Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

HUU NI MTAZAMO WANGU KUUHU HUU MGOGORO

Part 1

USA na WEST Kwa ujumla wao kulingana na demand ya dunia kwenye maswala ya viwanda/technology waligundua kuwa kuna resources nyingi Sana zipo Russia ambazo kama wataweza kuikalia Kwa nguvu, kuivunjavunja vipande vipande au kuigeuza kuwa Russia iwe sehemu ya machafuko na Ngome ya magaidi na manazi basi watafanikiwa Kwa kiasi kikubwa kuiba resources za Russia Kwa miaka mingi ijayo huku wakiwa na uhakika wa nishati pamoja na kukuza uchumi wa nchi zao na huku agenda Yao ya ushoga kama wangeweza kuimaliza Russia huku wengine wakina kajamba nani tungeletewa tu na tamko la UN kuwa lazima tufanye hivyo na hakuna nchi ingepinga

Hapa ndipo big brother USA akawa master mind na akaja na mpango mkakati wa kuhakikisha swala hilo linatimia, nasema USA Kwa kuwa sioni nchi hata moja ya ulaya yenye uthubutu wa kufadhili na kusimamia mpango mkakati kama huo,

Kuanzia mwaka 2014 walianza kuwekeza kuwa kiasi kikubwa Sana na kuanza kupeleka silaha Kali baada ya kuona kwenye swala la kujenga vitu kama Ngome na silaha za kimkakati za za kujilinda ndipo wakaja na hatua ya pili ambayo ni kuipa uanachama wa NATO Ukraine na hatua ya tatu ingekuwa ni kujenga base kubwa ya NATO kuliko base yeyote ulaya na nne wangeleta nukes hapo Ukraine yaani yangejirudia ya cube missile crisis Ila safari hii ingekuwa ni Ukraine, Ila tofauti na kipindi kile hapa Ukraine marekani na west wasingetoka Milele mpaka wahakikishe wameiba kila kitu

Kitu ambacho naamini WEST na USA walijua ni kuwa urusi imeshajua juu ya mpango wao ovu juu yake lakini kutokana na investment ambayo wamewekeza Ukraine hawakukubali kubadili njiani malengo ya mkakati wao

Kitu ambacho hawakujua west ni nini urusi inaenda kufanya baada ya kujua, kitendo cha urusi kuanza kukusanya jeshi kiliweza kuwapa dokezo nini urusi imedhamiria kufanya Ukraine wakahisi kile kilichofanyika cremia urusi anapanga kukirudia tena Kwa hiyo Kwa kutumia kosa hilo ambalo urusi inataka kufanya west na marekani wakapanga ni namna gani ya kumuangamiza urusi bila kutumia nguvu nyingi ni kuhakikisha wamepata sababu ya kuiangamiza kiuchumi urusi kitakachofata ni machafuko ya kiraia, na hapo hapo wataingiza magaidi na manazi na kuifanya urusi iwe ndiyo sehemu ambayo si salama Kwa binadamu kuishi maana pangekuwa makao makuu ya ugaidi, waasi na manazi, kungekuwa kunafanyika unyama wa kiwango cha juu kipindi hicho west wanaiba resources za urusi kupitia hayo mapandikizi, kumbe INGAWA WALIJIONA WANAJUA URUSI ANATAKA KUFANYA NINI, UKWELI WEST NA USA WALIKUWA HAWAJUI

Inaendelea...........
 
Part 2

Baada ya urusi kutangaza operation hapo Ukraine, marekani na west wakakimbilia kuweka vikwazo lukuki halafu wakakaa kutulia kusubiria matokeo ya vikwazo walivyoweka, wanakuja kushtuka ni pale walipoanza kuhisi maumivu ya vikwazo badala yasikike Kwa raia wa urusi wakaanza kusikia Kwenye mitaa ya New York, London, Paris na kwingineko, ndipo wakaja kujua vikwazo vinawaumiza wao zaidi kuliko mlengwa ambaye ni urusi, na kipindi hiki cha matazamio ndipo urusi alichukua maeneo ya kimkakati na kiuchumi ya Ukraine na kujikuta west wameingizwa chaka tena na Urusi

Mimi siamini kama ilitokea bahati mbaya Ila ninachojua ulikuwa mkakati wa urusi na China kuprovoke na kutengeneza hali ya wasiwasi ya Taiwan ili kupata sababu ya kuanzishwa Kwa Vita ya pili na marekani, ni akili kubwa Sana alitumia uchina kurudi nyuma kipindi pelosi anatua Taiwan lakini lile tukio lilivuta hisia za watu Wote duniani wakiamini Vita ipo njiani Kati ya China na marekani, mpaka mwisho wa mchezo mchina akaondoka na ushindi wa point tatu kwenye mioyo ya watu wengi duniani maana kupitia tukio lile mmarekani akaonekana ni mbabe na mgomvi na mpenda Vita, yaani kiufupi ni mtu wa shari huku uchina akichukua Kura za huruma kote duniani, sasa kuanzia hapo ikaanzishwa Vita ya pili rasmi ambayo ni uchina na marekani kwenye suala la uchumi

Jana pentagon wamekubali hadharani kuwa USA anapigani Vita ya kiuchumi na mchina na pia Vita ya kijeshi na Urusi, kiufupi hapa kila mtu anacheza mechi zake kwenye uchumi mpaka sasa mchina anapiga kumbe za chembe za kufa mtu,

Kwanza ulaya ambao wangeshirikiana na marekani kwenye Vita ya kiuchumi wameshachoka hawajiwezi Kwa kukosa gas ya bei rahisi ya urusi

Pili mchina anapiga bao Kwa kuwa anapata gas ya bei ya chini, ana walipa wafanyakazi pesa ndogo na anatengeneza bidhaa za quality kubwa kama za marekani lakini anauza Kwa bei ndogo kuliko marekani, sasa ukijumlisha na anguko la uchumi na mfumuko wa bei utajijibu mwenyewe Nani anaenda kuteka soko la dunia

Huku Kwa mrusi kama west na marekani ndiyo wanakuja kugundua lengo la urusi kuingia Ukraine Siyo kuwaangamiza manazi na kuzuia Ukraine isijiunge na NATO tu bali pia URUSI IMEPANGA KUZIANGUSHA NCHI ZOTE ZA WEST PAMOJA NA USA KIUCHUMI NA KIUSHAWISHI DUNIANI

Inaendelea...........
 
Huu ndio ubabe sasa....lazima tuheshimiane

SmartSelect_20221028-172730_Chrome.jpg
 
Part 3

Hapa ndipo tunakuja kuona kwanini mrusi anataka hii Vita isiishe mapema, yaani mrusi anataka pawe hivyo hivyo yaani Ukraine hawasongi mbele na wala yeye hamalizi Vita haraka yaani inakuwa 50/50, faida ya hii Vita kukaa muda mrefu ni pamoja na

La Kwanza kabisa ni kuzimaliza silaha zilikuwa kwenye maghala kwenye mataifa hasa ya ulaya maana haya anaishi nayo pua na mdomo,

La pili ni kupunguza gas na hii imesababisha hali kuwa mbaya kiuchumi maana viwanda vinafungwa watu wanakosa kazi, baridi linakuja na sasa hivi wanatumia gasi ya akiba ambayo urusi anataka iishe kabisa ili machafuko hapo ulaya yatamalaki kama walivyokuwa wanasubiria yatokee urusi, ndiyo maana IMF ( kama nimekosea kuhusu hilo shirika kusema naomba kusahihishwa) wamesema kuwa ulaya watakutana na mfumuko mkubwa wa bill za umeme ifikapo march 2023, Kwa kuwa wanajua kipindi hicho ulaya watakuwa wamemaliza gas yoke kipindi cha baridi na hawana akiba

La tatu la kuchelewesha hii Vita ni hata kama Leo hii Vita inatokea Kati ya NATO na urusi huku silaha zao nyingi walikwisha maliza kwenye maghala maana yake wanatakiwa waingie kiwandani watengeneze zingine swali litakuwa nishati unapata wapi ya kuendeshea hivyo viwanda vya silaha???? Yaani wanunue gas ambayo ni angalia mara nne kutoka USA ili watengeneze silaha za kwenda kupigana Ukraine 😁😁😁😁 hata zezeta hakubali na hata wakifanya hivyo kufika salama gasi kutoka USA hadi ulaya itakuwa ngumu kutokana na usalama maana urusi hataruhusu hizo meli zifike ulaya atazilipua huko huko baharini

La nne kwenye kuchelewesha hii Vita ni kuwa mpaka sasa uchumi wa ulaya unapumulia mipira ICU Kwa hiyo mfadhiri mkuu wa Vita Kwa sasa ni USA yaani kiufupi marekani sasa hivi kaanza kuchapisha makaratasi yake Yale anayoyaita dollar ili aendelee kudhadhiri Vita Ukraine, na pia nadhani kutokana na uchumi wa ulaya kuwa vibaya nadhani kuna mataifa mengi wanakopa USA Kwa sasa Kwa hiyo kuongeza Kasi ya kutengeneza dollar
Lakini kuna kitu mrusi kakitegea vizuri tu wakati USA anaongeza uchapishaji wa pesa mrusi na washirika wake wanapunguza matumizi ya dollar, urusi wamepunguza uzalishaji wa mafuta hapa kinachoenda kutokea ni kuwa dollar tano ulikuwa unapata Lita tano mafuta basi Hali itabadilika itakuwa dollar tano unapata Lita tatu mafuta hii itasababisha kupanda Kwa bei ya bidhaa, hii pia itapelekea ili upate mafuta mengi itakubidi uwe na dollar nyingi hii itasababisha kuongezeka Kwa Kasi kutengeneza dollar, naona pigo litakalifata Kwa urusi na washirika wake kwenda wa Kwa west na marekani ni kusema kuanzia sasa mafuta hatuuzi Kwa dollar Ila Kwa yuan, au Kwa pesa za nchi husika ukija kuangalia kwenye mzunguko kuna trillion ya makaratasi ya dollar kwenye mzunguko lakini demand imepungua hapa ndipo natajionea mwenyewe marekani akipiga goti Kwa waarabu kuomba wasifanye hicho kitu

Kiufupi jinsi muda unavyokwenda ndivyo uchumi na ushawishi wa west na marekani unavyopotea duniani, TUNAMUOMBEA MWAMBA PUTIN ASIMAMIE SHOW MPAKA MWISHO SISI WENGINE TUTAKESHA KWENYE MAOMBI IWE KWA MUNGU AU MIZIMU LAKINI ADUI YETU NI MMOJA

Samahani maana imekuwa ndefu mtanisamehe WAKUU 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
 
Shoigu announced the completion of partial mobilization in Russia - the main statement from the report of the Minister of Defense to the President of the Russian Federation
  • the task of partially mobilizing 300,000 people has been completed, the military registration and enlistment offices will continue recruiting volunteers and candidates for contract service;
  • the average age of those called up as part of partial mobilization is 35 years;
  • 13,000 Russians went to the troops as volunteers, without waiting for summons from the military registration and enlistment offices;
  • 218,000 mobilized are at the training grounds and are undergoing training and combat coordination, 82,000 people are currently in the SMO zone, of which 41,000 are operating as part of units;
  • all the problems that arose at the initial stage of partial mobilization have been resolved;
  • The Armed Forces of the Russian Federation must be equipped with modern types of weapons.
 
Sio HIMARS teenaaa
Pro-NATO wa Kibaigwa huwa hawajielewi...ni bendera fuata upepo.
  1. Walishabikia MANPAD wakasema ndio mwarobaini wao, zikafeli (hawataki hata kuzitaja sasa)
  2. Zilipopelekwa Javelin, wakapiga vigelegele kuwa Javelin ndio mkombozi wao, zikadunda (hawazitaji tena)
  3. Vile vidroni uchwara vya Marekani wakavipigia promo kuwa ni superweapons, game changers, navyo vikafeli (hawataki hata kuvitaja sasa)
  4. HIMARS nazo wakazipamba kwa maneno yotee, lakini zikafeli uwanjani na wakapoteza majimbo 4
  5. Wakasifia HARM nazo zikadunda..
  6. Sasa hivi wapo kwenye NASAMS 😆🤣😂😇(kwa kuwa hazijaingia uwanjani, lakini nazo zitafeli kama kawa)
Silaha za Marekani+NATO (nchi 30 dhaifu duniani) huwa zafanya vizuri tu huko Afghanistan na Iraq, kwa waarabu wasio na silaha madhubuti,...Sio kwa Urusi mwenye silaha za kisasa na madhubuti zaidi
 
Mfumo wa dola za kidikteta kama Urusi ndio huwa zinaanzisha vita kiholela. Uvamizi wa Urusi huko Ukraine umeanzishwa na Putin kisha akawalazimisha walio chini yake wakubaliane na vita vyake, hii ni tofauti na nchi za kidemokrasia kama US ambapo vita ambavyo sio vya US kuvamiwa lazima vijadiliwe bungeni na azimio lipitishwe kwa wingi wa kura.

Kama kuna mfumo wa dola ambao unatakiwa ubadilishwe ni huo wa Russia na dola nyingine za kidikteta.
Kinachoisumbua Dunia ni mfumo wa dola za kisasa . Kuna haja ya kuwepo mfumo mbadala ambao ni shirikishi zaidi na wa kisasa zaidi .

Mfumo wa dola hauna tofauti kubwa na mifumo ya kale mfalme AKITAKA vita itapiganwa na mfumo wa SASA vivyo hivyo.

Fikiria viongozi wawili wa dola wanapiganisha majeshi na wanadamu kufa KIJINGA kabisa
 
Back
Top Bottom