Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

West walijifunza Crimea 2014. Mazungumzo yatakuja baadaye sana baada ya West kuhakikisha kwamba wameifikisha Russia mahali pa kuelewa kikamilifu itegemee muitikio wa kiwango gani ikijaribu kuvamia tena jirani zake.
Popote watakapo mfikisha ila msisahau haya

UKRAINE haitakua naukubwa ule kama wazamani

Yale maeneo manne nisehemu halali ya RUSSIA isiotenganishwa

UKRAINE ama mwengine yeyote huko mbeleni atakae hatarisha usalama amani na maslahi ya RUSSIA atawajibishwa!!!
 
Part 3

Hapa ndipo tunakuja kuona kwanini mrusi anataka hii Vita isiishe mapema, yaani mrusi anataka pawe hivyo hivyo yaani Ukraine hawasongi mbele na wala yeye hamalizi Vita haraka yaani inakuwa 50/50, faida ya hii Vita kukaa muda mrefu ni pamoja na

La Kwanza kabisa ni kuzimaliza silaha zilikuwa kwenye maghala kwenye mataifa hasa ya ulaya maana haya anaishi nayo pua na mdomo,

La pili ni kupunguza gas na hii imesababisha hali kuwa mbaya kiuchumi maana viwanda vinafungwa watu wanakosa kazi, baridi linakuja na sasa hivi wanatumia gasi ya akiba ambayo urusi anataka iishe kabisa ili machafuko hapo ulaya yatamalaki kama walivyokuwa wanasubiria yatokee urusi, ndiyo maana IMF ( kama nimekosea kuhusu hilo shirika kusema naomba kusahihishwa) wamesema kuwa ulaya watakutana na mfumuko mkubwa wa bill za umeme ifikapo march 2023, Kwa kuwa wanajua kipindi hicho ulaya watakuwa wamemaliza gas yoke kipindi cha baridi na hawana akiba

La tatu la kuchelewesha hii Vita ni hata kama Leo hii Vita inatokea Kati ya NATO na urusi huku silaha zao nyingi walikwisha maliza kwenye maghala maana yake wanatakiwa waingie kiwandani watengeneze zingine swali litakuwa nishati unapata wapi ya kuendeshea hivyo viwanda vya silaha???? Yaani wanunue gas ambayo ni angalia mara nne kutoka USA ili watengeneze silaha za kwenda kupigana Ukraine [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hata zezeta hakubali na hata wakifanya hivyo kufika salama gasi kutoka USA hadi ulaya itakuwa ngumu kutokana na usalama maana urusi hataruhusu hizo meli zifike ulaya atazilipua huko huko baharini

La nne kwenye kuchelewesha hii Vita ni kuwa mpaka sasa uchumi wa ulaya unapumulia mipira ICU Kwa hiyo mfadhiri mkuu wa Vita Kwa sasa ni USA yaani kiufupi marekani sasa hivi kaanza kuchapisha makaratasi yake Yale anayoyaita dollar ili aendelee kudhadhiri Vita Ukraine, na pia nadhani kutokana na uchumi wa ulaya kuwa vibaya nadhani kuna mataifa mengi wanakopa USA Kwa sasa Kwa hiyo kuongeza Kasi ya kutengeneza dollar
Lakini kuna kitu mrusi kakitegea vizuri tu wakati USA anaongeza uchapishaji wa pesa mrusi na washirika wake wanapunguza matumizi ya dollar, urusi wamepunguza uzalishaji wa mafuta hapa kinachoenda kutokea ni kuwa dollar tano ulikuwa unapata Lita tano mafuta basi Hali itabadilika itakuwa dollar tano unapata Lita tatu mafuta hii itasababisha kupanda Kwa bei ya bidhaa, hii pia itapelekea ili upate mafuta mengi itakubidi uwe na dollar nyingi hii itasababisha kuongezeka Kwa Kasi kutengeneza dollar, naona pigo litakalifata Kwa urusi na washirika wake kwenda wa Kwa west na marekani ni kusema kuanzia sasa mafuta hatuuzi Kwa dollar Ila Kwa yuan, au Kwa pesa za nchi husika ukija kuangalia kwenye mzunguko kuna trillion ya makaratasi ya dollar kwenye mzunguko lakini demand imepungua hapa ndipo natajionea mwenyewe marekani akipiga goti Kwa waarabu kuomba wasifanye hicho kitu

Kiufupi jinsi muda unavyokwenda ndivyo uchumi na ushawishi wa west na marekani unavyopotea duniani, TUNAMUOMBEA MWAMBA PUTIN ASIMAMIE SHOW MPAKA MWISHO SISI WENGINE TUTAKESHA KWENYE MAOMBI IWE KWA MUNGU AU MIZIMU LAKINI ADUI YETU NI MMOJA

Samahani maana imekuwa ndefu mtanisamehe WAKUU [emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
TUNAMUOMBEA MWAMBA PUTIN ASIMAMIE SHOW MPAKA MWISHO SISI WENGINE TUTAKESHA KWENYE MAOMBI IWE KWA MUNGU AU MIZIMU LAKINI ADUI YETU NI MMOJA


Haijawa ndefu MKUU kama lipo lengine tupia tuuu

Ila uchambuzi umekaa sawa hem tuupe muda nafasi
 
Mfumo wa dola za kidikteta kama Urusi ndio huwa zinaanzisha vita kiholela. Uvamizi wa Urusi huko Ukraine umeanzishwa na Putin kisha akawalazimisha walio chini yake wakubaliane na vita vyake, hii ni tofauti na nchi za kidemokrasia kama US ambapo vita ambavyo sio vya US kuvamiwa lazima vijadiliwe bungeni na azimio lipitishwe kwa wingi wa kura.

Kama kuna mfumo wa dola ambao unatakiwa ubadilishwe ni huo wa Russia na dola nyingine za kidikteta.
Kama haijavamiwa inapiga kura kuvamia mataifa ya watu kwanini

RUSSIA ivamie kila anaetishia usalama wake

Kura tunawaachia US kama walivyopiga kura kuivamia SYRIA namwisho wakachemka
 
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine
(29 October 2022)

The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation.

◽️In the Kupyansk direction, as a result of the active actions of the Russian troops, two reinforced companies of the Armed Forces of Ukraine and a unit of foreign mercenaries were defeated close to Timkovka, Ivanovka, Tabayevka, and Krakhmalnoye (Kharkov region). More than 70 Ukrainian personnel and militants, one tank, two infantry fighting vehicles, two armoured personnel carriers, and ten cars were annihilated.

💥Near Staroverovka (Kharkov region), two U.S. HIMARS MLRS installations, four tanks, 15 vehicles, a muniton depot, and 43 Ukrainian militants were neutralised by a missile strike.

◽️ In the Krasny Liman direction, the enemy carried on unsuccessful attacks by tank and motorised infantry companies in the direction of Chervonopopovka (Lugansk People's Republic).

💥 Artillery fire and army aviation strikes eliminated more than 70 Ukrainian personnel, four tanks, two armoured combat vehicles, and three pickup trucks.

◽️ In the Nikolayev–Krivoy Rog direction, the AFU launched five attacks by company tactical groups in the directions of Mylovoye, Sukhanovo, Pyatikhatki, Ishchenko, Bruskinskoye, and Sadok (Kherson region).

💥 As a result of the fire damage and successful actions of the Russian troops, the enemy was thrown back to the initial positions. More than 60 Ukrainian personnel, 17 armoured fighting vehicles, and 12 cars were destroyed.

💥 Unmanned aerial vehicles strikes successfully eliminated a Buk-M1 anti-aircraft self-propelled missile system and two U.S. M777 howitzers near Vysokopolye and Novogrigorovka (Kherson region).

💥 Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery neutralised nine AFU command posts close to Petropavlovka and Ivanovka (Kharkov region), Dopropolye, Zvanovka, Torskoye, and Vodyanoye (Donetsk People's Republic), Trifonovka, Andreyevka, and Davydov Brod (Kherson region) as well as 68 artillery units in firing positions, manpower and military equipment in 189 areas.

💥 Two ammunition depots were wiped out in the areas of the settlements of Novoaleksandrovka (Kherson region) and Kolodezi (Donetsk People's Republic).

💥 Fighter aviation of Russian Aerospace Forces has shot down 1 MiG-29 of Ukrainian Air Force near Prishib (Nikolayev region).

💥 Russia's Air Defence shot down 14 unmanned aerial vehicles close to Arapovka, Svatovo, Raevka, and Rudovo (Lugansk People's Republic), Elenovka and Shevchenko (Donetsk People's Republic), Burchak (Zaporozhye region), Novokamenka, Mylovoye, Klapaya, and Charivnoye (Kherson region).

💥 In addition, nine shells of the U.S. HIMARS MLRS were shot down near Novaya Kakhovka, Olgino, and Otradokamenka (Kherson region), as well as eight American HARM anti-radiation missiles close to Zelenovka and Antonovka (Kherson region) and Svistunovka (Lugansk People's Republic).

📊 In total, 327 airplanes and 164 helicopters, 2,370 unmanned aerial vehicles, 384 air defence missile systems, 6,162 tanks and other armoured combat vehicles, 878 combat vehicles equipped with MRLS, 3,536 field artillery cannons and mortars, as well as 6,863 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Saturday, October 29
11:30 am
High-ranking Wagner officer killed by Ukrainian special forces in close combat.
Ukrainian special forces unit "Khort" reported that it had killed the deputy chief of staff of the Russian state-backed military company Wagner. The engagement between the unit and a group of Wagner soldiers was said to have occurred at extremely close quarters, with all of the Wagner soldiers reportedly eliminated.
Warusi weusi watakwambia ni Propaganda
 
Samahani ila siku nyengine nikwamba ukiongelea uliongelee lilokuepo MKUU la sivyo utatoka nje ya mada na lengo hapa ishu ilikua biibiisiii

Sasa hio diidabliyuu imetokea wapi hapa MKUU

Mwisho vyanzo vyote vya habari vyakimagharibi sio vyakuviamini hata dakika moja

Ila hua tunawaletea sababu ndio vyanzo munavyo vihusudu nakuvipenda tukiwaletea RT mnasema ni chombo cha sirikali sasa tuwaleteeni nini kama sio biibiisii na diidabliyuu ambavyo munaviamini nyie

Kuhusiana na KHERSON na DW nilitoa tu sababu ndio vyombo vyauhakika kwenu ila sisi maendeleo ya huko tuliishayapata toka kwa MOD wa RUSSIA

Makala pekee nnazo ziamini nakuzifatilia kutoka DW VOA na BBC nimaoni kwenye meza duara sababu yanatoka midomoni mwawatu sio yakukaririshwa yalio bakia yote uongo mwingi kuliko ukweli ukiacha michezo

Mwisho:-vyombo vya habari vyakimagharibi hata viseme nini usiviamini na uvipuuze ila kwakua ndio mmechagua kuviamini viaminini tuu ila kwasisi tunaojua uhovyo wahivyo vyombo tunataka kujua RUSSIA ipi iliishiwa chakula mwezi feb acc na biibiisiii pia RUSSIA ipi iliishiwa na silaha tokea march acc biibiisiii na RUSSIA ipi inatumia mashine za microwave acc T14 Armata ataleta chanzo usipokuja na majibu uache kuviamini hvyo vyombo vya hovyo

Sasa tukueleweje mara tusiviamini vyombo vya magharibi lakini hapohapo unakuja tena unatuambia makala pekee unazoziamini zinatoka hukohuko kwa kina Bibisii na nduguze diidabliyu!!!!!

Mara ngapi hapa Pro wenzako wanaleta habari mbaya za Ukraine toka vyombo vya magharibi lakini vyombo hivyohivyo vikileta habari mbaya ya Urusi wanadai propaganda [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Marekani ndani ya wiki tu alishacreate No fly zone kule Iraq


Tunaomba ututajie mifumo mitatu tu yakisasa kwahuo mwaka (2003)

Iliokua tishio ambayo ilikua inalinda anga la huko UKRAINE

Halaf pia tunaomba kukueka sawa IRAQ haikupigwa na US ile IRAQ ilipigwa na NATO na majirani zake karibia wote kwamaana hio IRAQ ilipigwa namataifa zaidi ya 15

Pia tunakukumbusha IRAQ haikua ikipewa msaada na taifa lolote lile toka popote pale

RUSSIA inapigana na UKRAINE ambayo inajazwa kila leo na bado inachapika mpaka inalia lia
Sasa hiyo sio kazi yangu ni kazi yako kutafuta maana taarifa zote zipo mtandaoni,kwamba Jeshi la Iraq lilikuaje wakati ule 2003,lilikua na zana gani,ndege,air defenses, Makombora,nk.

Hiyo ni kazi yako kutafuta sio Mimi tena nianze kukutaftia nikuletee hapa.
 
Mimi napenda kuwa wazi leo ukraine karusha zaid ya drone 20 crimea zote zimetunguliwa na russia marine hii habari ipo aljazeera na cnn .Nimetoa habari hii ili mjue vyombo vya habari kwa ulimwengu wa sasa ni ngumu kutoa habari za upotofu.
Tunapowaambia Russia kapigwa muwe mnasadiki .Maana hakuna chanzo cha habar zaid ya hivi
Mbona naskia kuna Meli Yao imelipuliwa huko Crimea,sasa kama wamelipua zote hiyo Meli imelipuliwa na nini?!
 
Back
Top Bottom