Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwann hakusema yote haya mwaka jana au juzi?
Kwann sheria za kupinga ushoga ndio zinapitishwa saivi urusi?
Tumia akili wewe Muafrika.
Putin anajua akifanya hivyo atapata support kubwa ya middle east na China.

Na lengo lake hapa hasa sio kupinga ushoga, lengo lake ni kupata support kama ikitokea vita ya WW3
Mi nimeleta taarifa mkuu. Ndo kosa langu??
 
⚡Iranian Sprite in Donetsk and Iranian Coca-Cola in Mariupol

And more Iranian bouquets of flowers all over Ukraine! ⚡ 😆
IMG_20221027_234102_373.jpg
IMG_20221027_234037_060.jpg
 
Kwann hakusema yote haya mwaka jana au juzi?
Kwann sheria za kupinga ushoga ndio zinapitishwa saivi urusi?
Tumia akili wewe Muafrika.
Putin anajua akifanya hivyo atapata support kubwa ya middle east na China.

Na lengo lake hapa hasa sio kupinga ushoga, lengo lake ni kupata support kama ikitokea vita ya WW3
Tangu siku nyingi wanasheria za kupinga ushoga.bakini na ushetani wenu msiwalazimishe watu wasiotaka uovu wenu.
 
IL RUSSO 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺:
❗ Putin: No one can ever dictate to Russia what kind of society to build

❗️ By losing supremacy, the West is becoming a minority on the world stage. If Western elites think they can introduce trends like gay pride parades and dozens of genders into their societies, let them do what they want, but they have no right to demand that others follow in the same direction.

Putin
 
US NA RUSSIA “Neo Colonialist” hasa ni nani?..
Nani Manipulator mkubwa.

Mzee Pro West mnapenda kushawishiwa kuliwa?

That is still not my point.
Kwanza mimi sio pro west wala pro east...mi ni pro African, soma ID yangu.

I dont care kuhusu ideology za west au za putin...nachoangalia hapa ni hii timing.
Kama Putin ameanza kupondea ushoga kipindi hiki cha hii vita.
Basi ujue vita haiishi leo wala kesho.
Ujue tumekaribia kuingia phase 2
Hapa putin anajaribu kurecruit more allies.
Na karata kubwa aliyo nayo ni kujifanya yeye ni Anti ushoga ili apate support kubwa zaidi ya middle east, Africa and China.
Nachosema mimi ni kuwa, hii ni dalili tumekaribia kuingia vita kubwa sana.
Fungeni mkanda, safari ndio inaanzA
 
❗ Putin: The broad slogan "We do not abandon our own" sits deep in the heart of Russians. Willingness to fight for one's own people leads to social cohesion. This was the very strength of our people; we confirmed and strengthened it.💤
 
That is still not my point.
Kwanza mimi sio pro west wala pro east...mi ni pro African, soma ID yangu.

I dont care kuhusu ideology za west au za putin...nachoangalia hapa ni hii timing.
Kama Putin ameanza kupondea ushoga kipindi hiki cha hii vita.
Basi ujue vita haiishi leo wala kesho.
Ujue tumekaribia kuingia phase 2
Hapa putin anajaribu kurecruit more allies.
Na karata kubwa aliyo nayo ni kujifanya yeye ni Anti ushoga ili apate support kubwa zaidi ya middle east, Africa and China.
Nachosema mimi ni kuwa, hii ni dalili tumekaribia kuingia vita kubwa sana.
Fungeni mkanda, safari ndio inaanzA
Ulichokizungumza ni ukweli mtu, great thinkers watakuelewa
 
Back
Top Bottom