mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Vunjo kila siku analipoti helicopter za warusi zinatunguliwa.cha ajabu helicopter iyo iyo inabadilishwa tarehe ila eneo ni ilo ilo na helicopter iyo iyo mpaka unashangaa iyo sehemu ina kani ya mvutano (kwamba helicopter hata ikipita mbali inavutwa) au iyo Helicopter ni (ghost) baada ya muda inafufuka kisha inatunguliwa tena hapo hapo.Kwa hiyo hii sio video ya kueditiwa au video game kwa kuwa umeleta wewe,sio?
Akileta pro NATO basi hi mnaota video game [emoji16]
Mna vituko aisee [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vunjo ndo aliyetuletea habari ya Ghost of kiev[emoji1787][emoji1787][emoji1787].sasa mtu huyo ukiona habari yake si kama umeona habari kwenye movie za Rufufu