Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
Sjabisha ila kitu hujui steath submirine anazo China,UK,US na siyo russia anazo tuu wewe unaogelea kana kwamba Russia ndio mwenye nazoKwamba unabisha kua hakuna stealth submarine au?

Loss kubwa kuliko aliyoipata USA kwa miaka 17 aliyokaa VietnamKichapo kinaendelea[emoji848]View attachment 2399285
Nina mashaka na upeo wako, hivi unadhani nuclear bomb linahitaji accuracy? Hiyo 150m ni kubwa sana, tafuta radius effects ya bomb la nuclear ni umbali gani then uje ufute ulichoandika hapoAkuna maajabu hapo US hanaga huo ujinga yeye kasambaza kambi karibu na adui hatumii nguvu nyingi kombora la km300 linatosha.Russia hana kambi hivyo lazma atengeneze mikombora ya masafa marefu ambayo hata accuracy hakuna .mfano hili accuracy ni m150 wakati himas ni m1 mpaka 2 .chenga tuu mrusi ameachwa mbali
Inabid ukapimwe akili si bure nyie ndio kina doctor shika mnaongea habari za kusadikika eti mwanasayansi
Wale wale kwenye lip? Mbona hakuna nililochangia.ww chanzo chako ni kipi mzee baba maana naona ww ndio walewale
Nina mashaka na upeo wako, hivi unadhani nuclear bomb linahitaji accuracy? Hiyo 150m ni kubwa sana, tafuta radius effects ya bomb la nuclear ni umbali gani then uje ufute ulichoandika hapo
Nikwambie kitu,kwenye JF members walijiunga kwa ajili ya kubadirishana mawazo na kujifunza vitu ambavyo walikuwa ni vigeni kwao hata mimi nimejifunza mengi kutoka kwa individual members ambao ni level headed and knowledgeable hawazodoi watu,kutumia lugha za vijiweni au kuwatukana members wenzao wanapo tofautiana kwenye maoni, hawana hata manners za ku-agree to disagree without offending anyone - shida tupu waswahili ill mannered.
Kuna mambo mengine huwa hatutaki kusayema sema - mfano: Mimi ni mwana sayansi ninesomea vyuo vikuu vya mataifa ya magharibi ambayo nyinyi ambayo baadhi yenu mnayachukulia kana kwamba ni Miungu wadogo wa hapa Duniani na mgetegemea labda mimi ndiye ningukuwa shabeki na muhusudu mataifa ya magharibi kama kulipa fadhila, lakini kwa bahati mbaya au nzuri mimi siko hivyo, sifuati upepo kama bendera au kufuata mkumbo kutokana na propaganda za MSM designed ku-brain wash watu,na wamefanikiwa sana katika crusade yao ya kuwachota watu akili, kuna mambo mengine watu wanazungumza mpaka mtu unabaki unaduwaa unashindwa to see any logic behid ya ufafanuzi wa muhusika.
Wana sayansi ethics zao ni ku-stick kwenye masuala ya facts na figures sio mambo ya kubuni buni tu, kama nilivyo sema tangu mwanzo ukiwasikiliza baadhi ya members welewa wa mambo utajifunza mengi - mfano nilikuuliza kwamba,je, umewahi kusikia neno la black hole kuhusu baadhi ya submarine za Urusi - nikaongezea kwamba jina hilo lilibuniwa na Wamerika wenyewe baada ya kugundua kwamba kuna baadhi ya Russian Subs ambazo ni ngumu kuzi detect zukiwa under water - sisi ni nani kuwabishia wana marine scientists wa Kimerikani, nilitegemea ungejaribu walao kupitia clue yangu hiyo ili ijifunze kitu lakini wapi bwana umekuja na ubishi wako kwa mara nyingine tena kwamba haiwezekani Amerika haishindwi kitu hakuna submarine yoyote inaweza kukatisha American territorial waters bila ya kujulikana yaani kuwa detected na sonars za Kimerikani - just imagine!!
Je, tungewambieni kwamba Kamikaze Drones za Iran haziwezi kuwa detected/tracked na the most sophisticated RADAR hapa Duniani including za Merikani - tunge raise suala hilo kwa kuwa tunajua tunacho kisema wangejitokeza members hapa wangebishi usiku kucha kwamba Wairan hawana uwezo wewote kisayansi na kiteknolojia kuliko Merikani - mko hivyo, imani ndio unawasumbua - wakati mwingine mnaleta ubishi husio na mantiki hata kidogo-mkikosa hoja zenye mshiko mnaishia kuzodoa watu bila sababu za msingi - mimi mwanzo nilifikiri JF ni jukwaa la kubadirishana mawazo na kujifunza mambo mapya na kikubwa zaidi kukubaliana kuto kubaliana bila ya kumkashifu mtu au kumzodoa mtu - finally nimekuja kugundua kwamba my perception kuhusu JF were totally wrong - dead wrong!!
bro pumzika sasa
Hahahaha Yani uko serious kabisa eti Musk kaongezea vice versa ili jeshi la Marekani lisikasirike kwamba eti haliwezi kuretaliate likishambuliwa na Russia?!!!! Hiki ni kichekesho cha mwaka,kama ingekua hivyo Putin si angekua kashaibutua Marekani Kwa Nyuklia kama ingekua haina uwezo wa kuretaliate!!!!!

Hizo zimeshapatiwa mwarobaini wake mbona? Umesikia zinatamba Tena?Jamaa yako vunjo yuko wapi kwa sasa? Maana jamaa kwa video ni balaa. KAMIKAZE the game changer.... imewavuruga balaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kaka haya maarifa ulitakuwa ulipwe ndio uyatoe, sasa humu utaambulia kejeli kutoka kwa wajinga na wapumbavu ambao hawajui lolote zaidi ya movies za HollywoodNikwambie kitu,kwenye JF members walijiunga kwa ajili ya kubadirishana mawazo na kujifunza vitu ambavyo walikuwa ni vigeni kwao hata mimi nimejifunza mengi kutoka kwa individual members ambao ni level headed and knowledgeable hawazodoi watu,kutumia lugha za vijiweni au kuwatukana members wenzao wanapo tofautiana kwenye maoni, hawana hata manners za ku-agree to disagree without offending anyone - shida tupu waswahili ill mannered.
Kuna mambo mengine huwa hatutaki kusayema sema - mfano: Mimi ni mwana sayansi ninesomea vyuo vikuu vya mataifa ya magharibi ambayo nyinyi ambayo baadhi yenu mnayachukulia kana kwamba ni Miungu wadogo wa hapa Duniani na mgetegemea labda mimi ndiye ningukuwa shabeki na muhusudu mataifa ya magharibi kama kulipa fadhila, lakini kwa bahati mbaya au nzuri mimi siko hivyo, sifuati upepo kama bendera au kufuata mkumbo kutokana na propaganda za MSM designed ku-brain wash watu,na wamefanikiwa sana katika crusade yao ya kuwachota watu akili, kuna mambo mengine watu wanazungumza mpaka mtu unabaki unaduwaa unashindwa to see any logic behid ya ufafanuzi wa muhusika.
Wana sayansi ethics zao ni ku-stick kwenye masuala ya facts na figures sio mambo ya kubuni buni tu, kama nilivyo sema tangu mwanzo ukiwasikiliza baadhi ya members welewa wa mambo utajifunza mengi - mfano nilikuuliza kwamba,je, umewahi kusikia neno la black hole kuhusu baadhi ya submarine za Urusi - nikaongezea kwamba jina hilo lilibuniwa na Wamerika wenyewe baada ya kugundua kwamba kuna baadhi ya Russian Subs ambazo ni ngumu kuzi detect zukiwa under water - sisi ni nani kuwabishia wana marine scientists wa Kimerikani, nilitegemea ungejaribu walao kupitia clue yangu hiyo ili ijifunze kitu lakini wapi bwana umekuja na ubishi wako kwa mara nyingine tena kwamba haiwezekani Amerika haishindwi kitu hakuna submarine yoyote inaweza kukatisha American territorial waters bila ya kujulikana yaani kuwa detected na sonars za Kimerikani - just imagine!!
Je, tungewambieni kwamba Kamikaze Drones za Iran haziwezi kuwa detected/tracked na the most sophisticated RADAR hapa Duniani including za Merikani - tunge raise suala hilo kwa kuwa tunajua tunacho kisema wangejitokeza members hapa wangebishi usiku kucha kwamba Wairan hawana uwezo wewote kisayansi na kiteknolojia kuliko Merikani - mko hivyo, imani ndio unawasumbua - wakati mwingine mnaleta ubishi husio na mantiki hata kidogo-mkikosa hoja zenye mshiko mnaishia kuzodoa watu bila sababu za msingi - mimi mwanzo nilifikiri JF ni jukwaa la kubadirishana mawazo na kujifunza mambo mapya na kikubwa zaidi kukubaliana kuto kubaliana bila ya kumkashifu mtu au kumzodoa mtu - finally nimekuja kugundua kwamba my perception kuhusu JF were totally wrong - dead wrong!!
Mzee Mrusi anapokea kichapo kitakatifu kule Bakhmut na Avdiivka muda huu.Nimeona hapa BBC Ukraine wanasingizia Hali ya hewa inawazuia wasifanye lolote Kherson wanasingizia pia kwamba warusi wanaongeza wanajeshi Kherson alafu pia kuna mji unaitw sijui bakhmut warusi wanaenda kuuchukua.
Operation ya saa 72 ya kuwaondoa wanazimamboleo ilipata toque [emoji16][emoji16][emoji16]Tunataka mtupatie majibu, hivi bado ni military operations huko Ukraine ama tayari ni War tayari ?
Amepiga kwenye mshono panauma kweri kweribro pumzika sasa
Kwanini unataka majibu?!?! This is ridiculous....wewe ni nani hasa unayewalazimisha watu wakupe majibu?!?!Who are you?! Hili jukwaa kwa kweli limepoteza maana ya kuwa na watu wa aina hii.Tunataka mtupatie majibu, hivi bado ni military operations huko Ukraine ama tayari ni War tayari ?
Acha uongo BBC hapa wanasema zelisky analalamika Russia wanatumia crazy tacticsMzee Mrusi anapokea kichapo kitakatifu kule Bakhmut na Avdiivka muda huu.