Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

NATO wangekuwa wameshaingia mzigo .. majeshi ya Putin yangesharudishwa kwao mapema sana..,na vita hii ingekuwa imeshatoweka masikioni mwetu

Urusi anapigishwa danadana na Ukraine tu anayeomba na kupewa silaha kutoka nchi za NATO

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
juzi NATO imeanza mazoezi yake ya kawaida ya msimu ambapo kwa mwaka huu yamekuwa ya nyuklia wakitumia dummy weapons, Putin kasema wanataka kuingilia ugomvi usiowahusu - ha ha ha
 
Bro unazungumzia Makombora gani hayo ya maangamizi ambayo Russia hajatumia huko Ukraine ukiacha nyuklia?! Jamaa kashatumia mpaka hypersonic missiles lakini hajabadili uelekeo wa Vita na sasa hivi kahamia kwenye kamikaze drones kushambulia miundombinu ya nishati lakini bado mambo magumu kule Kherson wanapewa kichapo cha mbwa mwizi mpaka wameanza kuhamishana
Anazungumzia makombora gan ambayo Russia hajatumia labda father of all bombs (FOB) bom ambalo US walisema Russia walifeki halikua na uhalisia na nimeamini ni ukweli maana ungekuta keshawadondoshea ukraine pale kherson.now alichobak nacho ni nuke tuu.Na ole wake ajaribu kutumia hata taktick nuke aone ukali wa NATO.
 
juzi NATO imeanza mazoezi yake ya kawaida ya msimu ambapo kwa mwaka huu yamekuwa ya nyuklia wakitumia dummy weapons, Putin kasema wanataka kuingilia ugomvi usiowahusu - ha ha ha
Kwan wameingilia mara ngap putin anajitoaga ufahamu.eti huo ni uchokoz ,sasa kuna uchokoz zaid ya silaha anazotoa NATO na mazoez kwa jeshi la ukraine ,pia putin anajitoa ufahamu kuwa KGB haifahamu kuwa NATO ndio wanaendesha hii vita kwa kutoa direction zote za mashambuliz?huyu andunje anazeeka vibaya
 
[emoji1255][emoji1258]NATO wako karibu na mipaka ya Russia wakati huu kuliko wakati mwingine..,Ina fact ni kwamba dikiteta Putin alidhani anaung'oa mwiba kumbe anaudidimiza,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Russia's revenue from crude oil exports just hit its lowest point since Vladimir Putin launched his war on Ukraine​

Phil Rosen
Mon, October 24, 2022, 5:19 PM·2 min read
In this article:
  • Vladimir Putin

    Vladimir Putin
    President of Russia

putin

Russian President Vladimir Putin.AP
  • Russia's weekly revenues from oil exports fell to the lowest level since Moscow ordered the invasion of Ukraine, Bloomberg data shows.
  • Duty rates declined, and the volume of seaborne crude shipments dropped to a five-week low.
  • The European Union's sanctions on Russian crude are set to take effect on December 5.
Russia's weekly revenue from crude oil exports dropped to its lowest levels since February, when President Vladimir Putin ordered the invasion of Ukraine, Bloomberg data shows.
The Kremlin's war chest saw inflows from its crude-export duty drop by $12 million to $121 million in the week leading up to October 21, per Bloomberg.
 
Kabla majeshi ya Urusi hayajaenda mpakani, Marekani ishatoa angalizo watavamia. Na Urusi ikapinga kama kawaida yake.

Siku tatu kabla ya uvamizi, Uingereza, Marekani na Israel zikaanza kuita watu wake waondoke haraka Ukraine. Sisi madongo kuinama tukawa wabishi. Russia ikakataa kupitia vyombo vya habari vya taifa. Hapa ni 4 days beforeView attachment 2397581

Sasa nimuulize yeyote anayedhani Russia anaweza ivamia Marekani. Hivi Urusi iliyojiandaa miezi kuvamia Ukraine ambapo wanavuka ardhi pande tatu tofauti kupitia kwake na Belarus, na bado performance ndio hii, ndio hiyo Urusi ya kuivamia Marekani? Yani ufanye mission ya kubeba mamia ya maelfu ya wanajeshi baharini uende kuivamia Marekani kirahisi hivi?

Kwanza Russian Navy haina means ya kutoa air cover kwa invading force yake, watakuwa na floating coffins baharini.
Jeshi lililoshindwa kuilinda Snake island eneo dogo lisilo hata na 10km square, lililoshindwa kulinda flagship Moskva cruiser moja ya Black Sea fleet ndio hilo hilo tunaambiwa linafanya mission ya kuvamia Marekani.

Jeshi linalolalamikia HIMARS chini ya 20 zilizotolewa kwa nyakati tofauti wakati kuna HIMARS zaidi ya 300 Marekani kwenye peacetime, ukianzisha vita uzalishaji unapanda. Ushindwe kuwa na air cover Ukraine inayoomba ndege inanyimwa, uje uipate kwenye anga la Marekani
Mkuu kuna wakati unaongea vitu vya mhimu ila vinaharibiwa na mahaba binafsi uliyo nayo juu ya USA.
Unaiona USA kama Mungu wa hii dunia wakati kiuhalisia USA kwenye operation za kivita au vita ilizo wahi kupigana imechakazwa vibaya, tena ikiwa na allies wake.

Ngoja nisiongee sana mimi kuhusu USA yako ukasema naichukia, Kwa mjibu wa data zilizopo mpaka leo, Screenshot hapa chini inaonyesha uhalisia wa USA kwenye battle field.
Screenshot_20221025-164224_Google.jpg
 
Anazungumzia makombora gan ambayo Russia hajatumia labda father of all bombs (FOB) bom ambalo US walisema Russia walifeki halikua na uhalisia na nimeamini ni ukweli maana ungekuta keshawadondoshea ukraine pale kherson.now alichobak nacho ni nuke tuu.Na ole wake ajaribu kutumia hata taktick nuke aone ukali wa NATO.
Wasapoti NATO kuna nati imekatika
 
Russia's revenue from crude oil exports just hit its lowest point since Vladimir Putin launched his war on Ukraine​

Phil Rosen
Mon, October 24, 2022, 5:19 PM·2 min read
In this article:
  • Vladimir Putin

    Vladimir Putin
    President of Russia

putin

Russian President Vladimir Putin.AP
  • Russia's weekly revenues from oil exports fell to the lowest level since Moscow ordered the invasion of Ukraine, Bloomberg data shows.
  • Duty rates declined, and the volume of seaborne crude shipments dropped to a five-week low.
  • The European Union's sanctions on Russian crude are set to take effect on December 5.
Russia's weekly revenue from crude oil exports dropped to its lowest levels since February, when President Vladimir Putin ordered the invasion of Ukraine, Bloomberg data shows.
The Kremlin's war chest saw inflows from its crude-export duty drop by $12 million to $121 million in the week leading up to October 21, per Bloomberg.
Mbali na kushuka kwa mauzo ya mafta hata soko la ges pia kashalipoteza

Hii vita super pawer wa mchongo ataisimulia Hadi kizazi Cha nne [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom