Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mzee kaanza kulainika...

Russia did not consider the West to be an enemy of Russia despite the current phase of confrontation, he added. Moscow “had one message” for the “leading countries of the West and NATO: let’s stop being enemies, let’s live together”.
Afanye kwa vitendo, asimege mege ardhi za nchi nyingine na nchi nyingine ziheshimu mipaka yake. Huo utakua mwanzo mzuri.
 
Wewe una matatizo makubwa ya akili , kucha kutwa uko kulalamikia watu wasioupa umuhimu uchambuzi wako uchwara unaofanya hapa, umejaza nyuzi za anti West halafu unazungumzia independent analysis.
Tofauti yako wewe na Mathanzua ni kwamba yeye ana copy na ku paste tu kwa Kingereza takataka zote za conspiracy kutoka mtandaoni, wewe unajitahidi kuzielezea kwa Kiswahili na kuzichambua.

Whoever side you are on, that's the correct side going by your WARPED logic,repeat, WARPED logic driven by your inbuilt inferiority complex shinning brighter than Chrismas tree!!
 
Ngoja wafuasi wa paulo waje wazee wa upinde wa mvua waje.
Aah wafuasi wa mugaymad msharipoti na vidumu?
AVvXsEghBd8QJ9jAbcccXYeBcSfPEsJC66OjolkYnNj06ioJgmuU6YC_e_EXz6cXsHoK1RfJBC6srMMONhd--JprbPBt3W...jpg
 
Si tuliambiwa air defenses zilizotolewa na Marekani + NATO zinalinda anga la Ukraine?

Sasa mbona Zelensky analialia kuwa majeshi ya Urusi jana usiku yamechoma grid ya taifa ya Ukraine[emoji28][emoji1787][emoji23][emoji56]

View attachment 2400029View attachment 2400031
Unadhani air defenses zinatolewa tu kama maandazi,lazima watu wapewe mafunzo jinsi ya kutumia,jinsi ya kurepair,nk

Austin: Ukraine will receive first NASAMS air defense systems in early November

U.S. Secretary of Defense Lloyd Austin made the statement at a news briefing devoted to a presentation of the U.S. national defense strategy.

external
Go to the source

Austin: Ukraine will receive first NASAMS air defense systems in early November.
 
Mambo ni moto 🔥 🔥

 
Rais Vlad Putin amesema kuwa nchi za ki Magharibi wanaweza kuishi wanavyotaka na mila zao za LGBT lakin hawapaswi kulazimisha , kushawishi ama kushinikiza wengine kuwafuata.

Amesema nchi zingine zinaona mambo hayo kama fedheha ama kinyaa katika tamaduni zao.

Zaidi soma para ya mwisho:

All cultures in the world should be respected, including those that other nations may find weird, like the gender-obsessed culture seen in the West, Russian President Vladimir Putin has said.

“Respecting the peculiarities of peoples and civilizations is in everyone’s interest. Actually, it is in the interest of the West too. As it loses superiority, it is quickly becoming a minority” culture-wise, the Russian president assessed during a speech on Thursday.

That said, Western culture should be respected just like any other, Putin said.


But the West has no right to impose their cultural preferences on other nations and societies, he said, adding that Russia does not lecture others on how they should live, and does not want to be lectured either.

Putin declared that his country has chosen to maintain “traditional values,”and went on to explain what he means by the term – not a universal set of rules, but many creeds that different societies created for themselves.

“Their difference from the so-called neoliberal values is that in every case they are unique, because they stem from the traditions of a particular society, its culture, and historic experience,” the president stated.


The approach, Putin believes, is shared by most of humanity, unlike what the Western nations promote.

The remarks were part of a keynote speech that Putin delivered at the Valdai Discussion Club, an international event hosted by Russia, where senior Russian officials voice ideas about global issues for other nations to discuss.
G
In his address, Putin warned that the US and its allies are hurting themselves by trying to force other nations to be more like themselves. Political and cultural diversity is key in solving problems that humanity faces as a whole, he argued.

According to hiyo kauli, hakuna mahali putin ame comment “ushoga” moja kwa moja.
Amezumzia western values, lakin pia per record indirectly west hawamlazimish mtu , isipokuwa mataifa fulani huwa yanataka ku copy life style ya west.
Hapo ndipo wanapopitia
 
Russia ni kama shetani hata umchape vipi kwa maombi hakati tamaa🤔
........
Recent updates as of 27.10👇
FB_IMG_1666936707655.jpg
 
Back
Top Bottom