Nkuba25
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,386
- 13,136
Huo mkataba wa Nord Stream wa Gas supply umeshawahi kuuona?Common sense inasema Putin aliagiza mlipuko!
a) hataki kutuma tena gesi Ulaya
b) anajua mkataba wake na kwamba akiacha hivi hivi bila maelezo ya "Force majeure" (matukio ambayo hakuweza kutegemea, bahati mbaya) atabaki na madeni ya faini kubwa sana kwa kuvunja mkataba katika miaka ya baadaye.
c) hivyo ni kweli ujanja mkuu akiharibu bomba mwenyewe na kukosesha force majeure!
Je, Kama umeshawahi kuuona, ni conditions zipi zina constitute hiyo Force Majeure..?