Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii winter jamaa watateseka sana hawa aseee Pietro zile jenereta vp zilishafika ama bado mbna tahadhari inaogopesha hii MKUU !!!??


“Get ready for a long absence of electricity,”- , Governor of Kyiv, Oleksiy Kuleba says — after Russia attacked Ukraine’s civilian infrastructure, moments ago

t.me/battleinsights
 
Huku wenzio wanalia huko wewe unasema yametunguliwa sawa View attachment 2402899
Acha mbanga Famba wewe hayo hapo
Screenshot_20221031-134519_Samsung Internet.jpg
 
Hii failled state ya UKRAINE inapiga propaganda kila idara
Halaf wanashindwa zipangilia


[emoji1255] The Armed Forces of Ukraine officially announced the destruction of 44 out of 50 missiles launched in Ukraine.

The Prime Minister of Ukraine announced the destruction of 18 objects in 10 regions.

Thus, according to official Ukrainian statements, 6 missiles were able to hit 18 targets (3 per missile) in 10 regions.
 
ALL MISSILES WERE INTERCEPTED-GOSPEL ACCORDING TO PRO-THEM

The result of the missile strike by the Russian Army, 11:00 a.m. on 10/31/2022
The following regions and cities are affected:
  • Kiev
  • Dnepropetrovsk
  • Vinnitsa
  • Zaporozhye
  • Poltava
  • Kharkiv
  • Kirovograd
  • Lviv

Attacks on important facilities:
  • CHPP-5 (Kiev)
  • CHPP-6 (Kiev)
  • Lviv CHP (Lviv)
  • TE Kremenchug
  • DniproGes
  • Novodniester TPP

Stopped metro in Kiev and Kharkiv. There is no electricity.
In many cities of Ukraine there are problems with water supply and electricity. In Kiev, an energy facility that supplies 350,000 apartments was damaged.
Du! Mbona kama wamewapa adhabu kubwa sana
 
View attachment 2402972
US Congressman Ruskin said that Russia must be destroyed at any cost because it is an Orthodox country with traditional values
“Russia is an Orthodox country professing traditional values. That is why it must be destroyed, no matter what price the US pays for it.”
Ataweza kweli Kumdestroy Russia ?????
 
Grain corridor kuna meli za urusi za kivita!
Zilikuwa zinafanyaje kuko sasa....
Meli za akivita za urusi ndizo zilikuwa zikilinda Corridor na ndivyo iliuwa imekubaliwa. Putin ametumia platform hii kufanya ujasusi na kushambulia ukraiine
 
Niliwahi sema hapa kwenye hii SMO kama jamaa hawatapita na ODESSA sidhanii kama watakua wamefanikiwa kwenye malengo yao ingawaje wao wenyewe ndio wanajua zaidi

Ila kwahii kauli naiona kabisa ODESSA inaenda kua sehemu ya RUSSIA sijui lini ila kupitia hii SMO

Kama vipi USSR irejee tuuu [emoji4][emoji4][emoji4]

[emoji635][emoji1255]The city of Odessa is one of the most beautiful in the world, it can be both a bone of contention and a symbol of conflict resolution-Putin

There goes Odessa Ukraine...
 
Hizo Meli zilikua ni legitimate targets maana zilikua zikishambulia Ukraine kwa kurusha long range missiles,Ukraine ina haki zote ya kuzishambulia. Kumbuka tangu wiki mbili zilizopita Urusi ilisema itajitoa kwenye makubaliano ya usafirishaji wa nafaka hivyo hili lilitarajiwa na wala sio kitu kipya sema Russia anatafuta sababu tu kwamba wamejitoa kisa Ukraine imewashambulia. Wao mbona walikua wanarusha Makombora toka Zaporizhzhia nuclear power plant?! Sasa Kati yake na Ukraine Nani anafanya ugaidi?!

Halafu Russia inatafuta tu kusave face baada ya Meli zake kushambuliwa,inasema imeshambulia kambi ya SAS huko Ukraine ina maana siku zote hizo walikua hawaioni hiyo base waliacha SAS itoe mafunzo wakisubiri washambuliwe meli zao ndo waipige Makombora?!,fix nyingine bhana. Uingereza ina haja gani ya kuweka kambi Ukraine wakati wana program ya kuwafundisha wanajeshi wa Ukraine nchini mwao,kila baada miezi mitatu inafunza wanajeshi 10,000. Tatizo lako kila anachosema Urusi unakibeba kama kilivyo na kutuletea hapa bila hata kuchekesha akili kidogo lakini West wakisema hapohapo bila hata kufikiria unasema Propaganda,za kuambiwa changanya na zako.

Urusi apunguze propaganda bhana.[emoji23]

Nilisha kwambia mara nyingi tu, sijui kwa nini hutaki kuelewa somo - read my lips once again, nimesema hivi: Russian Federation she is not,repeat she is not a Banana Republic at all - having reminded you these crystal clear facts, consequently have no doubt in my mind that finally the pen has dropped - FYI ana uwezo wa kuzinyuka na kuchakaza Merikani na bara la Ulaya at a go, akiwawahi hakuna taifa hata moja linaweza kujibu mapigo kwa kiwango kile kile - ndio maana wanaishia kupiga piga makerere kama vyura,na kufanya hujuma za chini chini bila ya kijidhilisha wazi wazi - wanafikia hatua ya kuvaa uniform za jeshi la Ukraine ili wasitamburike kirahisi - woga kama nini, wanashinda vita vya mtandaoni (facebook,twitter nk) au MSM za: CNN,BBC,MSNBC, Washington Post,New York Times etc but not a real war.

Kumbukeni Mzalendo alisi wa Kimerikani na mwana sayansi mbobezi mwaka huu kaya onya nini mataifa ya Ulaya pamoja ni Amerika yenyewe, alisema ukweli bila ya kuogopa mtu wala kuogopa lawama wala kukipendekeza kwa yeyote lengo lake lilikuwa kuinusuru Dunia ili hisiangamizwe na silaha za thermonuclear kutokana na uwenda wazimu wa baadhi ya wana saisa watawala ambao ni hatari kwa amani Duniani kwa hivi sasa.

Swali la msingi la kujiuliza hapa ni: ni kitu gani mwana sayansi mahili na mbobezi Elon Musk alicho kiona na kufikia hatua ya kuwaonya watawala wa Merikani na bara la Ulaya kwamba wasichezee Urusi ina uwezo mkubwa wa kuichakaza Merikani yenyewe na bara la Ulaya kwa mpigo!! Hayo si maneno yangu yametoka kwenye kinywa cha mwana sayansi wa Kimerikani ambaye anajua vizuri what is inside the hood of a thermonuclear payload and lightening fast delivery systems and glide vehicle - sasa sisi kamchape ni nani mpaka tunafikia hatua ya kuanza kumbishia mtu kama Elon Musk ambaye si mwana siasa bali mwana sayansi aliye tukuka.
 
View attachment 2402972
US Congressman Ruskin said that Russia must be destroyed at any cost because it is an Orthodox country with traditional values
“Russia is an Orthodox country professing traditional values. That is why it must be destroyed, no matter what price the US pays for it.”
Typical lgbt statement. Ndio nawaambiaga humu hii vita moja ya LENGO kuu ni kulinda ushoga.
 
Back
Top Bottom