Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu samahani ila kwa kawaida Bwana Yoda anajielimisha kabla ya kujibu. Hivyo angeweza kukujibu
1) kuhusu Bwana Gadafi kulikuwa na azimio la Baraza la Usalama (ambako Urusi na China wana uwezo kuzuia kila azimio) kuzuia ndege zote za jeshi la anga la Gaddafi kwa sababu aliua raia wake hovyo, na katika utekelezaji wa azimio hili nchi mbalimbali zilianza kudhibiti anga juu ya Libia na kukandamiza majaribio yote ya jeshi la GAddafi kushambulia ndegevita zao na pia kuendelea kuua wananchi. Sababu kwa uhakika haikuwa udikteta wake maana aliuwa dikteta pia kabla ya azimio la Baraza la Usalama la UM.
2) Kuhusu Afghanistan atakujibu kwamba swali halikuwa uhuru. Jambo lilikuwa mahambulio dhidi New York na Washingtona yaliyoua watu zaidi ya 3000 yaliongozwa kutoka ardhi ya Afghanistan ilhali serikali ya Afghanistan ilikataa kukabishi watendaji hivyo kujiunga na shambulio hilo. Shambulio hilo kutoka Afghanistan lilisababisha mara ya kwanza katika historia hatua ya NATO kutangaza hali ya kusaidia mwanachama aliyeshambuliwa.
Swali haliuwa uhuru bali shambulio la 11 Septemba.
Mkuu nashukuru kwa uchambuzi wako mzuri nadhan pro nato wanaweza kujifunza mambo mawili 3 toka kwako
Shida kubwa kwa hawa west ni kuwa wana "very complicated relationship with truth" kiasi kwamba taarifa zao nyingi haziaminiki. Ni hawahawa waliotuambia iraq ana weapons of mass destruction kusudi tu wapate kisingizio cha kwenda kuivamia iraq kwa force flag ya war on terror. Hawa hawa ndio wamekuwa vinara wa kupindua serikali nyingi sana za nchi zingine kwa kisingizio cha kupeleka demokrasia ili hali wao nchi nyingi zipo chini ya falme huku wakiunga mkono nchi kama saudi arabia inayoongozwa na familia. So hawa watu wanachokihubiri na wanachokifanya haviendani
Libya ilikuwa nchi nzuri sana kabla ya hawa nation destroyer hawajaanza ku intervene kwenye internal affairs za libya, yes may be gadafi aliua raia wake so what. Nchi ni kama family affairs kugombana huwa inatokea somtime hata inafikia hatua wanandugu wanauwana ila hiyo haitoi kibali kwa outsiders kuingilia huo mgogoro kwa kuua more family members women and chldren included kwa kisingizio cha kusema baba yao aliua baadhi ya watoto. Leo hii libya imekuwa failed state kwa ajili yao
How about iraq? Under sadam watu walifanya shughuri zao na maisha yaliendelea tu, watu walilea familia zao ila baada ya usa na washirika wake kuuangusha utawala wa sadam iraq nayo ikawa failed state. Wamefanya huo mchezo na syria kwa kisingizio kuwa assad anaua raia wake kwa sumu....really? The same bullcrap. Tuseme labda ni kweli gadafi, sadaam na assad walikuwa wakiua raia wao but huwezi kufananisha na mauji waliyoyafanya hao west ulimwenguni kote. To this day marekani, uk, france, german, Portugal, Belgium n.k wamemwaga damu nyingi sizizo na hatia kuliko the rest of the world compined kwa kisingizio cha eti they are civilizing us.
These people(west) are notorious liars nothing they say can be trusted
 
"I think we are now at a historic moment for many reasons. Definitely, the tectonic plates in the world are in motion," she said.

"There is a struggle for influence, because Russia and China are in contact with countries in Africa, Asia, Latin America, and we need to show ourselves, we need to make contact, that's why we need to be involved [in dialogue with them]."

According to Joly, she is not a supporter of the "strategy of the opponent's refusal to participate in the debate."
Bora wanajisemea wenyewe

Tukisema sie twaitwa chawa wa PUT IN
 
[emoji779]️British Specialists Aided Kiev's Drone Attack on Sevastopol - involving nine UAVs & seven autonomous maritime (unmanned) vehicles

The Russian Defence Ministry says four naval drones were destroyed by the Black Sea Fleet, three more were destroyed closer to the coastline.

Minor damage was sustained to a nautical minesweeper and a barrier along the bay.

Follow @RT_India_official
Hizo minor damages zimetokana na nini?
Wakati drones zimeangushwa zote
 
Usilijadili hili jambo kibinafsi!!
Nikushukuru tu ulivyoniquote mkuu hukunikulupukia kwa jazba yoyote lakin cha kukushauri jifunze sana kusoma na kufanya research kuhusu taifa hili la sasa la israeli, hii dunia yetu inasiri nyingi sana napia ni zaidi ya mie na wew tuijuavyo sababu hata huu mfumo wetu wa maisha tunayoishi leo hii ni mfumo feki ambao Mwenyezi MUNGU akutupangia tuishi, na matatizo mengi na migogoro mbalimbali inayotokea duniani kama hii vita ya Ukraine/nato/marekani dhidi ya urusi sio kwa bahati mbaya hata kidogo bali hili jambo lilikua ubaoni kwa wakubwa wa dunia, hivyo usiniulize wakubwa wa dunia ni kina nani, wala taifa original la israeli lipo wapi wala mfumo original wa maisha aliotupangia Mwenyezi MUNGU ili sie wanadamu tuishi ni upi! Hiyo ni juu yako na maamuzi yako mwenyewe ukitaka kujua utajua ila usiongozwe tu na hisia yoyote kingine cha mwisho jifunze kusoma na utapona.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]swali lako linafurahisha!

Sababu za Iraq na Libya kuvamiwa zinajulikana. Sasa Kati ya NATO na Russia ni nani ambae kila siku anatishia Nuclear?!
Ishu kwanza No fly zone

Kama sababu ya GADAFI kuua watu wake kama mnavyo dai ikaekwa No fly zone mpaka akauliwa

Ila ya UKRAINE kuvamiwa munasema sio NATO member basi poleni sana maana hata YUGOSLAVIA haikua NATO na ikachapwa


Nyuklia RUSSIA kutishia binafsi ananiudhi bunafsi yangu nataka atumie kabisa

Kwani NYUKLIA imetengenezwa sababu gani au ikitumika kuna ubaya upi sinisilaha tu kama silaha nyengine!!?

RUSSIA akiongelea kuhusiana na NYUK bila kuitumia ananiudhi kabisaa
 
Hiyo ni juu yako na maamuzi yako mwenyewe ukitaka kujua utajua ila usiongozwe tu na hisia yoyote kingine cha mwisho jifunze kusoma na utapona.
Inawezekana wewe ni mpenzi wa nadharia Njama (Conspirancy Theories) nyingi sana zilizojaa kwenye mitandao ya kijamii.

Soma mambo toka kwenye vyanzo vya kuaminika, ili "maarifa" yako yawe yana manufaa kwako na kwa wengine.
 
Mkuu nashukuru kwa uchambuzi wako mzuri nadhan pro nato wanaweza kujifunza mambo mawili 3 toka kwako
Shida kubwa kwa hawa west ni kuwa wana "very complicated relationship with truth" kiasi kwamba taarifa zao nyingi haziaminiki. Ni hawahawa waliotuambia iraq ana weapons of mass destruction kusudi tu wapate kisingizio cha kwenda kuivamia iraq kwa force flag ya war on terror. Hawa hawa ndio wamekuwa vinara wa kupindua serikali nyingi sana za nchi zingine kwa kisingizio cha kupeleka demokrasia ili hali wao nchi nyingi zipo chini ya falme huku wakiunga mkono nchi kama saudi arabia inayoongozwa na familia. So hawa watu wanachokihubiri na wanachokifanya haviendani
Libya ilikuwa nchi nzuri sana kabla ya hawa nation destroyer hawajaanza ku intervene kwenye internal affairs za libya, yes may be gadafi aliua raia wake so what. Nchi ni kama family affairs kugombana huwa inatokea somtime hata inafikia hatua wanandugu wanauwana ila hiyo haitoi kibali kwa outsiders kuingilia huo mgogoro kwa kuua more family members women and chldren included kwa kisingizio cha kusema baba yao aliua baadhi ya watoto. Leo hii libya imekuwa failed state kwa ajili yao
How about iraq? Under sadam watu walifanya shughuri zao na maisha yaliendelea tu, watu walilea familia zao ila baada ya usa na washirika wake kuuangusha utawala wa sadam iraq nayo ikawa failed state. Wamefanya huo mchezo na syria kwa kisingizio kuwa assad anaua raia wake kwa sumu....really? The same bullcrap. Tuseme labda ni kweli gadafi, sadaam na assad walikuwa wakiua raia wao but huwezi kufananisha na mauji waliyoyafanya hao west ulimwenguni kote. To this day marekani, uk, france, german, Portugal, Belgium n.k wamemwaga damu nyingi sizizo na hatia kuliko the rest of the world compined kwa kisingizio cha eti they are civilizing us.
These people(west) are notorious liars nothing they say can be trusted
Mkuu sijui hoja lako unajenga vipi ukisema "yes may be gadafi aliua raia wake so what"??
Mwaka ule Baraza la usalama uliamua asiendelee likatoa kibali cha kumzuia asiendelee.
Samahani picha yako ya haki ya kimataifa inaonekana kidogo kama karne ya 19??

Hata mwaka huu wa 2022 Baraza la Usalama lilikubali kikosi cha watazamaji wa amani huko Lybia iendelee na kazi yake. (Hawakusema "Wanauana - so what?). Waliokubali ni nchi zifuatazao:
China, France, Russian Federation, United Kingdom, United States, , Albania , Brazil , Gabon , Ghana , India , Ireland , Kenya , Mexico , Norway , United Arab Emirates.
Je unawaona wote kama washiriki wa njama ya "West" ??
 
Ishu kwanza No fly zone

Kama sababu ya GADAFI kuua watu wake kama mnavyo dai ikaekwa No fly zone mpaka akauliwa

Ila ya UKRAINE kuvamiwa munasema sio NATO member basi poleni sana maana hata YUGOSLAVIA haikua NATO na ikachapwa


Nyuklia RUSSIA kutishia binafsi ananiudhi bunafsi yangu nataka atumie kabisa

Kwani NYUKLIA imetengenezwa sababu gani au ikitumika kuna ubaya upi sinisilaha tu kama silaha nyengine!!?

RUSSIA akiongelea kuhusiana na NYUK bila kuitumia ananiudhi kabisaa
Mkuu bwana utamu unahasira sana
 
Endelea kuwa gizani cku ukipata mwanga utajua niny namaanisha.
Mwangaza ni lazima uwe ni kitu halisi na siyo kuhisi tu kwamba huu ni Mwangaza, wakati mwingine inawezekana ni kitu kinachoakisi mwangaza na si mwangaza wenyewe. Ni kama kusema Mwezi unatoa mwanga wakati sayansi inatuonesha kwamba ni Jua ndiyo mwanga wake unaakisiwa na Mwezi.

Tafuta mwanga halisi.
 
Napenda sana mijadala kwa Lugha ya Kiswahili, kama natumia Kiingereza ni kwa kuonesha tu hakuna mbadala wake kwenye kujenga uelewa.

Hoja kuhusu Asilimia ya Ardhi iko upande Gani nimesema kwa sasa si jambo la msingi kujadili. Ni kwa kuwa vita yenyewe inahama toka upande mmoja kwenda mwingine kila siku.

Vikwazo kwa kweli wanaumia wote, ila kwa nyakati tofauti. Kwa sasa ni ulaya ndiyo inaathirika, ila mbele ya safari (hasa kama mwendelezo wa mapingano utakuwa ndiyo huu) Russia ndiyo wataathirika.

Hii vita ni mapambano ya kulinda historia na kuumba historia mpya. Russia inataka kurudi kule kwa USSSR wakati NATO na washirika wanataka Historia baada ya USSSR kusambaratika, ibakie kama ilivyo. Bahati mbaya hii vita inavuta marafiki, maadui na wanafiki wa pande hizo mbili.

Israel haina bifu na Russia lakini jee inavoona Iran inawasaidia Russia dhidi ya ukraine, Israel itasimama wapi? kwa ivo ni vita tata lakini mwisho wa siku ni Russia ndiyo wanatakiwa akili yao iwakae sawa ili ulimwengu uwe salama kiuchumi na kijeshi,
Naona mumeamua sasa kua watabiri wa mambo ya mbeleni

RUSSIA itaumia huko mbeleni ya lini maana hio mbeleni unayoiongelea bila kusema nilini haina mwisho

Sababu hata baada ya miaka mia ama zaidi bado itakua mbeleni

Kwenye vikwazo mwanzoni RUSSIA iliumia zaidi nahuu ndio ukweli kama ambayo kwasasa EU nashost zake wanaonja ukali wa vikwazo

Swala lakuitabiria RUSSIA kuumia mbeleni hili lifuteni sababu mnataka kua wacheza kamari kuongelea muda ambao hamuujui utakuaje sababu hata hv vikwaxo awali vilijulikana vinaondoka na uongozi wa RUSSIA

ISRAEL mpaka sasa kaamua kua upande usioegemea sehem kwenye huu mgogoro linpokuja suala la silaha na misaada mengine labda intel naona wametoa ila huko kwengine wameamua kua wapole nakimsingi kwenye kipindi kama hiki ambacho UKRAINE anaonewa ukisema huna upande niwazi unaungana na RUSSIA sababu niwazi ndio mvamizi

Mwisho :- ISRAEL kwapale alipo ME nikheri akate uhusiano na US na shost zake kwenye huu mgogoro kuliko kukata uhusiano na RUSSIA maana atateseka haswaaa


Muda utaongeaaa
 
Mwangaza ni lazima uwe ni kitu halisi na siyo kuhisi tu kwamba huu ni Mwangaza, wakati mwingine inawezekana ni kitu kinachoakisi mwangaza na si mwangaza wenyewe. Ni kama kusema Mwezi unatoa mwanga wakati sayansi inatuonesha kwamba ni Jua ndiyo mwanga wake unaakisiwa na Mwezi.

Tafuta mwanga halisi.
Bado upo gizani mkuu hata maelezo yako yananipa picha kamili jinsi uelewa wako ulivyo.
 
Bado upo gizani mkuu hata maelezo yako yananipa picha kamili jinsi uelewa wako ulivyo.
Ukifumba macho na kuona giza, si kwamba na wengine nao wanaona giza, bali ni wewe uliyefumba macho ndiyo upo gizani. Ukifumbua macho utakuta mwanga bado unaangaza na wenzako walikuwa hawaoni giza ulilokuwa unaliona wewe wakati umefumba macho.

Hisia hupofusha akili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]swali lako linafurahisha!

Sababu za Iraq na Libya kuvamiwa zinajulikana. Sasa Kati ya NATO na Russia ni nani ambae kila siku anatishia Nuclear?!
Russia anatishia nuclear ila nato wametumia nuclear(depleted uranium) na silaha za sumu like agent orange. Cowards!!
 
Ukifumba macho na kuona giza, si kwamba na wengine nao wanaona giza, bali ni wewe uliyefumba macho ndiyo upo gizani. Ukifumbua macho utakuta mwanga bado unaangaza na wenzako walikuwa hawaoni giza ulilokuwa unaliona wewe wakati umefumba macho.

Hisia hupofusha akili.
Mambo yasiwe mengi, maana hii thread niya vita vya urusi na Ukraine. Hivyo kila mtu abaki na kile anachoamini lakin nishukuru tu kujua nikua nafanya conversation na mtu wa aina ipi!
 
"This is cruelty and sadism, a war against civilians"- Mrusi mmoja mwenye akili, October 2022.
Meanwhile in Russia: several panelists threw some truth grenades at the stunned TV hosts, look how those angry propagandists pummeled the pundit who said that by destroying the infrastructure, Russia is waging a cruel, sadistic war against civilians. He won't be invited back.

 
Naona mumeamua sasa kua watabiri wa mambo ya mbeleni

RUSSIA itaumia huko mbeleni ya lini maana hio mbeleni unayoiongelea bila kusema nilini haina mwisho

Sababu hata baada ya miaka mia ama zaidi bado itakua mbeleni
Ni kujikosea kama kwenye maelezo yangu yale uliona niliposema "mbele ya safari" nilimaanisha ni miaka mia ijayo. Utakuwa ulikuwa unasoma bandiko langu huku ukiwaza nimeandika ulichodhani nitaandika.

Vita ni suala la Sayansi, wala halihitaji kupiga ramli. Hii vita inavyoelekea ni kwamba mbele ya safari, Russia itaanza kubeba machungu yake.

Umefuatilia kinachotokea kwa wale wanajeshi waliohamasishwa kujiunga na jeshi wakitokea mitaani? Tatizo wengi wenu mnaona kama vile Russia inapambana na Marekani, wakati ukweli wa mambo inapambana na Ukraine inayotumia silaha za Marekani.
 
Back
Top Bottom