Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mnacho sahau ni kwamba Viwanda vya Ujerumani vinategemea sana sana gesi ya bei nafuu inayo toka Urusi hasikudanganye mtu, hapa wanasiasa wa Ujerumani wanajifanya kuwa bega kwa bega na siasa za nje za Merikani ambazo mwisho wa siku zinakuja kuizirotesha kiuchumi Ujerumani, wanajuzi wa mambo wanasema Amerika inacho fanya nyuma ya pazia ni kutaka kuhamisha viwanda vya Ulaya kinyemela kwenda Merikani, si maanishi kufungua mashine na kuzihamishia Amerika nina maana viwanda vingi huko Ulaya vitafungwa kutokana na nishati ya kiendesha kuwa ghali mno kuvifanya viwanda vijiendeshe kwa hasara - hivyo mataifa ya Ulaya yatalazimika kununua majitaji yao muhimu kutoka Merikani, huku Merikani ikiuzia nchi za Ulaya gesi mara tano ya bei ya soko kwa ajili ya matumizi ya nyumbani heating/cooking.

Huo ndio ukweli, haya mambo ya msemaji wa Serikali ya Ujerumani kwamba hata siku moja hawatakwenda kununua gesi kutoka Urusi, hiyo ni danganya toto tu lakini mwisho wa siku wamiliki wa viwanda nchini Ujerumani ndio wanatoa ajila kwa vijana na kukuza Uchumi hawatakubali viwanda vyao vifungwe kwa ajili ya kufurahisha Serikali ya Kimerikani na chuki zake dhidi ya Urusi, Wajerumani watakimbilia barabarani kuaandamana kwa kumshinikiza Kansela wa Ujerumani kujiuzuru na kishinikiza kwamba Ujerumani hijiondoe kwenye ushirika wa NATO - na nchi nyingi za Ulaya zitafuata mkumbo ya Ujerumani wa kutaka kurudosha uhusiano mzuri na Russia after all Russia ni sehemu ya bara la Ulaya unlike the USA. Hicho ndicho nakiona mimi, sio lazima niwe sahihi.
Bro hakuna mahali nimesema kwamba Ujerumani au Europe hawatakwenda kununua Gas Russia nilichosema ni kwamba hawataiamini tena Urusi kama Mshirika wao Mkuu kwenye nishati ndio maana sasa hivi wanafanya kila mbinu ikiwemo kuongeza LNG terminals,kuingia mikataba na baadhi ya nchi ili kupata nishati,kuendeleza project za Gas kama kule Algeria kuna bomba la Gas linaelekea Ulaya,Israel juzi hapa kawekeana mkataba na Lebanon ili waanze kuvuna gas ambapo soko lake kuu itakua ni Europe. Hivyo usitegemee kama Europe watakua tena tegemezi Kwa Gas ya Russia kama ilivyokua kabla ya Vita,kabla ya Vita Biashara ya Nishati (mafuta,Gas,Coal,nk)Kati ya Russia na Europe ilikua na thamani zaidi ya Dola bilioni 300 Kwa mwaka ambapo Gas ilikua 155 bcm na sasa hicho kiwango kimeshashuka karibu robo tatu. Nchi kama Marekani Kwasasa imeongeza share kwenye soko la Gas Europe karibu mara tatu ya ilivyokua awali na mpaka kufikia 2025 inatarajiwa kuongezeka zaidi.

That means the United States has already sent more gas to Europe during the first six months of 2022 than it did in all 12 months of 2021. If exports to Europe continue at the same pace through the second half of 2022, the total increase over 2021 would be around 45 bcm

Analysis: U.S. LNG exports to Europe on track to surpass Biden promise.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hizi chai hua unatoa wapi. Ukraine ilishakomboa 98% ya Kharkiv imebaki kama 2% ndo wanakopigana mpaka sasa na Russia anakong'otwa kama paka aliyeiba mboga

#Ukraine: A Russian PTS-2 tracked amphibious transport and a KamAZ-5350 with EOV-3523 excavator were captured by the Ukrainian army in #Kharkiv Oblast.


We we unacanganyikiwa hivi unajua jua hats jiji LA kupyansky huko Kharkov limesharudiwa na urusi?
 
Huko Kherson ni jehanam kwa Ukraine
FB_IMG_16668149588036396.jpg

FB_IMG_16668149493604620.jpg
 
White House press secretary Karine Jean-Pierre threw in a new temnik: the US is concerned that Russia is now helping Tehran to cope with the protests that have gripped Iran after the death of Mahsa Ameni,
"We are concerned that Moscow may (sic!) advise Tehran on best practices [of dealing with protests]"
 
According to the Ukrainian media, the delivery (flight) of the Ukrainian radiological bomb was planned from the border of Belarus. Its destruction is planned over the Chernobyl zone in order to minimize the negative consequences. Zelensky will blame Russia and Belarus for its use

Kichwa cha Zelensky matope kabisa, yeye na Biden ni watu hatari sana hapa Duniani kwa hivi sasa,Dunia hajawahi kupitia kwenye kipindi hatari kama kipindi cha utawala wa jamaa hawa wawili: Zelensky na Biden save utawala wa Hitler - safari hii itakuwa even worse kutokana na uwezekano mkubwa wa matumizi ya silaha za nuclear by miscalculation au deliberately.

As I said,narudia kuwakumbusheni kwa mara nyingine tena, kwamba Zelensky na Biden ndio watakuwa chanzo cha WW3 and they don't seem to care at all, unaweza kufikiri wao na familia zao na marafiki zao wa karibu na close relative watakwenda kuishi kwenye sayari ya MARS huku wakiiacha Dunia iteketezwe na silaha za nuclear.

Kwa bahati mbaya jamaa hawa wawil akili na busara kama za marehemu maRais Kennedy na wa Urusi Krustchev - akili hizo hawana kabisa, wanacho jali wao ni "how to get even with Putin" basi - hawataki kushindwa katika vita hii inayo endelea huko Ukraine, wako radhi kufanya lolote let what comes may, ni wazi wako determined kulipua "dirty bomb" ili wapate kisingizio cha kuitisha kikao cha dhalula umoja wa mataifa (UNO) kulazimisha Dunia imu- condemn sana sana Putin wapendekeze atengwe na Dunia, walazimishe Urusi hisiwe tena member wa UN na kuiwekea even more punitive sanction chungu mzima - huu ni mpango anaosukwa na Uncle SAM baada ya kuona vita ya Ukraine haviendi kama walivyo tarajia, hii inawauma sana hasa baada ya kuona kwamba sanctions dhidi ya Rusia zimebuma - ndio maana wanakuja na plan "B" ya kuimaliza Russia kwa mbinu za kishetani, tusicho juwa ni kwamba we dont know Russia ita-act/react vipi ikiwa Zelensky na Biden watalipua a crude nuclear bomb sehemu ambapo wapo wanajeshi wa Urusi huko Ukraine.
 
White House press secretary Karine Jean-Pierre threw in a new temnik: the US is concerned that Russia is now helping Tehran to cope with the protests that have gripped Iran after the death of Mahsa Ameni,
"We are concerned that Moscow may (sic!) advise Tehran on best practices [of dealing with protests]"
So that means wako behind those protesters, na yale madai kua hao protesters wanalipwa ni kweli?
 
Nimerudi kwa nguvu mpya kuwanyoosha nyie waseng€ warusi wa Kwa mpalange ,nyie ngedere mliokuwa mnabisha kuhusiana na war crimes za Putin na genge lake mpitie hapa , na hii full coverage documentary ya Frontline PBS imetoka leo .
Kuna siku hapa niliandika kuhusiana na war crimes alizofanya Putin mkawa mnabisha ,Putin is a war criminal .
Na uzuri hapa wamefafanua kila kilichoandikwa siku ile
Karibu sana mkuu tuendeleze marumbano ya hoja[emoji106][emoji106][emoji123][emoji123]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vita hii ina mambo ya kushangaza sana Russia ni moja ya nchi chache duniani zenye makombora makubwa ya maangamizi ukiondoa ya Nuclear swali la kujiuliza kwa nn hayatumii?Je hataki kuna raia wengi au ananunua muda,Tangu nimeanza kufatilia hii vita taarifa nyingi ni fake ila BBC a najitahidi kutoa uhalisia
Kama chanzo chako cha habari ni BBC na unakiri kuwa inajitahid kutoa taarifa vema, bhasi juw ya kwamba unasafari ndefu saana kuielewa hii vita.
 
Back
Top Bottom