Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

#HABARI Rais wa Marekani Joe Biden anesena hana mpango wa kufanya mazungumzo na Urusi ikiwa ni siku chache kabla ya mkutano wa kilele wa G20 uliopangwa kufanyika mwezi wa Novemba nchini Indonesia

#EastAfricaTV


Mazungumzo yangependeza zaidi. Bora kuzungumza halafu mkashindwa kuafikiana.
 
Hivi vitu havifanani kabisa...Ujamaa ni system ya utawala, ushoga sio system ya utawala ila ni kipengele tu kwenye sheria.
Sasa mimi kama mimi ni anti ushoga na pia ni anti ujamaa.
Lakini najua Ujamaa ukiingia, tunabadili kila kitu, mtindo wa maisha wote unabadilika.
Tunasombwa kwenye vijiji vya ujamaa, hakuna kumiliki biashara, tunaanza kupanga foleni madukani
Hakuna kuchagua viongozi, raisi anakuwa mungu etc.
Inshort ujamaa unabadili katiba yote.

ila ushoga ni kipengele tu kwenye sheria moja ambayo haitaathiri maisha yangu ya kawaida.
By theway hapa bongo mbona ushoga ni kama umeshahalalishwa? Umeenda Zanzibar?umeenda club za Arusha?unamfahamu Juma lokole?
Kilichokosekana tu labda ni ndoa kutambulika, ila vingine vyote hapa bongo vipo na havijaniathiri kivyovyote.

Kutamatisha: Sio lazima tuchague upande, sisi ni watanzania na wala siasa za marekani na Urusi hazituhusu.
Sio lazima kuchagua kimoja hapo, tunaweza kuvikataa vyote.
Kataa ushoga, kataa ujamaa.
Kama kuna mazuri kwa USA tusifie na tuige, mabaya yake tupondee na tuyakatae vivohivyo kwa Urusi.

Kubali ubepari na demokrasia ya USA ila kataa ushoga, kubali misimamo ya Urusi kuhusiana na ushoga ila kataa ujamaa na udikteta.

We are Africans, sisi sio wao na wala hatupaswi kuwaiga. we have our own culture.
Culture yetu ni ipi?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwanini hakusema yote haya mwaka jana au juzi?
Kwann sheria za kupinga ushoga ndio zinapitishwa saivi urusi?
Tumia akili wewe Muafrika.
Putin anajua akifanya hivyo atapata support kubwa ya middle east na China.

Na lengo lake hapa hasa sio kupinga ushoga, lengo lake ni kupata support kama ikitokea vita ya WW3
Pole sana kama amegusa hisia zako
 
Slava Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji1255]

Ukrainian shelling kills 23 Chechen troops in the Kherson area, according to the Kremlin-backed leader of the region

It's an unusual public admission of losses by Russian officials

Latest updates: bit.ly/3FoG19p


Ni aibu Russia inayojitaja kama superpower kusaidiwa na Iran.Mimi nilitegemea wangemaliza vita toka mwezi wa 2 na kupata ushindi
 
Urusi haijaanza mwaka huu kupinga Ushoga. Wameweka hadi kwenye katiba yao kuwa ndoa ni kati ya mwanaume wa kibayologia na mwanamke wa kibayologia.
 
Hatimae lile pontoon bridge walilotengeneza Russia limelipuliwa[emoji23]

[emoji298]️Ukrainian forces strike Russian positions, destroy 2 ammunition depots.

Operational Command "South" said that over the past 24 hours, Ukrainian forces killed 44 Russian soldiers; destroyed Su-25 aircraft, Ka-52 helicopter, 2 mortars and 3 armored vehicles.

In the Beryslav district of Kherson Oblast, Russian troops lost two ammunition depots. The command also reported that they had a successful hit on a Russian pontoon crossing with military equipment.
 
Back
Top Bottom