Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Picha hii inatosha kabisa kuelezea operation ya saa 72 ya kuwaondoa wanazimamboleo [emoji2][emoji1787][emoji16]
1666696731858.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Superpower wa mchongo bana 😄😄

Bloomberg

Diesel Supply of Just 25 Days Poses Problem for Biden
​

  • Biden administration calls diesel supplies ‘unacceptably low’
  • Retail prices have been rising for more than two weeks
Joe Biden

Joe Biden
Photographer: Dana Ullman/Bloomberg
By
Chunzi Xu
+Follow
October 19, 2022, 6:36 PM GMT+3Updated onOctober 19, 2022, 7:09 PM GMT+3

Diesel demand is surging in the US while supplies remain at the lowest seasonal level ever, according to government data released Wednesday.
The shortage of the fuel used for heating and trucking is a key worry for the Biden administration heading into winter -- and ahead of the November election. National Economic Council Director Brian Deese told Bloomberg TV Wednesday that that diesel inventories are “unacceptably low” and “all options are on the table” to build supplies and reduce retail prices.

640x-1.jpg

play-076012604d.svg

White House NEC Director Brian Deese says he’s worried about the diesel gas supply.
Source: Bloomberg
The US is has just 25 days of diesel supply, the lowest since 2008, according to the Energy Information Administration. At the same time, the four-week rolling average of distillates supplied, a proxy for demand, rose to its highest seasonal level since 2007. While weekly demand dipped slightly, it’s still at highest point in two years amid higher trucking, farming and heating use.
Supplies fail to catch up with rising demand from trucking, farming and heating

The diesel crunch comes just weeks ahead of the midterm elections and has the potential to drive up prices for consumers who already view inflation and the economy as a top voting issue. Retail prices have been steadily climbing for more than two weeks. At $5.324 a gallon, they’re 50% higher than this time last year, according to AAA data.

Nationally, stockpiles have drained as refiners entered maintenance season and as Russia’s war in Ukraine tightened global supplies and limited imports. Market backwardation -- where prompt deliveries are priced at a premium over future deliveries -- has made building inventory extremely costly, feeding into a vicious cycle of tight supplies and price spikes.
In New England, where more people burn fuel for heating than anywhere else in the country, stockpiles are less than a third of typical levels for this time of year.

A Third of Normal​

US Northeast distillate fuel supplies trail the seasonal average

Source: EIA

Some relief is on the way. At least two vessels carrying around 1 million barrels of diesel are due to arrive in New York after being diverted from their original destinations in Europe. Delta Air Line’s Trainer refinery in Pennsylvania is also returning from seasonal maintenance, which will increase regional diesel production.
— With assistance by Julian Lee
(Adds second chart)

​

Vita hii ina mambo ya kushangaza sana Russia ni moja ya nchi chache duniani zenye makombora makubwa ya maangamizi ukiondoa ya Nuclear swali la kujiuliza kwa nn hayatumii?Je hataki kuna raia wengi au ananunua muda,Tangu nimeanza kufatilia hii vita taarifa nyingi ni fake ila BBC a najitahidi kutoa uhalisia
Unajua kitu kinaitwa war crimes!!??
au crimes against humanity!!???
kajielimishe kwenye mambo hayo kwanza
 
Habari za ukweli ni zile za upande wa Russia tuu.

500 Russian troops eliminated in one day, says General Staff​

Since the beginning of Russia’s full-scale invasion of Ukraine, Russia has lost about 59,080 of its troops, including 500 over the past day, according to an update by Ukraine’s General Staff on Facebook on october. 25.
Russian forces suffered their greatest losses over the past day on the Donetsk and Kramatorsk axes in eastern Ukraine.
 
Ukraine wanashangaza kweli.., pamoja na kupigwa mkwara kwa kushambuliwa Kiev lakini jamaa hawarudi nyuma..,ni kama wanazidi kuwa wa moto zaidi,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Urusi kuivamia Ukraine tu CIA walijua kabla November mwaka jana haijaisha, uvamizi ukafanyika February 24. Urusi anaivamia Marekani kwa kutumia nini?

Hili MKUU naomba nipingane na wewe kidogo maana hata kinachoendelea pale BELARUS kinaonesha wazi kabisa kuna 80% ama ikifika chini haishuki 50% kwamba BELARUS wanaweza shirikiana na RUSSIA kuivamia UKRAINE

Maandalizi alokua anayafanya RUSSIA kipindi kile ulikua unaona wazi kabisa kuna jambo linaenda kutokea labda kama huoni hufatilii na husikii kinachoenelea au kilichokua chaendelea

Kama sijakosea hata hapa jf ama sijui pf gan nliona watu wanaliongelea jeshi lililoekwa mpakani na RUSSIA namaandalizi yakuivamia UKRAINE

Kueka mpakani na jirani yako jeshi lazaidi ya watu 200k haihitajii CIA au M16 na wengine kufahamu kipi kinaenda kutokea hasa kulingana na hali ilokua inaendelea baina ya UKRAINE na RUSSIA toka baada ya mapinduzi yale ya 2014 na day by day hali ikawa inazidi kua yamashaka!!!!!

Ishu tu pale nikwamba UKRAINE asingeweza ama hawezi kuanzisha shambulizi dhidi ya RUSSIA lau angeweza angefanya kama kujilinda

Mexico kama anafanya kama alivyokua anfanya RUSSIA pale mpakani na US lazma US angetangaza vita ama SMO kujilinda dhidi yake au UKRAINE angefanya kama alivyokua akifanya RUSSIA lazma RUSSIA angeanzisha vita dhidi ya UKRAINE

Shida nikwamba UKRAINE hakua na hana uwezo wakuanzisha vita dhidi ya RUSSIA ndio maana akawa mpole mpaka akaanza kuchapwa nandio maana hata wakat anapewa ťaarifa kama anaelekea kupigwa akawa hana lakufanya licha yakwamba alijua kama anaenda kupigwa ingawaje alikua anakanusha kama hata vamiwa na RUSSIA

Huko kwengine niwaache mlumbane kwahoja wenyewe nanawafatlia sana na naomba mzidi lumbana nasie wengine tupate mawili matatu maadam hamtukanani
Kabla majeshi ya Urusi hayajaenda mpakani, Marekani ishatoa angalizo watavamia. Na Urusi ikapinga kama kawaida yake.

Siku tatu kabla ya uvamizi, Uingereza, Marekani na Israel zikaanza kuita watu wake waondoke haraka Ukraine. Sisi madongo kuinama tukawa wabishi. Russia ikakataa kupitia vyombo vya habari vya taifa. Hapa ni 4 days before
20221022_121740.jpg

Sasa nimuulize yeyote anayedhani Russia anaweza ivamia Marekani. Hivi Urusi iliyojiandaa miezi kuvamia Ukraine ambapo wanavuka ardhi pande tatu tofauti kupitia kwake na Belarus, na bado performance ndio hii, ndio hiyo Urusi ya kuivamia Marekani? Yani ufanye mission ya kubeba mamia ya maelfu ya wanajeshi baharini uende kuivamia Marekani kirahisi hivi?

Kwanza Russian Navy haina means ya kutoa air cover kwa invading force yake, watakuwa na floating coffins baharini.
Jeshi lililoshindwa kuilinda Snake island eneo dogo lisilo hata na 10km square, lililoshindwa kulinda flagship Moskva cruiser moja ya Black Sea fleet ndio hilo hilo tunaambiwa linafanya mission ya kuvamia Marekani.

Jeshi linalolalamikia HIMARS chini ya 20 zilizotolewa kwa nyakati tofauti wakati kuna HIMARS zaidi ya 300 Marekani kwenye peacetime, ukianzisha vita uzalishaji unapanda. Ushindwe kuwa na air cover Ukraine inayoomba ndege inanyimwa, uje uipate kwenye anga la Marekani
 
Ukraine wanashangaza kweli.., pamoja na kupigwa mkwara kwa kushambuliwa Kiev lakini jamaa hawarudi nyuma..,ni kama wanazidi kuwa wa moto zaidi,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mzee yaani ni kata funua kwenye battlefield.... sasa hivi inahitaji ulinzi wa anga lake tu ili kumalizia kazi iliyobakia.

Ukraine’s army is beating the Russians on the battlefield, “but unfortunately we do not have our own Iron Dome. We still do not have a modern and effective air defence and missile defence system that could secure our skies.” he said by video link.
 
Kabla majeshi ya Urusi hayajaenda mpakani, Marekani ishatoa angalizo watavamia. Na Urusi ikapinga kama kawaida yake.

Siku tatu kabla ya uvamizi, Uingereza, Marekani na Israel zikaanza kuita watu wake waondoke haraka Ukraine. Sisi madongo kuinama tukawa wabishi. Russia ikakataa kupitia vyombo vya habari vya taifa. Hapa ni 4 days beforeView attachment 2397581

Sasa nimuulize yeyote anayedhani Russia anaweza ivamia Marekani. Hivi Urusi iliyojiandaa miezi kuvamia Ukraine ambapo wanavuka ardhi pande tatu tofauti kupitia kwake na Belarus, na bado performance ndio hii, ndio hiyo Urusi ya kuivamia Marekani? Yani ufanye mission ya kubeba mamia ya maelfu ya wanajeshi baharini uende kuivamia Marekani kirahisi hivi?

Kwanza Russian Navy haina means ya kutoa air cover kwa invading force yake, watakuwa na floating coffins baharini.
Jeshi lililoshindwa kuilinda Snake island eneo dogo lisilo hata na 10km square, lililoshindwa kulinda flagship Moskva cruiser moja ya Black Sea fleet ndio hilo hilo tunaambiwa linafanya mission ya kuvamia Marekani.

Jeshi linalolalamikia HIMARS chini ya 20 zilizotolewa kwa nyakati tofauti wakati kuna HIMARS zaidi ya 300 Marekani kwenye peacetime, ukianzisha vita uzalishaji unapanda. Ushindwe kuwa na air cover Ukraine inayoomba ndege inanyimwa, uje uipate kwenye anga la Marekani
warusi wa buza watakwambia Mrusi kawekeza miaka nenda rudi kwenye makombola ya masafa marefu - kwamba ana vinu vya nuklia zaidi ya 300 nchini kwake. Kwamba ana uwezo wa kupiga misililes ya intercontinetal yaani bara kwa bara missile inatungua.

Putiniiiii...... ha ha ha ha
 
Mzee yaani ni kata funua kwenye battlefield.... sasa hivi inahitaji ulinzi wa anga lake tu ili kumalizia kazi iliyobakia.

Ukraine’s army is beating the Russians on the battlefield, “but unfortunately we do not have our own Iron Dome. We still do not have a modern and effective air defence and missile defence system that could secure our skies.” he said by video link.
[emoji1255] nimeamini Ukraine wangekuwa na air defense system ya maana,Hawa jamaa ni habari nyingine

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kabla majeshi ya Urusi hayajaenda mpakani, Marekani ishatoa angalizo watavamia. Na Urusi ikapinga kama kawaida yake.

Siku tatu kabla ya uvamizi, Uingereza, Marekani na Israel zikaanza kuita watu wake waondoke haraka Ukraine. Sisi madongo kuinama tukawa wabishi. Russia ikakataa kupitia vyombo vya habari vya taifa. Hapa ni 4 days beforeView attachment 2397581

Sasa nimuulize yeyote anayedhani Russia anaweza ivamia Marekani. Hivi Urusi iliyojiandaa miezi kuvamia Ukraine ambapo wanavuka ardhi pande tatu tofauti kupitia kwake na Belarus, na bado performance ndio hii, ndio hiyo Urusi ya kuivamia Marekani? Yani ufanye mission ya kubeba mamia ya maelfu ya wanajeshi baharini uende kuivamia Marekani kirahisi hivi?

Kwanza Russian Navy haina means ya kutoa air cover kwa invading force yake, watakuwa na floating coffins baharini.
Jeshi lililoshindwa kuilinda Snake island eneo dogo lisilo hata na 10km square, lililoshindwa kulinda flagship Moskva cruiser moja ya Black Sea fleet ndio hilo hilo tunaambiwa linafanya mission ya kuvamia Marekani.

Jeshi linalolalamikia HIMARS chini ya 20 zilizotolewa kwa nyakati tofauti wakati kuna HIMARS zaidi ya 300 Marekani kwenye peacetime, ukianzisha vita uzalishaji unapanda. Ushindwe kuwa na air cover Ukraine inayoomba ndege inanyimwa, uje uipate kwenye anga la Marekani
Waambie baba maana wanaichukulia marekani poa sana yan marekani ukamwendee na msafara kama ule au marekani uje na meli au nyambizi ukifikir utapita kirahisi silaha alizopewa ukraine ni chache na zimepitwa na mda .eti umvamie marekan wa sasa kwa vidrone vyenye injini za toyo .mnachekesha
 
Kama Ukraine pamoja na silaha zake duni aliweza kuugeuza majivu msafara wa zaidi ya km 64 namna hii..,ingekuwa marekani sidhani hata hizo screpa zingeonekana Tena[emoji848]
JamiiForums553682096.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vita hii ina mambo ya kushangaza sana Russia ni moja ya nchi chache duniani zenye makombora makubwa ya maangamizi ukiondoa ya Nuclear swali la kujiuliza kwa nn hayatumii?Je hataki kuna raia wengi au ananunua muda,Tangu nimeanza kufatilia hii vita taarifa nyingi ni fake ila BBC a najitahidi kutoa uhalisia

Bro unazungumzia Makombora gani hayo ya maangamizi ambayo Russia hajatumia huko Ukraine ukiacha nyuklia?! Jamaa kashatumia mpaka hypersonic missiles lakini hajabadili uelekeo wa Vita na sasa hivi kahamia kwenye kamikaze drones kushambulia miundombinu ya nishati lakini bado mambo magumu kule Kherson wanapewa kichapo cha mbwa mwizi mpaka wameanza kuhamishana
 
Wanao pigana hii vita sio wanajeshi wa Ukraine,ni full NATO.
NATO wangekuwa wameshaingia mzigo .. majeshi ya Putin yangesharudishwa kwao mapema sana..,na vita hii ingekuwa imeshatoweka masikioni mwetu

Urusi anapigishwa danadana na Ukraine tu anayeomba na kupewa silaha kutoka nchi za NATO

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mfatilie mvamizi urusi kavamia mara ngp finland hzo mara ngp alizovamia ndzo alzopokea kpgo. Mnaleta mambo ya kijnga sn kwny hii thread kama simba na yanga. Yan mnaamin nato na marekan hawajui kuna barid kali linakuja na kwmb hawajajipanga namna ya kulisaidia jesh la ukraine? Mnadhan nato na marekan hawajui kwmb uwenda urusi anatoka hapo kherson akajpange ili aje kvngne mnadhan wao hawajui na hawajajpanga? Lakn si putin alitangaza mapema kbs wkt urusi wanavamia ukraine kwmb atakayesaidia ukraine kwa namna yoyote atapgika leo imeshndwa nn kuwapga hao nato na marekan maana mpk mnasema nato wana wanajesh wao ukraine kama wapo urusi si atimize kile alichosema sasa, achen ushabk urusi ni mkubwa haina ubish ila ni mdogo kwa nato na marekani, china n mkubwa ila n mdogo kwa nato na marekani ndo maana taiwan ipo salama.
Unajua rules of engagement lakini? Ni lini Nato imesema inaisaidia Ukraine zaidi ya nchi mojamoja kutoa msaada kwa Ukraine na EU ambayo inamtambua Ukraine. Kwani US akiamua kumsaidia Ukraine silaha ni kosa? Ni lini Russia alisema nchi marafiki wa Ukraine wasimsaidie Ukraine silaha. We nae usijifanye ndo unajua kuliko wengine.
 
Vita hii ina mambo ya kushangaza sana Russia ni moja ya nchi chache duniani zenye makombora makubwa ya maangamizi ukiondoa ya Nuclear swali la kujiuliza kwa nn hayatumii?Je hataki kuna raia wengi au ananunua muda,Tangu nimeanz
take from me, Putin hataweza kutumia nyuklia - sababu yeye ni Jasusi la kimataifa anajua fika hatma yake kama atarusha walau bomu moja tu pale Kiev.

Hakuna aliye tayari pamoja ya yeye kushuhudia dunia ikiingia kwenye nuclear war, atashambuliwa pande zote sababu atakiuka sheria za usalama za umoja wa mataifa.

Anajua na hatathubutu.
 
Back
Top Bottom