Acha wafe tu sababu waarabu wao wanaishi mileleWakina abdala wamefunzwa vibaya sana kwamba binadamu ni mwarabu tu. na ndio maana akifa mzungu kwa ni sherehe.
🤝🤝🤝🤝👏👏👏👏Wewe ni Shabiki tu Wa Ukraine na nimekufatilia sana , In short unachangamsha tu jukwaa , lakini kinachoendelea trust me hukifahamu , unachokishuhudia kwenye Social media Na Info sources ni kile ambacho kimeruhusiwa ukione with some fake evidence's.
Hii vita ni zaidi ya kurushiana Makombola na kuyapangua, kama unauwezo wa kuchanganua mambo utaelewa ninachomaanisha.
Simuungi mkono wa kile Putin anachokifanya na simkubali Zele pia ameiharibu ile nchi na haitokuja kurudi kwenye hali yake kwa miaka mingi hata ashinde vita , The good move kama angekuwa na akili ni kuhakikisha anaishi kwa akili sana na kujiepusha na Vita , yaani nikimaanisha alitakiwa kuwaweka Urusi na NATO kwenye Zone ya kunufaika pande zote pasipo kuonyesha mahaba upande mmoja.
Hakuna kiongozi mwenye akili timamu anaependa kuiingiza nchi katika vita hasa kwa karne hii , ukiona mtu kaanzisha vita jua kaguswa kwenye mshono na hana namna zaidi ku retaliate.
Moja ya kauli kutoka kwa Jasusi mbobezi Harold Wallace kabla ya kupigwa Shaba kauli yake ilisema hivi
"Then we promote both Sides of the issue as confusion Reigns,with their eyes fixed on the issues ,they fail to see who is behind every Scene" .
Shida kuu ya habari kuhusu Ukraine zinapotoshwa mno na vyombo vya Magharibi. ukweli haujulikani, propaganda nyingi mno. lakini the bottom line ni kwamba kipande cha ardhi ya Ukraine bado kimekaliwa na Russia bila kujali kuwa Urusi inapigwa, inanyonywa au inakwanguliwa na USA, Ukraine au nani. Na kama Urusi bado iko Donbass ni ushahidi tosha kuwa Urusi ina nguvu kuliko wagomvi wake.Pro Russia hapa jukwaani wajanja kweli.., Ukraine akitembeza kichapo huko front line wanakuwa kama hawaoni vile [emoji1787]
Hapo Wanakazana kuleta habari za uchumi.., diplomasia na mambo mengine..huko front line wanapasahau kabisa, maana panakuwa pa moto[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Urusi kuivamia Ukraine tu CIA walijua kabla November mwaka jana haijaisha, uvamizi ukafanyika February 24. Urusi anaivamia Marekani kwa kutumia nini?Urusi kuivamia Ukraine tu CIA walijua kabla November mwaka jana haijaisha, uvamizi ukafanyika February 24. Urusi anaivamia Marekani kwa kutumia nini?
Hivi mnajua kwenye peer to peer enemies jeshi vamizi linabidi liwe three times ya jeshi linalolinda kwenye eneo fulani. Hayo maelfu ya wanajeshi wa kufanya assault unayakusanya wapi Marekani isikufanyie preemptive strike. Na una naval vessels za kuvamia Marekani au unafanyaje. Alaska haijaungana kwa ardhi na Russia kuna gap ya kama 4km. A very weak point kufanya shambulizi eneo lile, njia ya uhakika ni kufanya amphibious landing kwingineko ambapo hakuna jeshi la kufanya hivyo, China ndio inaweza jaribu kiasi chake ila kama China haitaki kuivamia Taiwan sembuse Marekani.
Na kama unaitaja Mexico Kasome Zimmerman telegram ya World War 1 kutoka kwa huyo Mjerumani kwenda kwa Rais wa Mexico ujue ni namna gani Mexico haioti hata kuivamia Marekani.
Ili uivamie Marekani unahitaji jeshi la majini kubwa na uwe na amphibious landing capability kubwa mno kuizidi hata Marekani yenyewe. Hakuna kichaa wa kufanya suicide mission hiyo. Watajaribu hit and run ila sio kuweka majeshi, hata supply lines unazipataje au ndio kutoa kafara wanajeshi wako
Jifunze kuandika kwanza.Operesheni ya saa 72 ya kuwaondoa wanazimamboleo [emoji2][emoji1787][emoji16]View attachment 2397495
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
NYUKLIA ni silaha kama silaha nyengine tu aseeSupapawa pumzi imeanza kukata anatafuta kisingizio cha kutumia nuclear bomb[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2397446
[emoji778]️زلنسکی: اسرائیل از کرملین میترسدInterceptors za Mu-Israel kutua Ukraine muda wowote......kulinda anga
View attachment 2397550
Israel's Iron Dome air defence system intercepted hundreds of rockets fired from Gaza during the 11-day war that ended on May 21
Israel’s defence chief Benny Gantz will travel to Washington, DC, on Thursday to request a $1bn replenishment of the close United States ally’s Iron Dome air defence system, US Senator Lindsey Graham and Israeli officials have said.
Ficha upumbavu wako!Jifunze kuandika kwanza.
Mkuu kichwa chako unakitumia kufugia nywele tu au Kama kifuniko Cha shingo?Tangu nimeanza kufatilia hii vita taarifa nyingi ni fake ila BBC a najitahidi kutoa uhalisia
We nawe unachosha watu kwa insha na maneno yasiyo maana yaliyojaa ubinafsi ,huku ukijaribu kutetea mahaba uliyonayo ,unajiona mjuaji huna unalojua kuhusu hii vita ,ni chuki tuu ndizo zinaongoza hisia zako anyway mda ndiye msema kweli maana hakuna utakachoambiwa utaamini labda tukikwambia zelesky kafa hapo utaaminiWewe ni Shabiki tu Wa Ukraine na nimekufatilia sana , In short unachangamsha tu jukwaa , lakini kinachoendelea trust me hukifahamu , unachokishuhudia kwenye Social media Na Info sources ni kile ambacho kimeruhusiwa ukione with some fake evidence's.
Hii vita ni zaidi ya kurushiana Makombola na kuyapangua, kama unauwezo wa kuchanganua mambo utaelewa ninachomaanisha.
Simuungi mkono wa kile Putin anachokifanya na simkubali Zele pia ameiharibu ile nchi na haitokuja kurudi kwenye hali yake kwa miaka mingi hata ashinde vita , The good move kama angekuwa na akili ni kuhakikisha anaishi kwa akili sana na kujiepusha na Vita , yaani nikimaanisha alitakiwa kuwaweka Urusi na NATO kwenye Zone ya kunufaika pande zote pasipo kuonyesha mahaba upande mmoja.
Hakuna kiongozi mwenye akili timamu anaependa kuiingiza nchi katika vita hasa kwa karne hii , ukiona mtu kaanzisha vita jua kaguswa kwenye mshono na hana namna zaidi ku retaliate.
Moja ya kauli kutoka kwa Jasusi mbobezi Harold Wallace kabla ya kupigwa Shaba kauli yake ilisema hivi
"Then we promote both Sides of the issue as confusion Reigns,with their eyes fixed on the issues ,they fail to see who is behind every Scene" .
Kwa mwendo huu, fashisti Putin ataita maji mmaa [emoji12][emoji2][emoji16]Ukrainian military to get 11 powerful PUMA-LE drones, says minister
Tue, October 25, 2022, 12:32 PM·1 min read
![]()
Drones are in service in 18 countries of the world
Read also: 35 lung ventilators purchased with funds raised via United 24 fundraising initiative arrive in Ukraine
“The drones are equipped with a conventional and thermal imaging camera with 6x optical zoom,” the minister said.
“It allows to detect the enemy during the day, at night and in any weather. Thanks to their antennas, the drones can range over a distance of up to 60 kilometers. Such a distance will help defenders sneak behind enemy lines. The drones can fly up to six hours and rise to a height of up to three kilometers. This makes them invisible to the invaders.”
Wapi Sasa hapa inaonyesha Israel ana transfer hizo Iron dome kwenda Ukraine...?Interceptors za Mu-Israel kutua Ukraine muda wowote......kulinda anga