Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

1666886828037.png

1666886884388.png
 
Hali ni kwamba ukraine majeshi yake wanapukutika sana kule kherson,, huko Russia wameunda defence lines, hivyo kila siku wanajeshi wa ukraine hujaribu kushambulia kuukomboa mji huo lakini mara zote hupigwa na kurudi nyuma huku wengi wakipoteza maisha na vifaa kuharibiwa, hawakomi kila siku wanarudia na wanafail
Hali ni mbaya kwa ukraine huku urusi akiangaika kuondoa raia wake huko.., mambo ya kuondoa raia tulikuwa tukiyasikia upande wa Ukraine pale Hali ilipokuwa mbaya..,hata kama kusoma hatujui lakini picha tunaweza kuona..., kamanda mwenyewe mnayemuita almagedon alikiri mwenyewe kwa kinywa chake kuwa Hali ni mbaya huko..,Leo hii wewe unakuja hapa kupindua meza.., tumuamini nani Sasa?

Wewe au kamanda almagedon?[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Uelekeo wa bakhumut, jeshi la Wagner wanazidi kusonga mbele kuelekea city centre, slowly but surely,,
Khankiv baada ya kukombolewa na Ukraine mdogo mdogo Russia wanaanza kusonga tena mbele, means ukraine wakilegea huo mji utachukuliwa tena na Russia
Huko bakhumut kundi la Wagner linapewa kichapo Mpaka wanaajili vijana walioathirika na HIV na kuwapeleka front line.., naona unaripot kimahaba zaidi kuliko uhalisia [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hali ni mbaya kwa ukraine huku urusi akiangaika kuondoa raia wake huko.., mambo ya kuondoa raia tulikuwa tukiyasikia upande wa Ukraine pale Hali ilipokuwa mbaya..,hata kama kusoma hatujui lakini picha tunaweza kuona..., kamanda mwenyewe mnayemuita almagedon alikiri mwenyewe kwa kinywa chake kuwa Hali ni mbaya huko..,Leo hii wewe unakuja hapa kupindua meza.., tumuamini nani Sasa?

Wewe au kamanda almagedon?[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Muamini huyu hapa


 
Back
Top Bottom