
Ukraine’s Operational Command “South” reported that Ukrainian forces also killed 40 Russian troops and destroyed three tanks, an anti-aircraft missile system "Osa,” and six armored vehicles on Oct. 24. Ukrainian forces also reportedly shot down an Orlan-10 UAV and an Iranian-made Shahed-131 kamikaze drone in Kherson Oblast.
Wazee wa referendum mkujeni hukuuu [emoji2][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tunayasema haya kila siku, lakini kuna watu wabishi hawataki kuelewa somo - masaa yote kubeza beza jeshi la Urusi kwamba limekimbia mapambano!! Sasa mbona Jenerali wa jeshi la Ukraine anakiri kwamba jeshi la Urusi limewaingiza kwenye mtego wa panya. Wasipokuwa makini jeshi la Urusi litawaangamiza wote.
 

Mobilised Russians to wear Iranian-made bulletproof vests and helmets​

Ukrainska Pravda
Mon, October 24, 2022, 5:05 PM·2 min read
5c355ef56f58a64236e4c8062079273a

IRYNA BALACHUK — MONDAY, 24 OCTOBER 2022, 17:05
The Russian government is unable to provide the new wave of conscripts with sufficient Russian-made ammunition, so it has started using equipment manufactured in Iran.
Source: Defence Intelligence of Ukraine
Quote: "Due to its inability to provide the new wave of conscripts with the necessary ammunition of its own production, the Russian Federation is starting to use Iranian-made equipment. 3,000 pieces of body armour are shortly to be transferred - 1,500 bulletproof vests and 1,500 helmets
Yale Yale tulioambiwa Urusi Hana silaha za kupigana wiki tatu,mara Hana chakula cha kulisha wanajeshi wake,mara blah blah blah blah 🚮 ndio yanajirudia
 

News​

getApp


2dee2a89fdbdaab8cf19372c1426391e.jpeg

Will This WordPress Theme Change Everything?

AdElegant Themes


Ukrayinska Pravda

Zelenskyy: Ukraine is destroying worlds second army​

Ukrainska Pravda
Mon, October 24, 2022, 10:15 PM·1 min read
In this article:
  • Volodymyr Zelensky

    Volodymyr Zelensky
    Sixth and current President of Ukraine

ed29e7a7316accfe7ab8f66b614dc05b

ALONA MAZURENKO – MONDAY, 24 OCTOBER 2022, 22:15
President Volodymyr Zelenskyy believes that following eight months of the full-scale war with Russia, the Ukrainian army is destroying the so-called "world’s second army".
Dah!
Nilikua na mashaka na akili za Zelensky,Sasa nimeamini kweli huenda huyu jamaa hayuko sawa kichwani.
Hivi haoni nchi yake jinsi inavyoharibika?
Nchi watu wamekimbia,
Miundombinu inaharibiwa,
Majengo yanaharibiwa,
Uchumi unaharibika,
Nchi inajua na madeni,
Nchi imemegwa na Kila aina ya uharibifu.
Yeye bado anafanya propaganda kua anaharibi jeshi la Urusi.
 
Back
Top Bottom