Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Babu Putin tunakusubiri utungue hizo satellite ulizosema unataka kutungua uone Moto wake[emoji23][emoji23][emoji23]


[emoji298]️USA will respond in case of Russian attack on commercial satellites, — White House

US National Security Council representative John Kirby said that any attack on US infrastructure would be met with an equal response.
Atazitungua na hamna kitu mtafanya
 
Na ndo maana lazima vita ukraine iendelee...........watu wanadhani vita ikiwa ndefu anakomeshwa urusi......hii vita mrusi anacheza karata zake pia hasa kwenye kupata ushawishi Afrika na mashariki ya kati, Saudia ameshaanza kumtunishia msuli mmarekani.....watu wana mipango.............na anakwambia sasa ni mwisho wa unipolar world huu ni mda wa multipolar world watu hawataki kupangiwa mambo na wamagharibi
There will never be a multipolar world.
Siku zote mwenye nguvu lazima atataka kucontrol kila kitu. Fatilia historia ya hizi empires.
Hiyo multipolar world wanayoihubiri kina putin na China ni ngazi tu ya kufikia unipolar nyingine.

God forbid itokee WW3, Urusi+China +Middle east waungane na west ianguke, Hapa lazima baada ya hapo Mwenye nguvu atataka kutawala...So Urusi na China watataka tena kucontrol dunia nzima.
itatokea tena struggle ya china socialist Vs Rusia Communist block. Kama ilivyo saivi west Vs East.
Tutarudi kulekule tu.

Middle East na Africa tunatumiwa na hawa jamaa kama kete tu, hawana nia na sisi wala hawatupendi, Siku wakipata hyo power wanatugeuka.

ila afadhali Middle east nayeye ana ideologies zake za kidini ambazo nayeye akipata power anaweza kuzipush, sisi wa africa ndio hopeless kabisa maana hatuna identity yoyote, Ujamaa tumo, Uislam tumo, ubepari tumo yani makondoo tu fata upepo.
 
Ona hapa kilio cha wanajeshi Warusi waliolazimishwa kwenda vitani.
Wanalalamika uteuzi wa hovyo, kutumwa bila maelezo bila risasi za kutosha, bila chakula cha kutosha, bila maji.

KWa wenzetu wanaopenda kupinda mambo yote: sisemi Urusi hamna chakula wala risasi...
Ila naona kuna ushahidi wa kutosha kuona: Mpangilio wa jeshi la Kirusi ni hovyo, dharau ni kubwa kwa askari mdogo, usafirishaji wa mahitaji ya vita ni mdhaifu (hapa wataalamu wengi wameshaeleza sababu...)
 
Erdogan anakula kotekote[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️ Turkish defence company Baykar plans to complete the construction of its production plant of "Bayraktars" in Ukraine within two years — Reuters.

[emoji117] Follow @Flash_news_ua

 
[emoji298]️ On the night of October 27, Israel struck the outskirts of Damascus, where Iranian drones could be made.

This is the third attack in a week.

According to The National, the air strikes were carried out a day after the Iranian IL-76 cargo plane landed there.

 
Hahahaha ndo maana huyu Joti Kadyrov juzi alikua anatishia Jihad,kumbe wale wanajeshi wake wa Tiktok Chenchen waliwahishwa Akhera na HIMARS baada ya Ukraine kubutua HQ Yao [emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️Ramzan Kadyrov confirmed the death of Kadyrov residents in the Kherson region. According to him, 23 people died, 58 were injured.

@Flash_news_ua

 
That is still not my point.
Kwanza mimi sio pro west wala pro east...mi ni pro African, soma ID yangu.

I dont care kuhusu ideology za west au za putin...nachoangalia hapa ni hii timing.
Kama Putin ameanza kupondea ushoga kipindi hiki cha hii vita.
Basi ujue vita haiishi leo wala kesho.
Ujue tumekaribia kuingia phase 2
Hapa putin anajaribu kurecruit more allies.
Na karata kubwa aliyo nayo ni kujifanya yeye ni Anti ushoga ili apate support kubwa zaidi ya middle east, Africa and China.
Nachosema mimi ni kuwa, hii ni dalili tumekaribia kuingia vita kubwa sana.
Fungeni mkanda, safari ndio inaanzA
Mkuu naona umepitiwa phase 2 iliishapita sasa hivi ni phase 3.

Phase 2 ilikuwa ni kuyarasimisha yale majimbo manne.
 
Kipigo kimekuwa kikali sana aisee
2022-10-27-10-24-12.png
 
Kuna kauli imenukuliwa hapo inasema: "the West has no constructive ideas and positive development, they simply have nothing to offer the world except the preservation of their dominance."

Kauli kama hiyo niliiona juzi katika kipindi kimoja maarufu cha runinga nchini Urusi.

Mtangazaji wa kipindi anauliza swali, anasema; "ni kitu gani cha thamani ambacho nchi za magharibi zimekifanya kwa dunia?"

Ukitazama studio anayotumia mtangazaji, mezani pake kuna iPad na kipaza sauti kutoka kampuni ya kimagharibi.

Jamaa anaitwa Vladimir Solovyov, by the way. Ni mtangazaji maarufu sana wa runinga na propagandist wa muda mrefu wa the Kremlin nchini Urusi.

Tukiachana na hilo, hilo suala la nne katika hotuba yake ni propaganda ya wazi kabisa. Eti, Russia does not seek domination? Really?!

Russia has been seeking domination since the Tsarist Russia (karne ya 16). Mpaka leo, Urusi inaendeleza ukoloni wa kizamani wakati mabeberu wenzake walishaachana nao zamani sana.

Putin bado ana kazi kubwa mno ya kutushawishi kuhusu hiyo "new world order" yake anayofikiria.
 
There will never be a multipolar world.
Siku zote mwenye nguvu lazima atataka kucontrol kila kitu. Fatilia historia ya hizi empires.
Hiyo multipolar world wanayoihubiri kina putin na China ni ngazi tu ya kufikia unipolar nyingine.

God forbid itokee WW3, Urusi+China +Middle east waungane na west ianguke, Hapa lazima baada ya hapo Mwenye nguvu atataka kutawala...So Urusi na China watataka tena kucontrol dunia nzima.
itatokea tena struggle ya china socialist Vs Rusia Communist block. Kama ilivyo saivi west Vs East.
Tutarudi kulekule tu.

Middle East na Africa tunatumiwa na hawa jamaa kama kete tu, hawana nia na sisi wala hawatupendi, Siku wakipata hyo power wanatugeuka.

ila afadhali Middle east nayeye ana ideologies zake za kidini ambazo nayeye akipata power anaweza kuzipush, sisi wa africa ndio hopeless kabisa maana hatuna identity yoyote, Ujamaa tumo, Uislam tumo, ubepari tumo yani makondoo tu fata upepo.
Ndo hivyo penda usipende ila watu ndo wameshaamua hivyo.....na hio ndo New World Order iliyokua inasubiriwa kwa muda mrefu, shida wa magharibi walijua ndo wao watakua wamekalia kiti ila kumbe kuna wengine walikua wameshajipanga pia,,Africa japo haina identity yake ila inaweza kwenda kama ilivyokua kabla ya ukoloni maana hawa jamaa agenda yao ni kumaliza yale ya wamagharibi, kwahio uislam na imani za asili zinaweza pata nguvu sana na wengi watakua kwenye imani za asili kupitia kivuli cha dini aidha ukristo au uislam
 
Kwanini hakusema yote haya mwaka jana au juzi?
Kwann sheria za kupinga ushoga ndio zinapitishwa saivi urusi?
Tumia akili wewe Muafrika.
Putin anajua akifanya hivyo atapata support kubwa ya middle east na China.

Na lengo lake hapa hasa sio kupinga ushoga, lengo lake ni kupata support kama ikitokea vita ya WW3
Mi nimeleta taarifa mkuu. Ndo kosa langu??
Mkuu, mm sioni kama umehukumiwa kosa. Naona jamaa kachambua iyo Taarifa na ameweka hoja zake kumhusu hiyo hotuba ya Putin. i.e. Hicho anachokisema Putin kwa sasa ktk Hotuba yake hiyo kinatia wasiwasi. kwa maneno rahisi ni kwamba, Afrocentric anaona Putin ana Agenda ya siri.
 
Wakuu kiaje?

Zifuatazo ni updates za uhakika kabisa.

Vita imekomalia nje kidogo ya mji wa Bakhmut ambako majeshi ya Ukraine yapo na harakati za kukabiliana na majeshi ya Russia (Wagner group) ambayo yapo yazidisha mashambulizi makali.

Raia wa Kherson (wazungumzao kirusi) wameambiwa wakimbilie upande wenye kinga ya Russia.

Majeshi ya Ukraine yakumbana na tatizo la njia zenye matope mengi na hali si rahisi kihivyo.

Hivyo kwa sasa Russia imekamia kukamata mji wa Bahkmut.
 
Back
Top Bottom