Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]swali lako linafurahisha!IRAQ na LIBYA lini waliwahi kua wanachama wa OTAN !!?
Hata hao makowad wa OTAN wajaribu kurusha jiwe tu kule MOSCOW kama wanauwezo
Sababu za Iraq na Libya kuvamiwa zinajulikana. Sasa Kati ya NATO na Russia ni nani ambae kila siku anatishia Nuclear?!