Naongezea nyama kidogo juu ya uwezo wa USA kwenye battle field.
Hiyo USA unayoisema ni untouchable kwenye mambo ya kivita, haijwahi kuvua dafu kwenye operation au vita yeyote iliyohusisha uwepo wa jeshi la kirus kuanzia enzi za Soviet union mpaka leo urusi..
Hizi ndo list za mapigano famous ambazo USA na Russia waliwahi kukutana kwenye battlefield na zote USA alikaa chini.
1. Vietnam war
2. Korean war
3. Syria civilian war
Hapo kwenye Korean war USA aliungana na mataifa zaidi ya 20 kupigana na Muungano wa mataifa matatu yani (Soviet union, China na N.korea) lakini mwisho wa siku mataifa 20+ yote yaligalagazwa na miamba watatu, Huko syria USA aliungana na allies wake wa western pamoja na waasi wa IS lakini Mrusi alipotia mguu tu kwenye hiyo operation USA na magaidi wake wakatembezewa moto wa kiwango cha SGR mpaka wakapoteana na kukimbia hovyo.
Ngoja hapa napo nisiongee sana naomba nikuwekee Screenshot kutoka kwenye database ya dunia.
NOTE: Rangi ya kijani inawakilisha ushindi kwa jeshi la team Soviet union.
Inaendelea next...
View attachment 2397648