Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii base imepigwa kitu kizito chechen 40 wamekufa hapohapo 60 wamejeruhiwa tazama video chini wazee wa kobaza wanamtaja Mungu tu kuponea chupuchupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usoni wamepodoka kwelikweli baada ya kichapo cha vijana wa Zelenksy
 
Hujanielewa nilichokusudia ukiondoa nuclear zipo silaha nzito sana lakini cha kushangaza Russian hawazitumii ili kuimaliza vita hiyo nyuma ya hii vita kuna mipango ya mwelekeo wa maisha ya watu yatakuweje,fikilia bei ya chakula kwa sasa duniani fikilia bei ya mafuta ongezeko la hadi asilimia 70% watu wanakaa chini na kutengeneza mikakati ya miaka mitano ijayo.Amini hata leo ukienda kulima ukavuna gunia 3000 za mchele utaziuza ndani ya muda mfupi na wanunuzi watakuuliza unazo zingine
Nzito kama zipi?! Tutajie hata tatu
 
[emoji298]️Rishi Sunak appointed as British PM after pledging to support Ukraine.

In July, when Sunak was competing for the prime minister's job, he promised to redouble UK support for Ukraine.
 
6:12 pm
externalUK intelligence: Russia fails to maintain air superiority on Ukraine’s battlefields.
Russian forces can’t perform adequate air support near the front line as their attack helicopters suffer attrition from Ukrainian air defense systems and their artillery ammunition is running out, the U.K. Defense Ministry reported on Oct. 25. The Russian command is “increasingly resorting to conducting high-risk attack helicopter missions as one of the few options available to provide close support for troops in combat,” the ministry said. Russia has lost at least 23 Ka-52 HOKUM attack helicopters since Feb. 24, which constitutes over 25% of their in-service fleet, according to the U.K. Defense Ministry.
 
Nyie endeleeni kushangilia mgao wa Umeme [emoji23][emoji23][emoji23]

Ukrainian forces recaptured a concrete factory on Bakhmut’s eastern outskirts, ISW reported in a Monday update. On Sunday, Prigozhin had acknowledged the slow pace of Wagner’s advances, saying they are gaining only “100-200 meters a day.” @washingtonpost
 
Kiev hamna Umeme mjue[emoji23][emoji23][emoji23]Giza totoro

#Russian-Occupied Areas Update:

Occupation administration officials have taken down communications systems in #Kherson City in an attempt to limit civilian reporting on Russian positions to #Ukrainian forces ahead of anticipated Ukrainian advances.
isw.pub/UkrWar102422
 
Zelenksy anatumia mishumaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Eastern #Ukraine Update:

The Ukrainian General Staff confirmed that Ukrainian forces captured #Karmazynivka, #Miasozharivka, and #Nevske in #Luhansk Oblast and #Novosadove in #Donetsk Oblast. /1
isw.pub/UkrWar102422

 
Huyu kamanda mpya ni nomaaa, Zelenksy lazima akimbilie Poland[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Eastern #Ukraine Update:

Wagner Group financer Yevgeny Prigozhin acknowledged the slow pace of Wagner Group ground operations around #Bakhmut as #Russian forces continued to lose ground near the city. /2
isw.pub/UkrWar102422

 
Wanajesh wa ukraine wakikamatwa eneo la viwanda huko bakhamut
img_2_1666670144979.jpg
img_1_1666670136586.jpg
 
2/2
#Ukraine in its war with #Russia

Italy will continue to support Western sanctions against Vladimir #Putin, despite restrictions on gas imports from #Moscow, #Meloni said during a lengthy speech that lasted more than an hour

[emoji1255]Real War #UkraineRussianWar #Ukraine️
 
Kiev hamna Umeme mjue[emoji23][emoji23][emoji23]Giza totoro

#Russian-Occupied Areas Update:

Occupation administration officials have taken down communications systems in #Kherson City in an attempt to limit civilian reporting on Russian positions to #Ukrainian forces ahead of anticipated Ukrainian advances.
isw.pub/UkrWar102422
Pro Russia wanaendelea kushangilia mgao wa umeme huku zelensiky akiwawekea moto [emoji91][emoji16][emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
2/2
#Ukraine in its war with #Russia

Italy will continue to support Western sanctions against Vladimir #Putin, despite restrictions on gas imports from #Moscow, #Meloni said during a lengthy speech that lasted more than an hour

[emoji1255]Real War #UkraineRussianWar #Ukraine️
Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kusapot vita vya kipuuzi aliyoanzisha fashisti Putin wadhulumaji wenzake [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha....RIP. Majira ya baridi yamefika Ukraine itakomaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji635] The deputy commander of flight training, [emoji88] Lieutenant Colonel Strelchenko Vladimir, on his Ka-52, was successfully demobilized.

Glory to the Nation [emoji1255]

#UkrainianArmy #NAFO

 
Mkuu vitani huko watu wanashindia mikate ya UN na kila kukicha wanaokota maiti ili wazizike sehemu sahihi mpo busy kajadili umeme kweli? wacha mimi nionekane Tura ila naona vijana naowategemea wanaangamia kwa kushindwa kutumia Ubongo vizuri..
Mkuu wewe unaetumia ubongo wako vzr unafanya nini Kwny hii thread?

Mbona Kuna thread kibao tu za mambo serious kama ya Katiba mpya,bwawa la umeme la mwl Nyerere etc unaweza kua huko Mkuu.
 
Hahahaha mpaka chawa wa Putin Leo kahamaki[emoji23][emoji23][emoji23]

Top Kremlin propagandist Vladimir Solovyov calls for the complete destruction of entire Ukrainian cities
Like many other Russian propagandists, he plays a significant role in inciting the war and genocide of Ukrainian people and should face trial.
#StopRussia

 
[emoji298]As reported by Hohols[emoji298]

There was gossip that the scheme with provocation and the explosion of a dirty bomb could look like this:

“The shelling of the Armed Forces of Ukraine begins, at objects inside the territories controlled by the Russian Federation, for example, at warehouses or the industrial zone of one of the cities. Among all the rockets fired, one is fired with a dirty nuclear charge. A nuclear explosion occurs over the territory of the Russian Federation. Ukraine claims to have hit a Russian ammunition depot where “Russian terrorists” kept a nuclear warhead that they wanted to use to strike Ukraine.”

This version began to be discussed on the sidelines. Many say that it is very easy to implement. Ukraine has everything to create such a bomb. The Soviet Union gave Ukraine a lot, not only nuclear power plants and uranium mines, but also institutes, design bureaus and installations for creating such toys.

Yes, and the West would believe in the version of the Office of the President. That is why the Russians are so excited. And we decided to play ahead.
Mkuu sioni yeyote angeamini mfano ulioleta. Kuna sababu gani kuweka bomu la nyuklia katika ghala (!!!) kwenye maeneo ya Ukraine yaliyovamiwa na Warusi????
Kama wewe unaweza kuamini bomu la nyuklia ni kifurushi ambacho kinabebwa kidogo halafu kuwekwa katika ghala fulani - je unaishi dunia ghani??
Unapata ama mabomu kwa matumizi kwenye ndegevita na roketi ambazo zinatunzwa chini ya ulinzi mkali kwenye vituo maalum mbali na kila mapigano.
Au unaweza kuwa na mabomu na grenedi ndogo za nyuklia ambazo zinasafiri pamoja na vikosi maalumu kwa matumizi katika mizinga au roketi ndogo kwa umbali usio kubwa, hata hapa zikiwa chini ya ulinzi mkali wa kikosi husika, na baada ya amri kutoka juu vikosi hivi vielekee mstari wa mapigano.
Hadithi uliyosikia ni ya kitoto kabisa. Tusisambaze hapa uvumi bila msingi tafadhali.
 
Back
Top Bottom