Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin alisema blah blah.............
Putin alishasema blah blah blah.............
Putin amesema blah blah blah......
Putin atasema blah blah blah blah.............
Putin alishasema kuwa viongozi wengi wa ulaya wanaendeshwa na serikali ya USA kwa kupachikwa microchips zinazo waonesha chochote wanachokifanya ndani na nje ya ofisi zao, ndo maana unaona wanachokipigania siyo matakwa ya raia wao bali ni maagizo kutoka Washington na Pentagon.

Na kuhusu hili halihitaji kuwa na elimu kubwa kulidhibitisha. Ni simple tu, Kama kweli wanachokifanya western nations kingekuwa ndo matakwa ya wananchi basi hata haya maandamano na viongozi wao kujiuzuru hovyo visingekuwepo.

RAIA WANATAKA MAHUSIANO YAO NA URUS YAENDELEE, VIONGOZI WAO WANATAKA UADUI NA URUSI ILI KUTIMIZA MATAKWA YA BWANA WAO USA.

POOR EUROPEAN NATIONS.
 
Nimerudi kwa nguvu mpya kuwanyoosha nyie mliokuwa mnabisha kuhusiana na war crimes za Putin na genge lake mpitie hapa , na hii full coverage documentary ya Frontline PBS imetoka leo .

Kuna siku hapa niliandika kuhusiana na war crimes alizofanya Putin mkawa mnabisha ,Putin is a war criminal .
Na uzuri hapa wamefafanua kila kilichoandikwa siku ile
Bush, Sarkozy, Blair ni SAINT CRIMINALS..... Safi sanaaaa.
 
Putin na pros wake wote wamechanganyikiwa ukiwasikiliza ni kama watu wehu.
Kuna kauli imenukuliwa hapo inasema: "the West has no constructive ideas and positive development, they simply have nothing to offer the world except the preservation of their dominance."

Kauli kama hiyo niliiona juzi katika kipindi kimoja maarufu cha runinga nchini Urusi.

Mtangazaji wa kipindi anauliza swali, anasema; "ni kitu gani cha thamani ambacho nchi za magharibi zimekifanya kwa dunia?"

Ukitazama studio anayotumia mtangazaji, mezani pake kuna iPad na kipaza sauti kutoka kampuni ya kimagharibi.

Jamaa anaitwa Vladimir Solovyov, by the way. Ni mtangazaji maarufu sana wa runinga na propagandist wa muda mrefu wa the Kremlin nchini Urusi.

Tukiachana na hilo, hilo suala la nne katika hotuba yake ni propaganda ya wazi kabisa. Eti, Russia does not seek domination? Really?!

Russia has been seeking domination since the Tsarist Russia (karne ya 16). Mpaka leo, Urusi inaendeleza ukoloni wa kizamani wakati mabeberu wenzake walishaachana nao zamani sana.

Putin bado ana kazi kubwa mno ya kutushawishi kuhusu hiyo "new world order" yake anayofikiria.
 

Russia 'running out of ballistic missiles' and no longer targeting Ukrainian bases​

Grace Millimaci
Fri, October 28, 2022, 5:55 PM·19 min read
In this article:
  • Vladimir Putin

    Vladimir Putin
    President of Russia
  • Sergei Shoigu
    Russian political figure

The launch of an Iskander missile, pictured during a training exercise in Russia - AFP


Russia has exhausted its “core stocks” of Iskander ballistic missiles and is no longer attacking Ukrainian military bases, Ukraine’s air force has said.
Shortages of the devastating weapons mean Russia has had to change tactics and is now exclusively targeting critical infrastructure.
“The enemy is facing severe shortages of the Iskander missiles. They’ve already used up their core stocks of them,” said air force spokesman Yuriy Ihnat.
“We see that the enemy is no longer interested in military targets, in troops or other strategic sites,” he said.
To replenish its ballistic missiles stocks, Russia is turning to Iran and North Korea, he added.
More than seven metres long and capable of carrying nuclear warheads as well as a conventional explosive payload, the Iskander missiles were introduced in 2006 and reportedly cost about £2.5 million each.
 

Sky news​

Electricity in Kyiv will be restored in up to three weeks - mayor​

Vitali Klitschko, the mayor of Kyiv, says it is likely electricity will be fully restored in the Ukrainian capital for at least three weeks.
Russia has renewed strikes on Kyiv this month, targeting key infrastructure and forcing Ukraine to enforce rolling blackouts.
 
Si wanasema atakufa Muda Sio MREFU!?

Angalau anapinga ushoga huyu Jamaa! Namsapoti KWA hilo!!!

Je hao wanaosapoti America wanaunga mkono ushoga!!?

niko against ushoga lakin bado nashindwa kuwaelewa. Hii vita inahusu ushoga au kupigania ardhi?
maana scope yao ni kuchukua ardhi fulani, na hoyo ndio focus ya vita pande zote mbili
 
Ukifuatilia aliyoyaongea ni kama vile amekata tamaa; inawezekana anahisi kilichomkuta Sadam/ Gadafi kinaweza kumpata.
 

Russia 'running out of ballistic missiles' and no longer targeting Ukrainian bases​

Grace Millimaci
Fri, October 28, 2022, 5:55 PM·19 min read
In this article:
  • Vladimir Putin

    Vladimir Putin
    President of Russia
  • Sergei Shoigu
    Russian political figure

The launch of an Iskander missile, pictured during a training exercise in Russia - AFP


Russia has exhausted its “core stocks” of Iskander ballistic missiles and is no longer attacking Ukrainian military bases, Ukraine’s air force has said.
Shortages of the devastating weapons mean Russia has had to change tactics and is now exclusively targeting critical infrastructure.
“The enemy is facing severe shortages of the Iskander missiles. They’ve already used up their core stocks of them,” said air force spokesman Yuriy Ihnat.
“We see that the enemy is no longer interested in military targets, in troops or other strategic sites,” he said.
To replenish its ballistic missiles stocks, Russia is turning to Iran and North Korea, he added.
More than seven metres long and capable of carrying nuclear warheads as well as a conventional explosive payload, the Iskander missiles were introduced in 2006 and reportedly cost about £2.5 million each.

Hii inakunzana na taarifa ya jana ya Rais wa Ukraine alipotaja kuwa jana pekee Russia iliishambulia Ukraine kwa drones za Kamikaze zaidi ya 30 na kuomba Jumuiya ya Kimataifa kuendelea kuisaidia Ukraine ( BBC Swahili- Dira ya Dunia 28/10/2022)
 
[emoji298]️The Pentagon will allocate a new package of military aid to Ukraine in the amount of 275 million dollars, – the spokeswoman of the US Ministry of Defense Sabrina Singh says.

The package will include:

  • ammunition for HIMARS;
  • 500 high-precision guided artillery shells;
  • systems of remote anti-tank mining;
  • HMMWV light transporters;
  • small arms/ammunition.

[emoji117] Follow
@Flash_news_ua

Sio bilion tena [emoji2][emoji2][emoji2] tutaongea lugha moja soon
 
Hii inakunzana na taarifa ya jana ya Rais wa Ukraine alipotaja kuwa jana pekee Russia iliishambulia Ukraine kwa drones za Kamikaze zaidi ya 30 na kuomba Jumuiya ya Kimataifa kuendelea kuisaidia Ukraine ( BBC Swahili- Dira ya Dunia 28/10/2022)
Ndio maana anatumia drones
 

Ukrainian Armed Forces await shipment of Switchblade 600 kamikaze drones​

Ukrainska Pravda
Fri, October 28, 2022, 1:30 PM·2 min read
43060ef86f17d030c85635395c1d0d4d

FRIDAY, 28 OCTOBER 2022, 13:30
Ukraine has already received Switchblade 300 kamikaze drones from partners and is waiting for the latest Switchblade 600 drones.
Source: Yurii Ihnat, Spokesperson for the Air Force of the Armed Forces of Ukraine, at a briefing on 28 October
Quote: "Unmanned aircraft have become an integral element of military conflicts. We have Bayraktar TB2 strike UAVs.
We also have kamikaze drones already, provided to us by our partners, and they are being used.
 
[emoji298]️Strategically important for the supply of Russian troops, the Svatovo-Kreminna highway in the Luhansk region is under fire control of the Ukrainian military.

This was stated by the spokesman of the Eastern Group of Forces of the Ukrainian Armed Forces Serhiy Cherevy.

"According to the latest data, the Ukrainian Armed Forces have taken the track under full fire control and there is ongoing combat work, which will be announced later," Cherevy said.
[emoji298]Follow us @Flash_news_ua
 
[emoji298]️ Ukraine freezes electricity prices for Ukrainians during heating season.

The Cabinet Ministry said Ukraine will not raise the price of electricity until March 31, 2023, in spite of the war and Russia’s targeting of Ukraine’s energy infrastructure.
 
Back
Top Bottom