Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Popote watakapo mfikisha ila msisahau haya

UKRAINE haitakua naukubwa ule kama wazamani

Yale maeneo manne nisehemu halali ya RUSSIA isiotenganishwa

UKRAINE ama mwengine yeyote huko mbeleni atakae hatarisha usalama amani na maslahi ya RUSSIA atawajibishwa!!!
Mwanzo Russia ilikamata 20% ikashuka mpaka 15% na Kwa kipigo anachoendelea kukipata sina Shaka mpaka Mwisho wa mwaka atabakiwa na 10% ,2023 Ukraine inamalizana na Supapawa wa mchongo.
 
@Pietro aione hii siku tukija kuhoji uhalali wa hizo MSM zao waseme tunawaonea

Hawa viumbe aseee !!!!!
Hahahaha hakuna mahali wamesema Russia kaishiwa Ballistic missiles kama hiyo taarifa anayo ailete hapa.

Experts wanachosema ni kwamba inawezekana Russia ina upungufu wa Makombora ya Iskander ndio maana wakati huu hawapigi kambi za jeshi la Ukraine tena wamehamia kwenye miundombinu ya nishati ambayo wanatumia kamikaze drones.
 
Sasa tukueleweje mara tusiviamini vyombo vya magharibi lakini hapohapo unakuja tena unatuambia makala pekee unazoziamini zinatoka hukohuko kwa kina Bibisii na nduguze diidabliyu!!!!!

Mara ngapi hapa Pro wenzako wanaleta habari mbaya za Ukraine toka vyombo vya magharibi lakini vyombo hivyohivyo vikileta habari mbaya ya Urusi wanadai propaganda [emoji23][emoji23][emoji23]
Wao kuleta hizo habari haziondoi msimamo nnao simamia

Pia kuhusiana na hizo makala ninayo kwambia nikwamba hua hayasomwi yaani hayaandaliwi na hao watu

Bali wanaita wataalam kadhaa toka seh mbali mbali wanatoa maoni yao nawewe unawasikiliza utachagua wapi kwakusimamia wewe

Ila hayo yakutuandikia na kutusomea hayo niuongo na yakupuuza

Maoni kwenye meza duara ni kama mdahalo unaekwa wachambuzi wanatoa maoni yao
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Sawa endelea na msimamo wako thabiti
 
[emoji298]️EU freezes 300 billion euros from Russian Central Bank.

EU Justice Commissioner Didier Reynders told media that "from his point of view" it would be possible to keep these 300 billion euros as a guarantee until Russia voluntarily participates in the reconstruction of Ukraine.
 
Sasa hiyo sio kazi yangu ni kazi yako kutafuta maana taarifa zote zipo mtandaoni,kwamba Jeshi la Iraq lilikuaje wakati ule 2003,lilikua na zana gani,ndege,air defenses, Makombora,nk.

Hiyo ni kazi yako kutafuta sio Mimi tena nianze kukutaftia nikuletee hapa.
Ukiangalia kiundani hilo swali langu halikuja kama unavyoona

Linakutaka uende ukaone ubovu wa hilo jeshi unalolisifia kama liliekewa hio No zone ndani ya muda huo

Halaf bado yakaenda mataifa zaidi ya 15 kwataifa dhaifu kama IRAQ lilokua na vikwazo kila sehem

NATO kama wanajiweza waweke No flÿ zone hapo UKRAINE maana IRAW walieka bila kuombwa LIBYA walieka bila kuombwa ila UKRAINE wameombwa sana ila hawaeki kwamba wanaiogopa RUSSIA ama !!!??
 
Drone 9 tu Supapawa wa mchongo analia Lia je zingekua rundo kama anazorushaga yeye kwenye miundombinu ya nishati ya nyuklia si Leo angelipua nyuklia [emoji1782][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️Russian Defense Ministry: Drone attack damages minesweeper, dam in Sevastopol.

Russia’s Defense Ministry blamed Ukraine for sending 9 drones to the Russian-occupied port city of Sevastopol in the morning of Oct. 29. Ukraine’s government hasn't commented on the alleged attack.
 
Ukiangalia kiundani hilo swali langu halikuja kama unavyoona

Linakutaka uende ukaone ubovu wa hilo jeshi unalolisifia kama liliekewa hio No zone ndani ya muda huo

Halaf bado yakaenda mataifa zaidi ya 15 kwataifa dhaifu kama IRAQ lilokua na vikwazo kila sehem

NATO kama wanajiweza waweke No flÿ zone hapo UKRAINE maana IRAW walieka bila kuombwa LIBYA walieka bila kuombwa ila UKRAINE wameombwa sana ila hawaeki kwamba wanaiogopa RUSSIA ama !!!??
Sasa NATO waweke No fly zone Ukraine kwani Ile ni nchi ni mwanachama wao?! Maana walishasema tangu watatuma silaha tu hawatotuma majeshi sababu Ukraine sio mwanachama wa NATO Ila Russia akijaribu kurusha hata kokoto kwa Mwanachama wa NATO atakiona cha mtema kuni.

Kete ipo kwa Babu Putin kushambulia mwanachama wa NATO tuone yatakayojili
 
Dadekiiiii

[emoji298]️High-ranking Wagner officer killed by Ukrainian special forces in close combat.

Ukrainian special forces unit "Khort" reported that it had killed the deputy chief of staff of the Russian state-backed military company Wagner.
 
Kawaida mkuu. Sa hivi Ukraine wanapigana guerilla war. Kufa na kupona

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app

Guirella war walipigana mwanzoni sababu hawakuwa wameimarika kijeshi.
Guirella ni tactics tu za kivita, lakin si kwamba ni kufa au kupona.
Kufa na kupona kulianza mwanzon kabisa mwa vita mpaka leo.
 
Russia standing as one against EU, NATO, US in Ukraine for the past 8 months is indeed a testament of how great power it is.

I am sure Russia will prevail!

Actualy is against ukraine, NATO and so called washirika wake bado hawaja ingia 100% kwenye hili. Only wanataka kufanya jambo bila kubeba lawama
 
Kwa Syria inawezekana lakini kwa Ukraine never.

Russia itaongeza maeneo zaidi ya hayo Kama Ukraine haitasalimu amri..
Kwa kweli hata Mimi naliona hilo

Kharkiv
Lyman
Izium
Kupiansk
Snake Island

Hayo yote yalikua maeneo muhimu ambayo yalikua chini ya Russia lakini yamerudi chini ya udhibiti wa Jeshi imara la Ukraine.

Kituo kinachofuata ni Kherson.
 
Yatarudi Tena moja baada ya jingine...Hiyo ndiyo Russia, bwana eeeh Ndugu..
 
Back
Top Bottom